Jebra: Haikuwa sawa Lissu kunyimwa mashahidi aliowaita

Elias Msuya

Platinum Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
248
Reaction score
969

Jebra kambole.png

Wakili wa kujitegemea, Jebra Kambole, amepinga uamuzi wa Mahakama Kuu wa kuwakataa baadhi ya mashahidi waliopendekezwa na Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, katika kesi ya uhaini inayomkabili.​

Kambole amesema Mahakama haikupaswa kuamua kuwa ushahidi wa mashahidi hao hauna umuhimu (relevance) kabla ya kuwasikiliza na kutathmini maudhui ya ushahidi wao.

Akisoma uamuzi huo Septemba 10, Jaji Dastan Ndunguru, anayeongoza jopo la majaji watatu wanaosikiliza kesi hiyo, alikataa ombi la Lissu la kuwaita Rais Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais mstaafu, Dk Philip Mpango, Waziri Mkuu mstaafu, Kassim Majaliwa na Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Suleiman Mombo, akisema ushahidi wao hauna uhusiano na masuala yanayojadiliwa.

Hata hivyo, Jaji Ndunguru alikubali kuwaita Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda, Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Camillus Wambura na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhan Kingai.

Akizungumzia uamuzi huo, Kambole amesema relevancy ya ushahidi haiwezi kuamuliwa kwa kuangalia jina au cheo cha shahidi, bali inapaswa kuangaliwa baada ya kusikiliza ushahidi anaotarajiwa kuutoa.

“Relevancy unaipima baada ya kumsikia mtu au kufanya assessment ya ushahidi wake. Huwezi kujudge relevancy kwa jina tu la mtu. Relevancy unajudge na content atakayozungumza,” amesema.
Screenshot 2026-09-11 205643.png

Amesema mshtakiwa ndiye mwenye mamlaka ya kuamua mashahidi atakaowaita katika utetezi wake, huku jukumu la Mahakama likiwa ni kutathmini ushahidi utakaowasilishwa.

Kwa mujibu wa Kambole, hoja kwamba mashahidi waliokubaliwa wanaweza kutoa ushahidi wa kumkandamiza Lissu pia si sababu ya kuwazuia kuitwa mahakamani.

Amesema iwapo shahidi wa upande wa utetezi atatoa ushahidi unaopingana na maslahi ya mshtakiwa, wakili anaweza kumuomba Mahakama amruhusu kumhoji kama shahidi adui (hostile witness).
 
Attachments

  • Jebra-1.m4a
    Jebra-1.m4a
    5.2 MB · Views: 3
  • Screenshot 2026-09-11 205643.png
    Screenshot 2026-09-11 205643.png
    151.8 KB · Views: 2

View attachment 3668676​

Wakili wa kujitegemea, Jebra Kambole, amepinga uamuzi wa Mahakama Kuu wa kuwakataa baadhi ya mashahidi waliopendekezwa na Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, katika kesi ya uhaini inayomkabili.​

Kambole amesema Mahakama haikupaswa kuamua kuwa ushahidi wa mashahidi hao hauna umuhimu (relevance) kabla ya kuwasikiliza na kutathmini maudhui ya ushahidi wao.

Akisoma uamuzi huo Septemba 10, Jaji Dastan Ndunguru, anayeongoza jopo la majaji watatu wanaosikiliza kesi hiyo, alikataa ombi la Lissu la kuwaita Rais Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais mstaafu, Dk Philip Mpango, Waziri Mkuu mstaafu, Kassim Majaliwa na Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Suleiman Mombo, akisema ushahidi wao hauna uhusiano na masuala yanayojadiliwa.

Hata hivyo, Jaji Ndunguru alikubali kuwaita Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda, Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Camillus Wambura na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhan Kingai.

Akizungumzia uamuzi huo, Kambole amesema relevancy ya ushahidi haiwezi kuamuliwa kwa kuangalia jina au cheo cha shahidi, bali inapaswa kuangaliwa baada ya kusikiliza ushahidi anaotarajiwa kuutoa.

“Relevancy unaipima baada ya kumsikia mtu au kufanya assessment ya ushahidi wake. Huwezi kujudge relevancy kwa jina tu la mtu. Relevancy unajudge na content atakayozungumza,” amesema.
View attachment 3668677

Amesema mshtakiwa ndiye mwenye mamlaka ya kuamua mashahidi atakaowaita katika utetezi wake, huku jukumu la Mahakama likiwa ni kutathmini ushahidi utakaowasilishwa.

