Mbowe na Slaa wamesusiwa chama?

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,385
2,000
CCM ambayo viongozi hawakususiwa mbona imelazwa makaburini?ama mnataka kila mmoja awe msemaji kama kambare ..CDM haiko h
 
Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,385
2,000
na hao unaosema wameshashindwa wameshindwa wapi bungeni ama majimboni mwao,kivipi?
 
TUKUTUKU

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
11,785
2,000
Mkuu chama,
Kuna uzi upo humu unauliza Chadema ni taasisi au Dr Slaa ndio taasisi, niwajibu kuwa Chadema ni taasisi nikawauliza kwa nini michango ya M4C yote inakusanywa na Lema na Mbowe. Jamaa badala ya kujibu wakaanza kunishambulia.
Mkuu siasa umezifanya kama ushabiki wa Simba na Yanga!Lema na Mbowe wanajigawaje nchi nzima kukusanya hiyo michango?kwa ni CCM mnawachukia sana wachaga,nini siri ya hili?na kwa nini CCM damu damu na watu wa pwani?chama chenu kinaharufu ya ubaguzi wa chini chini?
Na ni kwa nini hivi?
Ally Hassan Mwinyi-Anatoka pwani ya bahari ya hindi
Benjamini Mkapa-Anatoka pwani ya bahari ya hindi
Jakaya Mrisho Kikwete -Anatoka pwani ya bahari ya hindi
Benard Membe pia mnataka awe rais atakayekuwa anatoka pwani ya bahari ya hindi

Mkuu hamuwezi kuendelea kutufanya wajinga sisi tunajua hila zenu zote na safari hii tutapambana na ninyi mbaka kieleweke!!!
 
nyampanaga

JF-Expert Member
Nov 16, 2012
346
195
kweli cdm imewashika pabaya ccm, kila kukicha macho na mawazo ni kwa cdm tu...jamani ccm tatueni kero za wa tanzania, kuna faida gani kutumia nguvu na muda mwingi kupambana na cdm ilhali hakuna walimu wakutosha mashuleni, wala dawa mahospitalini hakuna na ma ct scan hayafanyi kazi??Kubalianeni na hali halisi iliyopo,...' wakati ukuta'...mmefika mwisho nilazima mtatoka tu....no way out mmechokwaaaaaaa.
 
Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
15,126
2,000
kazi ya molemo ni kutibua tibua yaani yeye hanaga hoja hata siku moja...ataishia kulialia tu kwamba mnamsema mbowe na dr.slaa
molemo uwezo wake wa kuchambua hoja na kuzijibu accordingly ni nusu kaputi.
Kwani na wewe una hoja? Zile ni hoja au vihoja?

Mlitakaje nyie watu, kwamba wabunge wa CDM wawe kama wa CCM kuleta maslahi ya chama bungeni? Huyu mtoa mada ana ubongo mvivu sana, hajuo kutofautisha 'HOJA BINAFSI' na 'MAMBO BINAFSI'.

Chukulia mfano hoja binafsi ya FAO LA KUJITOA. Sasa mbunge aliyethubutu kupeleka hoja kama hiyo unaweza kusema ni mtu asiyewajibika? Au yeye alitakaje, labda wabunge wa CDM wawe wanafokeana na 'mheshimiwa mama' kila wakati ndio awaone active?

Kweli kina mtu huwa na mawazo yake, na kila mtu huwa na uozo wake pia. Huyu alitaka kutuletea mawazo, akajikuta ametuletea uozo, the same goes to you mr gamba
 
