Mbowe: Polisi tukutane Mahakamani ila siwapi Ushahidi

Mbowe: Polisi tukutane Mahakamani ila siwapi Ushahidi

Kikwete amemtaka rais Bashir kuwasaka na kuwakamata watu waliowaua askari wa JWTZ lakini mwenyewe ameshindwa kuwasaka waliorusha mabomu na kuuawa raia wasio na hatia mchana kweupe!
Naongezea nyama mkuu,awasake na wale waliovunja na kuiba mali pale sentro policcm mwanza ili tujue wana weledi...
 
Tumekusikia retired cop! Hizo nguvu mnazotaka muelekeze kwenye kumnasa Mbowe kwanini msielekeze kutafuta watesaji wa Ulimboka na Kibanda? Kwanini msielekeze kwa majambazi wanaotuvunjia na kutuibia kila uchwao? Acheni bangi nyie.

Waacheje bangi wakati ndio inawaneemesha, si majuzi mnakumbuka kule Himo wananchi walipowazuia na landcruiser yao ikiwa imesheheni magunia ya bangi wakivushia nchi jirani; na hata hiyo kesi
hamtakaa muisikie mahakamani. Na kwenye mirungi na gongo pia usiseme
kwani kwa huku Arusha ni multibillion shilling business wanayoilinda kwa karibu - usiwashangae wanavyonenepeana wakati mishahara yao inajulikana. Utakapoingia utawala mpya ni muhimu na hilo jeshi liundwe upya.
 
Kikwete aliposema anawajua wanaojiusisha na madawa ya kulevya polis walimfuata??? Aliposema anawajua wala rushwa alifuatwa ?????????????aibu kwa polisi
 
Mbona chemba la mavi alisema anaushahidi wa lwakatere duniani hadi mbinguni mbona hawakumsumbua??? Policcm wanatumika kwa maslahu ya ccm.hatuna imani na jeshi la policcm period
 
Kinachosemwa na MH. mbowe ni kweli na ni haki,si lazima mtu alete ushahidi polisi wakati polisi ndio watuhumiwa,polisi wenyewe wamekuwa wakikili kuwa siyo polisi wote wanafanya makosa.Huenda hata ktk hili kuna mmoja alifanya makosa sasa itakuwaje akipewa ushahidi si atauharibu alafu ndo washitaki.Nawashauri polisi wafungue mashtaka mahakamani ya Mh.mbowe kukataa kuwasilisha ushahidi polisi.Naamini mahakama itatenda haki.
Na ktk hili kwa nini polisi wanalazimisha kupewa ushahidi? mbona tukiripoti kuibiwa mali zetu hamfuatilii namna hii na wakati mwingine mshitaki akiamua kuondoka polisi haimlazimishi kushtaki,hapa kuna nini?
 
Mbona chemba la mavi alisema anaushahidi wa lwakatere duniani hadi mbinguni mbona hawakumsumbua??? Policcm wanatumika kwa maslahu ya ccm.hatuna imani na jeshi la policcm period
Inatia aibu kweli mipoliccm hii ilibidi
iende huko sudan
 
uwezo wa jeshi letu la polisi ni mdogo sana, eti mpaka sasa tume iliyoundwa haina haijapata chochote. watanzania sasa tunaamini wachawi wa mikutano ya cdm ni polisi. Kwa hili polis mnajua mmehusika.
[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]

Sasa mzee wewe tangu uzaliwe ulishawahi kusikia hata kwa tetesi tu kwamba kuna nchi kituo cha polisi kimevamiwa na majambazi wakaiba wakaondoka na hakuna jambazi alikwaruzwa hata na mapazia? unajua wakati mwingine ukiifikiria sana hii nchi unaweza kuwa kichaa.
 
polisi hawa wa magamba wenye vyeti bandia vya kidato cha nne hawa hawa wala rushwa wakubwa.
 
Wakuu naombeni msaada wenu..Mimi kwangu naona kama maajabu sana!

Kama Polisi wapo na wanaUsalama wa taifa wapo....ni kwa nini yule Mhe. Mbowe alazimishwe kuwasilisha ushahidi alionao...wakati kesi kuhusu washukiwa wa mabomu ya Arusha wala haipo mahakamani kokote nchini wala nje ya nchi?
 
