Curriculum Specialist
JF-Expert Member
- Oct 8, 2007
- 2,732
- 750
Nakubaliana na wewe baadhi ya mambo, ingekuwa vyema na busara kwa mbowe au chadema kuutoa ushahidi huu kwa umma, vyombo, vya habari na wanaharakati ili hatua stahiki zichukuliwe.. Kuendeleza ubishi na vyombo hivi vya dola ambavyo historia inaonyesha sio sikivu na serikali yetu hufanya kazi kwa matukio. Kulirefusha hili jambo ni kuurefusha msiba wa ndugu zetu na kuendelea kutupa machungu bila sababu yeyote ya msingi. Please please Mhe Mbowe, Chadema na Serikali yetu please spare some courtesy to our brother and sister by letting the truth to come out. Acheni kuwatesa ndugu zetu kwa kuukalia ukweli be serious Let them rest in peace..... Kwa mtu yeyote aliyepoteza ndugu kwenye msiba huu hizi zote ni sarakasi.. Wekeni ushahidi humu kama tulivyoupata wa Mwangosi na tutajua mnafiki ni nani... kuendelea kulivuta jambo hili kutapunguza hata nguvu ya huo ushahidi maana wapiga propaganda watasema CDM iliukalia ushahidi makusudi ili iuchakachue na hili litakapotokea huo ushahidi utakosa credibility na watu hawatauamini na wataufanya mzaha...... TUNAOMBA HAYA YAFIKIKE MWISHO WAKE.. KAMA KWELI CHADEMA WANA USHAHIDI HUU NA WAMEUKALIA WANAFANYA MAKOSA MAKUBWA SANAA KWA WAHANGA WA TUKIO HILI NA HAWAWATENDEI HAKI HATA KIDOGO MAREHEMU NDUGU ZETUU... NA MNAWAPA NAFASI YA KUTENGENEZA PROPAGANDA ZA KUUZIMA UKWELI PALE UTAKAPOTOLEWA HADHARANI.. TUNA KILA HAKI YA KUJUA NINI KILICHOTOKEA SIKU ILE, SI MBOWE WALA SI POLISI MWENYE MAMLAKA YA KUTUNYIMA KUUJUA UKWELI HUU.. MBOWE NA CHADEMA LAZIMA MUWE NA DEDLINE MLIYOJIWEKEA HAMUWEZI KUKAA NA USHAHIDI WA MAUAJI YA RAIA NA KUTUNYIMA HAKI YA HABARI ETI KWA SABABU RAIS HATAKI KUUNDA TUME... TO HELL NA TUME YAO... TUNAHITAJI KUJUAAA.. WEKA VIDEO DUNIA NZIMA IONE UDHALIMU ULITENDAKA DHIDI YA RAIA WASIOKUWA NA HATIAA.. ZAIDI YA HAPO WOTEE MNACHEZA NGOMA ZA KWENU KWENYE MAKABURI YA NDUGU ZETU... AND YOU DESERVE PURNISHMENT
Chadema haifanyi kazi ya Jeshi la police, tumeshatoa ushauri kwa serikali na kwa Rais Kikwete waunde tume huru ya kijaji kuchunguza mauji yote ya kisiasa yaliyofanyika kwa wananchama na viongozi wa chadema hawataki, kwanini tutoe ushahaidi kwa watu wasioweza kuchukua hatua ya kukomesha mauji haya, wanafanya mambo kinafiki tu, na watu wanakufa rais Kikwete hata hajali hata pole kwa Chadema au kwa wananchi wa Arusha hakutoa, hivi nyie watu mna akili ngumu kiasi gani kushindwa kuelewa hii serikali ya akina Mwigulu ndo inahusika na haya matukio? Halafu mnashabikia eti chadema itoe ushahidi, ushaidi iutoe kwa nani? Kikwete akishindwa kuchukua hatua tunapeleka ushahidi wetu kwenye vyombo vya kimataifa na tutamshitaki kikwete na serikali yake huko..