Aug 10, 2012
74
0
Mbowe kasusiwa chama????
Yawezekana ndio sababu ya mbowe kuanza kumuta sumaye aje amsaidie???
Duuuh mbowe naye kwa hasira ameamua kupeleka nguvu zake kwa kikwete yaani amenyoosha mikono juu na kusema kikwete wewe ndiye rais pekee niliyekuona tangu nianze siasa.
Dr.slaa yeye kazi yake ni kutoa matamko tu siku hizi tena akiwa amejifungia ofisini
dr.slaa yeye amevunjika moyo jabisa baada ya kubamizwa kwenye chaguzi za kata alipoambulia patupu kata zote alizopewa atembelee na kufanya mikutano
Mwenye tatizo si Dr.Slaa, ni watanzania wote! Ujinga tu ndio unaokufanya ujione uko salama ndani ya CCM inayokutumia kama toilet paper na baadae ikutupe. Wewe ni ccm zaidi ya Lowasa na Sumaye? Ona leo jinsi wanazodolewa pamoja na kushika madaraka ya juu! Kama Sumaye na Lowasa ambao wamekitumikia chama kwa level ya juu kabisa hawana chao ndani ya ccm , je wewe? CCM ni tatiyo kwa kila mtanzania mwenye akili kidogo tu! Ukiona bado huoni tatizo ndani ya ccm, wakati hata mwenyekiti wao AMEKIRI MARA NYINGI kwamba kuna matatizo then wahi muhimbili wakacheki medula of oblongata kama iko sawasawa. Slaa haangaikii shida zake tu , ni pamoja na zako mkuu, JARIBU KUJITAMBUA; USIWE MTUMWA WA MAWAZO!
 
Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
15,126
2,000
Mkuu chama,
Kuna uzi upo humu unauliza Chadema ni taasisi au Dr Slaa ndio taasisi, nikawajibu kuwa Chadema ni taasisi ya watu fulani, nikawauliza kwa nini michango ya M4C yote inakusanywa na Lema na Mbowe. Jamaa badala ya kujibu wakaanza kunishambulia.
Kweli hata ujinga nao una washabiki wake vile vile. chama na Ritz mnapaswa kufahamu kuwa unafiki ni mzigo wa mwenyenao. Leo hii mnasema CDM ni Dr Slaa, Lema na Mbowe, lkn ni watu nyinyi nyinyi mnaoanzishaga chokochoo za kijinga kuwa bila Zitto Kabwe CDM isingekuwa ilipo.

Mnadhani CDM ni CCM eeh! Lema na Mbowe ndio wanakusanya michango ni swali la kipuuzi, tena sana. Ulitaka akusanye nani? Fedha ndogo ndogo ndio zinawafanya muuane huko CCM lkn hayo hamyaoni, mnarukia ambapo hamna shida na kuhoji. Hebu ngoja nikukumbushe jinsi mlivyo na tabia mbovu kwenye hela na chakula cha halaiki

View attachment 71783 View attachment 71784

View attachment 71786
 
Last edited by a moderator:

Precise Pangolin

JF-Expert Member
Jan 4, 2012
12,459
2,000
Precise pangolin
ahhaa haha kuna yule mbunge gari zikumuona zinakimbia yupo wapi sijamsikia wiki hii; na lile jangili la wake za watu lipo wapi mkuu?

Chama
Gongo la mboto DSM
Ni kweli limekamatiwa china na container za pembe. Naona mmeajiri wasomali vipi 2015 mtasimamisha msomali kwenye urais?
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,257
2,000
Kweli hata ujinga nao una washabiki wake vile vile. chama na Ritz mnapaswa kufahamu kuwa unafiki ni mzigo wa mwenyenao. Leo hii mnasema CDM ni Dr Slaa, Lema na Mbowe, lkn ni watu nyinyi nyinyi mnaoanzishaga chokochoo za kijinga kuwa bila Zitto Kabwe CDM isingekuwa ilipo.

Mnadhani CDM ni CCM eeh! Lema na Mbowe ndio wanakusanya michango ni swali la kipuuzi, tena sana. Ulitaka akusanye nani? Fedha ndogo ndogo ndio zinawafanya muuane huko CCM lkn hayo hamyaoni, mnarukia ambapo hamna shida na kuhoji. Hebu ngoja nikukumbushe jinsi mlivyo na tabia mbovu kwenye hela na chakula cha halaiki

View attachment 71783 View attachment 71784

View attachment 71786
Hivi hunajua kuwa ujinga wako ni faida yetu. Wewe endelea kuwabebea mikoba kina Mbowe na Dr Slaa.
 
