Mbowe: Polisi tukutane Mahakamani ila siwapi Ushahidi

Mbowe: Polisi tukutane Mahakamani ila siwapi Ushahidi

Hivi katika hili nani anatakiwa kwenda Mahakamani, POLISI au MBOWE? Polisi ni taasisi inayofanyia uchunguzi sasa kama mwenye ushahidi asipokuwa na imani na Polisi yeye ndiye anapaswa kwenda mahakamani na siyo vinginevyo. Hakuna serikali yoyote diniani ambayo rais wake hushinikizwa na wanasiasa kuunda tume.

Serikali inayoendeshwa kimagumashi tu ndiyo haiwezi kushinikizwa.
 
na lile bomu la jumapili wanataka ushaidi pia?
 
Kuu thatha, mbona jambo hili liko wazi!...polisi kazi yao ya msingi ni kulinda raia na mali zao wajibu ambao kwa bahati mbaya umewashinda toka walipoamua kuwekeza katika siasa za CCM. Suala la upelelezi ni wajibu wa polisi lakini ajabu ni kuwa katika malalamiko mengi ambayo CHADEMA wameyapeleka polisi, jeshi hili limeshindwa kiyafnyia kazi na zaidi sasa katika sakata la bomu la arusha polisi hao hao walihusika katika kumsaidia kutoroka mtuhumiwa na pia wamekuwa wakitoa kauli za kujichanganya.
Katika mazingira ya kawaida unapotokea utata kama huu raisi anatakiwa kuunda tume huru ( ya-kimahakama)ili kubaini ukweli wa suala hili lakini pia matukio mengine yenye utata ambapo vyombo vya dola vinatuhumiwa kuwatesa,kuwaua na kuwa bambikia kesi wapinzani. Hadi sasa raisi ameamua kupotezea as if hakujatokea tatizo.
 
Mnaopinga maamuzi ya chama kumtaka jk kuunda tume tuambien polis wamemkamata nani? Au upelelez unaendelea? Mwaka huu tutakula sahan 1.
 
Polisi waende mahakamani kufanya nini? hivi mtuhumiwa na mtuhumu nani anakwenda mahakamani? MBOWE mwenyewe anasema Polisi ni watuhumiwa yeye aende mahakani, Polisi wanachokitaka ni ushahidi waufanyie kazi kama wao ndo watuhumiwa basi watasubiri wapelekwe mahakani.

Wewe unafikiri hii ni kesi ya kudhulumiana viwanja nn?Hiyo itakuwa kesi dhidi ya taasisi ya serikali!!!Hivyo Mbowe yupo sahihi kutaka tume huru ya majaji,la sivyo kuupeleka ushahidi huo mahakamani kutafanya mahakama kuingiliwa na kuuchakachua ushahidi!
 
Vp na bomu la dar walilomkosa mnyika,polis wanadai ni bahati mbaya,je kwann itokee kwa cdm na si polis,ikulu,kwenye msafara wa pinda,n.k tena bom limelipuka mnyika alipoenda kuongea na polis, hv lingemdhuru mngesemaje? Eti bahati mbaya! Pu..mb..v...
 
Hivi katika hili nani anatakiwa kwenda Mahakamani, POLISI au MBOWE? Polisi ni taasisi inayofanyia uchunguzi sasa kama mwenye ushahidi asipokuwa na imani na Polisi yeye ndiye anapaswa kwenda mahakamani na siyo vinginevyo. Hakuna serikali yoyote diniani ambayo rais wake hushinikizwa na wanasiasa kuunda tume.

Kwa hiyo polisi wameshindwa kuchunguza? Na kama rais hataki kuunda tume huru basi atakuwa ameshamjua mlipuaji wa hilo bomu!!
 
Hivi hawa Polisi upeo wao wa kufanya upelelezi unaishia kwenye ushahidi wa Mh. Mbowe tu...! What if Mh. Mbowe asingekuwa na huo ushahidi!!!?
 
Savimbi alitamka kwamba anao ushaidi wa mkanda wa video cdm wakipanga utekaji lakini hajawahi andikiwa barua apeleke huo ushaidi mpaka bukobaboy alipoweka youtube....MBOWE HAKUNA KUPELEKA USHAIDI KWA WATUHUMIWA.
 