Si auweke sasa hivi kwenye youtube huo ushahidi na mwingine apeleke UN, vyombo vya haki za binadamu, na kwa Mabalozi wa Nje . Na copy atawanye kwenye magazeti yote ya ndani na nje . Au huo ushahidi mpaka u expire. Mbowe aache longolonge hivi hao wafiwa na majeruhi walioko hospitali wanamuonaje . Rais aunde tume ya nn kupoteza muda na hela wakati Mbowe anasema ushahidi anao. Na kama hataki kuutoa basi akae nao awe anaangalia yeye na familia yake kama cinema . Aache kuhadaa watu.
Nakubaliana na wewe baadhi ya mambo, ingekuwa vyema na busara kwa mbowe au chadema kuutoa ushahidi huu kwa umma, vyombo, vya habari na wanaharakati ili hatua stahiki zichukuliwe.. Kuendeleza ubishi na vyombo hivi vya dola ambavyo historia inaonyesha sio sikivu na serikali yetu hufanya kazi kwa matukio. Kulirefusha hili jambo ni kuurefusha msiba wa ndugu zetu na kuendelea kutupa machungu bila sababu yeyote ya msingi. Please please Mhe Mbowe, Chadema na Serikali yetu please spare some courtesy to our brother and sister by letting the truth to come out. Acheni kuwatesa ndugu zetu kwa kuukalia ukweli be serious Let them rest in peace..... Kwa mtu yeyote aliyepoteza ndugu kwenye msiba huu hizi zote ni sarakasi.. Wekeni ushahidi humu kama tulivyoupata wa Mwangosi na tutajua mnafiki ni nani... kuendelea kulivuta jambo hili kutapunguza hata nguvu ya huo ushahidi maana wapiga propaganda watasema CDM iliukalia ushahidi makusudi ili iuchakachue na hili litakapotokea huo ushahidi utakosa credibility na watu hawatauamini na wataufanya mzaha...... TUNAOMBA HAYA YAFIKIKE MWISHO WAKE.. KAMA KWELI CHADEMA WANA USHAHIDI HUU NA WAMEUKALIA WANAFANYA MAKOSA MAKUBWA SANAA KWA WAHANGA WA TUKIO HILI NA HAWAWATENDEI HAKI HATA KIDOGO MAREHEMU NDUGU ZETUU... NA MNAWAPA NAFASI YA KUTENGENEZA PROPAGANDA ZA KUUZIMA UKWELI PALE UTAKAPOTOLEWA HADHARANI.. TUNA KILA HAKI YA KUJUA NINI KILICHOTOKEA SIKU ILE, SI MBOWE WALA SI POLISI MWENYE MAMLAKA YA KUTUNYIMA KUUJUA UKWELI HUU.. MBOWE NA CHADEMA LAZIMA MUWE NA DEDLINE MLIYOJIWEKEA HAMUWEZI KUKAA NA USHAHIDI WA MAUAJI YA RAIA NA KUTUNYIMA HAKI YA HABARI ETI KWA SABABU RAIS HATAKI KUUNDA TUME... TO HELL NA TUME YAO... TUNAHITAJI KUJUAAA.. WEKA VIDEO DUNIA NZIMA IONE UDHALIMU ULITENDAKA DHIDI YA RAIA WASIOKUWA NA HATIAA.. ZAIDI YA HAPO WOTEE MNACHEZA NGOMA ZA KWENU KWENYE MAKABURI YA NDUGU ZETU... AND YOU DESERVE PURNISHMENT
 
Kauri hii siyo bure polisi wawe makini anaweza kufa mtu hawa watu kuuwa kwaokama kawa tu,polisi jiandaeni mwenzenu hamaanishi mahakama kweli ni lugha ya picha tu.
541466_356244624475580_869130086_n.jpg
 
Kikwete amemtaka rais Bashir kuwasaka na kuwakamata watu waliowaua askari wa JWTZ lakini mwenyewe ameshindwa kuwasaka waliorusha mabomu na kuuawa raia wasio na hatia mchana kweupe!
Unapokuwa na Rais anayewaza ndoa tu badala ya maendeleo ni hatari kwa taifa

images
 
kwa hiyo report yao inasubiri ushahidi wa Mbowe ili kiwe kiambatanisho au vp? wasema kama wameshindwa ili kuliko kujiabisha kwa kiasi hiki yale ya kiana victor hd leo hatujui muendelezo wake, polisi na bange kimya hivi hawa wanaweza kuchunguza nn na kikaisha kwa wakati

Chadema wangekuwa hawana ushahidi wangemdai nani, huu ni zaidi ya uzuzu kwa Jeshi la police..
 
Back
Top Bottom