Kwa mujibu wa Kambole, hoja kwamba mashahidi waliokubaliwa wanaweza kutoa ushahidi wa kumkandamiza Lissu pia si sababu ya kuwazuia kuitwa mahakamani.

Amesema iwapo shahidi wa upande wa utetezi atatoa ushahidi unaopingana na maslahi ya mshtakiwa, wakili anaweza kumuomba Mahakama amruhusu kumhoji kama shahidi adui (hostile witness).
ok. 🐒
 
Wakate rufaa ya uamuzi ili mbivu na mbichi zijulikane, kama wakimpa adhabu yoyote wakati walizuia mashahidi litakuwa kosa kubwa, halafu wote tunajua wao ndio walitengeneza hii kesi kwanini wanaogopa kuja.
 
anaingilia uhuru wa Mahakama, akitaka aombe kazi a uhakimu.
 
Hasa Samia

Huyu Maza hiyo miezi 3 ni kuingia magichoni tu kiaina wakati bado anaongoza nyuma ya pazia.

By the way, hivi mwamke wa kìslamu akiwa Eda anaruhusiwa kutembelewa na makafiri waliovaa kanzu na vibaragashia vywa uongo na kupigwa hug? Mkuu una upeo kwenye hili?
 
View attachment 3668676​

Wakili wa kujitegemea, Jebra Kambole, amepinga uamuzi wa Mahakama Kuu wa kuwakataa baadhi ya mashahidi waliopendekezwa na Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, katika kesi ya uhaini inayomkabili.​

Kambole amesema Mahakama haikupaswa kuamua kuwa ushahidi wa mashahidi hao hauna umuhimu (relevance) kabla ya kuwasikiliza na kutathmini maudhui ya ushahidi wao.

Akisoma uamuzi huo Septemba 10, Jaji Dastan Ndunguru, anayeongoza jopo la majaji watatu wanaosikiliza kesi hiyo, alikataa ombi la Lissu la kuwaita Rais Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais mstaafu, Dk Philip Mpango, Waziri Mkuu mstaafu, Kassim Majaliwa na Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Suleiman Mombo, akisema ushahidi wao hauna uhusiano na masuala yanayojadiliwa.

Hata hivyo, Jaji Ndunguru alikubali kuwaita Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda, Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Camillus Wambura na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Ramadhan Kingai.

Akizungumzia uamuzi huo, Kambole amesema relevancy ya ushahidi haiwezi kuamuliwa kwa kuangalia jina au cheo cha shahidi, bali inapaswa kuangaliwa baada ya kusikiliza ushahidi anaotarajiwa kuutoa.

“Relevancy unaipima baada ya kumsikia mtu au kufanya assessment ya ushahidi wake. Huwezi kujudge relevancy kwa jina tu la mtu. Relevancy unajudge na content atakayozungumza,” amesema.
View attachment 3668677

Amesema mshtakiwa ndiye mwenye mamlaka ya kuamua mashahidi atakaowaita katika utetezi wake, huku jukumu la Mahakama likiwa ni kutathmini ushahidi utakaowasilishwa.

Kwa mujibu wa Kambole, hoja kwamba mashahidi waliokubaliwa wanaweza kutoa ushahidi wa kumkandamiza Lissu pia si sababu ya kuwazuia kuitwa mahakamani.

Amesema iwapo shahidi wa upande wa utetezi atatoa ushahidi unaopingana na maslahi ya mshtakiwa, wakili anaweza kumuomba Mahakama amruhusu kumhoji kama shahidi adui (hostile witness).
Na kuna mambo ya msingi ya kuwauliza Kuhusiana na Kesi kama Baraza la Ulinzi wakipata hii taarifa na hatua walizo chukua , ikiwemo tiss kulibeba Jambo hili na Offisi ya dpp.
 
Kwa kifupi,Mahakama imeshatoa jukumu ya kesi.Imeelezq kuwa kesi hiyo siyo uhaini.Ni kesi ya kutengeneza nia ya kuvuruga uchaguzi.
Ndiyo maana Mahakama imeona hao hawana haja ya kutoa ushahidi kwa ajili ya utetezi wa kesi ya vurugu.Imeona hao maafande wanatosha.
 
Back
Top Bottom