Last edited by a moderator:

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,257
2,000
Mkuu siasa umezifanya kama ushabiki wa Simba na Yanga!Lema na Mbowe wanajigawaje nchi nzima kukusanya hiyo michango?kwa ni CCM mnawachukia sana wachaga,nini siri ya hili?na kwa nini CCM damu damu na watu wa pwani?chama chenu kinaharufu ya ubaguzi wa chini chini?
Na ni kwa nini hivi?
Ally Hassan Mwinyi-Anatoka pwani ya bahari ya hindi
Benjamini Mkapa-Anatoka pwani ya bahari ya hindi
Jakaya Mrisho Kikwete -Anatoka pwani ya bahari ya hindi
Benard Membe pia mnataka awe rais atakayekuwa anatoka pwani ya bahari ya hindi

Mkuu hamuwezi kuendelea kutufanya wajinga sisi tunajua hila zenu zote na safari hii tutapambana na ninyi mbaka kieleweke!!!
Mkuu wewe siasa umezigeuza ni Futuhi? Safari hii Rais atakuwa Lowassa kutoka Kaskazini msiwe na wasiwasi watu wa Kaskazini.
 
chama

JF-Expert Member
Aug 6, 2010
8,005
0
Ni kweli limekamatiwa china na container za pembe. Naona mmeajiri wasomali vipi 2015 mtasimamisha msomali kwenye urais?
Akiwa na sifa za kichama na wajumbe wakimpitisha tunamsimamisha; CCM hatutumii dhana ya ukabila kwenye chaguzi zetu tunaangalia uwezo wa mtu; vipi na nyie watani tunasimamisha wa wapi Rombo au Machame?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mndokanyi

JF-Expert Member
Sep 6, 2012
629
250
Bunge letu ni kama Kamati ya harusi kutokana na wabunge wa upinzani kuwa wachache na kukosa idadi kamili ya kuweza kusitisha mambo yanayoletwa bungeni ambayo hayana faida kwa wananchi.Wabunge wa CHADEMA wamekuwa na nguvu katika kutetea hoja zao na huwa zina mashiko,ila kutokana na idadi ya wabunge wa CCM, wanapitisha kila kitu hata kama hakina maslahi kwa wananchi.
 
chama

JF-Expert Member
Aug 6, 2010
8,005
0
Mkuu siasa umezifanya kama ushabiki wa Simba na Yanga!Lema na Mbowe wanajigawaje nchi nzima kukusanya hiyo michango?kwa ni CCM mnawachukia sana wachaga,nini siri ya hili?na kwa nini CCM damu damu na watu wa pwani?chama chenu kinaharufu ya ubaguzi wa chini chini?
Na ni kwa nini hivi?
Ally Hassan Mwinyi-Anatoka pwani ya bahari ya hindi
Benjamini Mkapa-Anatoka pwani ya bahari ya hindi
Jakaya Mrisho Kikwete -Anatoka pwani ya bahari ya hindi
Benard Membe pia mnataka awe rais atakayekuwa anatoka pwani ya bahari ya hindi

Mkuu hamuwezi kuendelea kutufanya wajinga sisi tunajua hila zenu zote na safari hii tutapambana na ninyi mbaka kieleweke!!!
Umemsahau Mwl. Nyerere naye anatoka pwani ya bahari ya hindi- kwa Mussa Hassan aka Msasani!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Precise Pangolin

JF-Expert Member
Jan 4, 2012
12,459
2,000
Akiwa na sifa za kichama na wajumbe wakimpitisha tunamsimamisha; CCM hatutumii dhana ya ukabila kwenye chaguzi zetu tunaangalia uwezo wa mtu; vipi na nyie watani tunasimamisha wa wapi Rombo au Machame?

Chama
Gongo la mboto DSM
kuna haramia moja lipo Huku kigamboni linachangia sana ccm naona lazima lipate uongozi
 
jigoku

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
2,413
1,250
Tafiti zingine bwana unashindwa hata pa kuanzia kuchangia,maana katuambia ni tafiti,mwisho anatuambia ni mtizamo wake,sasa hapo tukichangia tutakuwa tunachangia kwa mujibu wa utafiti au kwa mujibu wa mtizamo wake?
kama ni tafiti hajatuambia mengi yanayoendana na tafiti,na ni tafiti ya namna gani,na hata kama ni tafiti sample size yake ikoje?maana isije ikawa ni ya watu 5 kisha mtu akaja na matokeo ya utafiti.Ila kama ni mtizamo wake ni sawa lakini kwa kuwa kwenye uzi huu katuandikia yote mawili yaani Tafiti na Mtizamo wake kwangu mimi ni ngumu kuchangia hoja yake.angelikuwa ameamua kitu kimoja hapo kweli nigechangia au kujadili kutokana na aliposimamia.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom