Mbowe: Polisi tukutane Mahakamani ila siwapi Ushahidi

Usichojua wewe ni kuwa watanzania wengi wameshauwawa na hakuna nia ya dhati ya kuwatafuta wahusika, usichojua pia si chadema tu ila wananchi walishatoa ushirikiano wa kuwapata wahusika lakini wanaachiliwa mbele ya Jeshi la police, sasa leo mnamtaka Victim anayesema police walihusika kumvictimize, halafu mnamtaka awapelekee ushahidi police hao hao.. Mimi nadhani huko ni kuendelea kui victimize chadema, wenye akili mlipaswa kulishinikiza jeshi la police na serikali ifanya kazi yao ya kuchunguza siyo kuisakama chadema ilete ushahidi, leo chadema ikisema haina ushahidi wowote imanaama hao wauji watakuwa wamepona na mkono wa sheria? Watanzania tunapaswa kuthink critically, hasa ninyi wenye angalao uelewa mpana na vyie mnadanganywa kirahisi tu.. Chadema hatupendi unafiki, huo ushahidi hatutautoa kwenye jopo la wanafiki..

labda nikuulize rais akiipoteza hii issue na akasema hawezi kuunda tume ya kisheria kwa shinikizo la mtu yeyote wewe mbowe na chadema mtafanya nini??!!! Ushawahi kufikiria kuwa na plan B na C na D!!!?? Ninavyojua mkishindwa kwenye hili mtatuitisha mkutano mtoe tamko na kulalamika... Lazima CDM iwe na dedline kwenye hili and the early the better.. CDM sio kampuni la movie msema mnaitunza mtaitoa baadaye.. Mbowe anajipa kazi ya kulinda na kuzungunga na clip ya video for what....!!!?/ Kama Biblia na Quraan tukufu ziliandikwa maelfu ya miaka iliyopita na mpaka leo kuna kumbukumbu ya word to word... why mnaendelea kuona ni sawa kukaa na hii video ya Mauaji.... Kwa hili analolifanya Mbowe lina tofauti gani na alilolifanya Mwigulu??!!! HII VIDEO SI YA CHADEMA NA SI YA MBOWE,
 
mkuu acha kutokwa na povu , hata ulie vipi video haitoki. mambo ya ushabiki hayatakiwi kwenye hii video.
 
Wote tumeshuhudia ni jinsi gani polisi wetu wa Tanzania wanavyofanya kazi, juzi juzi tu hapa kulitokea mlipuko wa bomu katika mkutano wa chama kikuu cha upinzani chadema, katika sintofahamu hiyo kiongozi wa chama cha upinzani bungeni ndugu Freeman Mbowe alinukuliwa akisema ana ushahidi wa mkanda wa mtu aliyelipua bomu lile na tukashuhudia ndugu freeman mbowe akipata misukosuko na jeshi la polisi akitakiwa apeleke ushahidi polisi mara moja lasivyo mkondo wa sheria utachukua nafasi yake. Lakini miaka ya nyuma Rais jakaya kikwete aliwahi kutamka kuwa anaushahidi wa majina ya watu wanaofanya biashara ya madawa ya kulevya hapa nchini na nje ya nchi, cha ajabu sijasikia polisi wakimtaka awasilishe ushahidi na kumtia misukosuko kama walivyofanya kwa Mbowe, najiuliza sheria ipo upande mmoja?
 
Huzipendi kucha zako?Jibu lako kama ni ndio:endelea kuuliza!

Nikirejea kwenye mada yako, wakati fulani polisi wanaweza kupewa lawama wasizostahili. Wao wanafanya kazi kwa kufuata amri ya wakubwa wao. Wapo wazalendo wengine ndani ya polisi wanafanya wanayoyafanya kwa shingo upande.
 
JK, Mwigulu, Nchimbi, Kamuhanda, na Chagonjwa wako juu ya sheria.
 
Huzipendi kucha zako?Jibu lako kama ni ndio:endelea kuuliza!

Nikirejea kwenye mada yako, wakati fulani polisi wanaweza kupewa lawama wasizostahili. Wao wanafanya kazi kwa kufuata amri ya wakubwa wao. Wapo wazalendo wengine ndani ya polisi wanafanya wanayoyafanya kwa shingo upande.
Kama hawastahili lawama mbona wanawekwa ndani? Mf. Aliyemuua Mwangosi.
 
Back
Top Bottom