Mbowe na Slaa wamesusiwa chama?

Ben Saanane

Verified Member
Jan 18, 2007
14,596
2,000
Huu uchochezi wa Habibu Mchange,Mtela Mwampamba na kijana Festo Sanga ni unafiki wa hali ya Juu

Habibu Mchange anatumiwa na watu walioko hata nje ya CHADEMA.Mwezi wa Julai mwaka huu Mtela Mwampamba walikua Dodoma na walikua wakikatiwa pochi Na Mwigulu Nchemba.Kwa muda wato waliokaa Dodoma walikua wakigharamiwa na Mwigulu pamoja na baadhi ya wabunge wa upinzani wenye bidii ya kuhujumu CHADEMA na uongozi wa juu

Baada ya kutoka Dodoma ndipo walipotekeleza mkakati wa vipeperushi na tshirt za M4C na kufanya upotoshaji kwa kuchora Movement for Chagga.Mkakati huu wa kuihujumu M4C unaendelea hata makala ya Mchange ilibeza M4C katika mkakati wao wa kuiua nguvu

Zitto ni kiongozi wa chama lakini anajua kila kitu kinachoendelea.Kuna mambo mengine mazito sitaki kuyaandika hapa ila uongozi wa CHADEMA hasa DR.Slaa na Mbowe wamevulia vya kutosha
CHADEMA kuendelea kuwakumbatia vijana hawa wanaotumika na CCM kwa njaa zao ni kukatisha tamaa vijana wengi walioko field.
 
TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
2,000
huu uchochezi wa habibu mchange,mtela mwampamba na kijana festo sanga ni unafiki wa hali ya juu

habibu mchange anatumiwa na watu walioko hata nje ya chadema.mwezi wa julai mwaka huu mtela mwampamba walikua dodoma na walikua wakikatiwa pochi na mwigulu nchemba.kwa muda wato waliokaa dodoma walikua wakigharamiwa na mwigulu pamoja na baadhi ya wabunge wa upinzani wenye bidii ya kuhujumu chadema na uongozi wa juu

baada ya kutoka dodoma ndipo walipotekeleza mkakati wa vipeperushi na tshirt za m4c na kufanya upotoshaji kwa kuchora movement for chagga.mkakati huu wa kuihujumu m4c unaendelea hata makala ya mchange ilibeza m4c katika mkakati wao wa kuiua nguvu

zitto ni kiongozi wa chama lakini anajua kila kitu kinachoendelea.kuna mambo mengine mazito sitaki kuyaandika hapa ila uongozi wa chadema hasa dr.slaa na mbowe wamevulia vya kutosha
chadema kuendelea kuwakumbatia vijana hawa wanaotumika na ccm kwa njaa zao ni kukatisha tamaa vijana wengi walioko field.
ben sanane
 
marikiti

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
2,910
2,000
Hii mijamaa ya cdm ya ajabu kweli ukikosoa chama chao inahamaki na kuanza kutukana imezoea kushangiliwa hata ikisema utumbo sasa watu wameanza kuwageuka waporomasha mitusi ovyo mwanaharamu haachi asili
 
Queen Esther

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
1,960
2,000
Wana CHADEMA, naomba kuwashauri Kama ifuatavyo:
1. Matamshi yenu Mara huyu kambi ya Zitto na huyu ya Slaa! Yanakera wasomaji Kama Mimi na wengine naamini.
2. Badala ya kujenga Chama chenu mnakiua kila kukicha,
3. Kwa staili hii hamtafika 2015, hata wale mliowapata mtawapoteza, pia wanaotaka kujiunga mnawazuia maana kutwa ni ooooo! Zitooooo oooooooo! Silaaaa? Hamna kazi za kufanya?
4 badala ya kumjenga mdogo wangu Zito mnambomoa bila kujua. Your promoting strategy is too cheap!!!!!!
5. Mara nyingi nimekuwa nikimsikiliza Zitto, huwa Ana hoja nzuri sana sana, tatizo huzianzisha Kama mtu binafsi na sio Chama. Fuatilia hoja zote za Zitto tangu ameanza, kutwa ni media tuu (one man show), itawezekana hapewi ushirikiano au la sijui.
6. CCM inajiimaisha, CDM inajibomoa, hata pale mlipojenga mnabomoa wenyewe, tena kwa mikono yenu, so sad
7. CHADEMA watu waliwapenda/ wanawapenda only kwa sababu mumeweza kusaidia kuongoza nchi mkiwa pembeni na hii ni dhana nzima na maana ya upinzani. Pale mnapokosa dira na kuanza viroja ninyi kwa ninyi Hakika mtaangamia.
8. Mjitathmini upya muangalie Kama bado mko kwenye njia sahihi au la. Jirekisheni mapema msipoangalia aliyosema mhe Wasira yatatimia.
9. TUNAPENDA MUENDELEE KUWEPO ILI MUIKOSOE SEREKALI KWA FAIDA YA WATANZANIA

Naomba kuwasilisha
Queen Esther
 
kitero

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
563
0
kuna vyama tangia kuanzishwa kwake kubadili wenyeviti na viongozi wengine ni ndoto na vingine tokea kuanzishwa kwake vimekuwa vya ukoo.ila Cdm ndiyo iliyoonekana.Najua ule uongozi umewashinda kwa hiyo iliyo bakia ni mbinu mbadala tuu.mshindwe
uu
 
Ben Saanane

Verified Member
Jan 18, 2007
14,596
2,000
Huu uchochezi wa Habibu Mchange,Mtela Mwampamba na kijana Festo Sanga ni unafiki wa hali ya Juu

