Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,124
Ati wamesusiwa?
ben sananehuu uchochezi wa habibu mchange,mtela mwampamba na kijana festo sanga ni unafiki wa hali ya juu
habibu mchange anatumiwa na watu walioko hata nje ya chadema.mwezi wa julai mwaka huu mtela mwampamba walikua dodoma na walikua wakikatiwa pochi na mwigulu nchemba.kwa muda wato waliokaa dodoma walikua wakigharamiwa na mwigulu pamoja na baadhi ya wabunge wa upinzani wenye bidii ya kuhujumu chadema na uongozi wa juu
baada ya kutoka dodoma ndipo walipotekeleza mkakati wa vipeperushi na tshirt za m4c na kufanya upotoshaji kwa kuchora movement for chagga.mkakati huu wa kuihujumu m4c unaendelea hata makala ya mchange ilibeza m4c katika mkakati wao wa kuiua nguvu
zitto ni kiongozi wa chama lakini anajua kila kitu kinachoendelea.kuna mambo mengine mazito sitaki kuyaandika hapa ila uongozi wa chadema hasa dr.slaa na mbowe wamevulia vya kutosha
chadema kuendelea kuwakumbatia vijana hawa wanaotumika na ccm kwa njaa zao ni kukatisha tamaa vijana wengi walioko field.
Wahi ward ya leba pale Muhimbili.. Ucisahau kubeba pamba na gloves..
Sosoliso, hata wewe! Ama kweli, JF vituko haviishi.
ben sanane
Huu uchochezi wa Habibu Mchange,Mtela Mwampamba na kijana Festo Sanga ni unafiki wa hali ya Juu
Habibu Mchange anatumiwa na watu walioko hata nje ya CHADEMA.Mwezi wa Julai mwaka huu Mtela Mwampamba walikua Dodoma na walikua wakikatiwa pochi Na Mwigulu Nchemba.Kwa muda wato waliokaa Dodoma walikua wakigharamiwa na Mwigulu pamoja na baadhi ya wabunge wa upinzani wenye bidii ya kuhujumu CHADEMA na uongozi wa juu
Baada ya kutoka Dodoma ndipo walipotekeleza mkakati wa vipeperushi na tshirt za M4C na kufanya upotoshaji kwa kuchora Movement for Chagga.Mkakati huu wa kuihujumu M4C unaendelea hata makala ya Mchange ilibeza M4C katika mkakati wao wa kuiua nguvu
Zitto ni kiongozi wa chama lakini anajua kila kitu kinachoendelea.Kuna mambo mengine mazito sitaki kuyaandika hapa ila uongozi wa CHADEMA hasa DR.Slaa na Mbowe wamevulia vya kutosha
CHADEMA kuendelea kuwakumbatia vijana hawa wanaotumika na CCM kwa njaa zao ni kukatisha tamaa vijana wengi walioko field.
ben sanane
ben sanane