Hivi katika hili nani anatakiwa kwenda Mahakamani, POLISI au MBOWE? Polisi ni taasisi inayofanyia uchunguzi sasa kama mwenye ushahidi asipokuwa na imani na Polisi yeye ndiye anapaswa kwenda mahakamani na siyo vinginevyo. Hakuna serikali yoyote diniani ambayo rais wake hushinikizwa na wanasiasa kuunda tume.

pole ndugu kwa kutokulijua hilo, watu wanashinikizwa hadi wanaachia madaraka ndo iwe kuundwa tume!!
 
  • Thanks
Reactions: Pai
Mbowe heshimu mamlaka,Mbowe heshimu roho za watu wa Arusha waliopoteza maisha kutokana na mlipuko wa bomu ili waliyofanya wahukumiwe hapa duniani na akhera.Msuguano na polisi hautokupa umaarufu zaidi ya kuonekana mpuuzi mbele ya wenye kujitambua.

Mamlaka kipofu ni za kuchapwa tu kama hivi. Najua huko matumbo yapo moto sana maana wanajua sarakasi wazoruka na mataulo utupu wao utakuwa open soon.
 
Kule mbeya polisi waliiba DRUGS za ushahidi,sasa sembuse video?Tupo pamoja kamanda wa ukweli MH.MBOWE
 
Polisi wanaogopa kuipeleka hiyo ishu mahakamani wanajua ngoma itakula kwao

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
thatha -- watanzania wana akili kukuzidi wewe na hizo arguments zako za kuunga unga.
 
Mbowe heshimu mamlaka,Mbowe heshimu roho za watu wa Arusha waliopoteza maisha kutokana na mlipuko wa bomu ili waliyofanya wahukumiwe hapa duniani na akhera.Msuguano na polisi hautokupa umaarufu zaidi ya kuonekana mpuuzi mbele ya wenye kujitambua.

Kikwete amemtaka rais Bashir kuwasaka na kuwakamata watu waliowaua askari wa JWTZ lakini mwenyewe ameshindwa kuwasaka waliorusha mabomu na kuuawa raia wasio na hatia mchana kweupe!
 
Mbowe heshimu mamlaka,Mbowe heshimu roho za watu wa Arusha waliopoteza maisha kutokana na mlipuko wa bomu ili waliyofanya wahukumiwe hapa duniani na akhera.Msuguano na polisi hautokupa umaarufu zaidi ya kuonekana mpuuzi mbele ya wenye kujitambua.

Kwa ulichokiandika hapo wewe ndo unaonekana hujitambui na wala hujui kinachoendelea katika sakata hili la arusha. Kama ungekuwa kweli ni great thinker ungemuunga mkono Mbowe.
Maswali uliyopaswa kujiuliza; historia ya kimaamuzi yaliyowahi kufanywa na anayeendesha hiyo tume ya kipolisi, polisi walikuwa pale kuhakikisha usalama kwanini aliyetupa bomu alifanikiwa kukimbia na kwanini watu walipigwa risasi zilizotoka kwenye bunduki za polisi? Kwanini serikali imesema FBI wamekuja kushiriki uchunguzi wa tukio husika na ubaloz wa marekani ukakana/ kwanini serikali imeudanganya umma? Kwanini Mbowe atake tume huru ya majaji iundwe ndipo aukabidhi ushahidi/ nani muhusika mkuu?. Baada ya kuyajibu hayo ndo ungecomment sasa, we unakurupuka tu alafu unajiona ni miongoni mwa wanaojitambua. Shame on u
 
Mbowe heshimu mamlaka,Mbowe heshimu roho za watu wa Arusha waliopoteza maisha kutokana na mlipuko wa bomu ili waliyofanya wahukumiwe hapa duniani na akhera.Msuguano na polisi hautokupa umaarufu zaidi ya kuonekana mpuuzi mbele ya wenye kujitambua.

Muulize Chagonja alietumwa Arusha kuchunguza kwa kutumia kodi zetu yeye alichogundua mlipuaji ni nani?Kwani Mbowe aliondoka na ule uwanja palipolipuliwa pamoja na vielelezo vyote?vile vile palikuwa na polisi,waandishi wa habari na mashuhuda wengine.Je Chagonja na timu yake wamefanya homework waliyopewa??Be professional kidogo.
 
Back
Top Bottom