Habibu Mchange anatumiwa na watu walioko hata nje ya CHADEMA.Mwezi wa Julai mwaka huu Mtela Mwampamba walikua Dodoma na walikua wakikatiwa pochi Na Mwigulu Nchemba.Kwa muda wato waliokaa Dodoma walikua wakigharamiwa na Mwigulu pamoja na baadhi ya wabunge wa upinzani wenye bidii ya kuhujumu CHADEMA na uongozi wa juu

Baada ya kutoka Dodoma ndipo walipotekeleza mkakati wa vipeperushi na tshirt za M4C na kufanya upotoshaji kwa kuchora Movement for Chagga.Mkakati huu wa kuihujumu M4C unaendelea hata makala ya Mchange ilibeza M4C katika mkakati wao wa kuiua nguvu

Zitto ni kiongozi wa chama lakini anajua kila kitu kinachoendelea.Kuna mambo mengine mazito sitaki kuyaandika hapa ila uongozi wa CHADEMA hasa DR.Slaa na Mbowe wamevulia vya kutosha
CHADEMA kuendelea kuwakumbatia vijana hawa wanaotumika na CCM kwa njaa zao ni kukatisha tamaa vijana wengi walioko field.
 
Baba Hellen

JF-Expert Member
Jul 2, 2012
763
170
Sikilizeni ni wape darasa fupi vilaza wote humu jamii forum bungeni kuna utaratibu na kanuni zake. Alafu kuhusu wabunge wa cdm kuna majembe ambayo hayo ni kutetea hoja nakutengeneza hoja nzito zinazo kihusu chama mfano mnyika mdee zitto mbowe wengine ni wapishi wa hoja kwenye vikao vya ndani vya chama usiwe na wasiwasi tuko imara na tunatetea maslahi ya taifa hakuna kilaza cdm
 
sosoliso

JF-Expert Member
May 6, 2009
8,482
2,000
Sosoliso, hata wewe! Ama kweli, JF vituko haviishi.
Duuh.. umenifanya nijicikie low Mkuu.. Ila wanakera sana hawa jamaa.. Imagine toka juzi wameshakuja na threads nne zicizoeleweka.. Member ananukuu kipande kidogo cha maneno ili kilete maana anayotaka yeye.. Ana maana gani hiyo..?
Samahani sana Mkuu kwa kukukwaza..
 
only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,000
Haya mkuu wamekusikia, ila sidhani kama mtu mwenye akili timamu zinazofanya kazi barabara atasikiliza na kufanyia kazi uharo huu.
 
Mchange

Verified Member
Jul 21, 2009
157
250
Low thinking....hii sasa inasaidia nini?...kwanini Kama mnahisi kuna majibu mnatakiwa kutoa kwanini msiyatoe tu?...mnapata shida kujadili watu...Mimi wala sioni wala kuamini Kama viongozi wangu wamesusiwa chama, ninachokifahamu Mimi ni kwamba, CHADEMA ni zaidi ya mbowe, zaidi ya Zitto zaidi ya Slaa na zaidi ya Mchange ...usitake kuaminisha watu kuwa Kila baya Linalosemwa Linasemwa na Mchange na Zitto ama eti na timu Yao, vitu vya namna hii havitawasaidia chochote. Chama ni Kikubwa sana kuliko majina ya viongozi wetu....nasisitiza tena kuwa CHADEMA ni zaidi ya M4C
Huu uchochezi wa Habibu Mchange,Mtela Mwampamba na kijana Festo Sanga ni unafiki wa hali ya Juu

Habibu Mchange anatumiwa na watu walioko hata nje ya CHADEMA.Mwezi wa Julai mwaka huu Mtela Mwampamba walikua Dodoma na walikua wakikatiwa pochi Na Mwigulu Nchemba.Kwa muda wato waliokaa Dodoma walikua wakigharamiwa na Mwigulu pamoja na baadhi ya wabunge wa upinzani wenye bidii ya kuhujumu CHADEMA na uongozi wa juu

Baada ya kutoka Dodoma ndipo walipotekeleza mkakati wa vipeperushi na tshirt za M4C na kufanya upotoshaji kwa kuchora Movement for Chagga.Mkakati huu wa kuihujumu M4C unaendelea hata makala ya Mchange ilibeza M4C katika mkakati wao wa kuiua nguvu

Zitto ni kiongozi wa chama lakini anajua kila kitu kinachoendelea.Kuna mambo mengine mazito sitaki kuyaandika hapa ila uongozi wa CHADEMA hasa DR.Slaa na Mbowe wamevulia vya kutosha
CHADEMA kuendelea kuwakumbatia vijana hawa wanaotumika na CCM kwa njaa zao ni kukatisha tamaa vijana wengi walioko field.
 
AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,513
2,000
Mchange"
ni kweli ulivyosema kuwa chama ni zaidi ya Mbowe Zitto na hata ww pia ila kitu kimoja kaka yangu ambacho ni kama ushauri wa bure ni kuwa hebu inabidi mjitathimini upya ni wapi unapoona why do people blame u? Then anzia hapo kujirekebisha, Pia jiepusheni na maneno maneno ninyi kwa ninyi koz hayajengi zaidi ya kubomoa chama.

Moreover Kama kuna mtu mwenye fikra za kusambaratisha CHADEMA iwe kutoka ndani ya chama au nje basi ajue kuwa kalamba joker mwisho wa mchezo koz huku mtaani no one wants hear about CCM.

Form 6
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom