Mbowe na Slaa wamesusiwa chama?

kazi ya molemo ni kutibua tibua yaani yeye hanaga hoja hata siku moja...ataishia kulialia tu kwamba mnamsema mbowe na dr.slaa
molemo uwezo wake wa kuchambua hoja na kuzijibu accordingly ni nusu kaputi.
Ni kweli mkuu wewe ndiye unajua kuchambua hoja za slaa na Mbowe naona siku hizi. Hiyo degree ipo
 
Binafsi siwezi dharau hoja zako kwa kiasi fulani kuna ukweli, mfano mkurugenzi ambaye namwona anazunguka anajenga chama labda huyo kigaila,wengine wanasubiri uchaguzi. Bungeni ni zaidi!
 
Kazi aliyotumwa na ccm ameshaimaliza sasa afanyeje na amekiri kuwa ccm imefanya makubwa
 
mkuu iron finger
Hapo hakuna tatizo Mbowe na Slaa wao ndio wamehodhi matumizi ya ruzuku; hawataki kuulizwa wamegeuza Lema kuwa ndio bwana fedha sasa unaona tatizo wa kuachiwa mzigo wa kuendesha chama; na hao wawili wanatetea maslahi yao binafsi hivi kuna chadema kaskazini na chadema ukanda wa maziwa

Chama
Gongo la mboto DSM

CC: Ritz
 
Last edited by a moderator:
Nenda bungeni kaombe utaratibu wa kuchangia ili uwe na kaweledi hata kidogo kabla hujapaste:majani7:
 
Huyu jamaa ameshakuja na Uzi kuhusu CDM zaidi ya nne Leo lazima kaahidiwa kitu kikubwa sana na Yule jagili la pembe za tembo

mkuu Pp
Punguza jazba kaa chini fikiria uje na jibu muafaka anayeuliza anataka majibu kama huna jinyamazie!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
wameachiwa chama kwa sababu ni chao sio cha umma ni cha familia na ukanda tutajumuika tena 2015 kwenye kutafuta kulaaaaaaaaaaa
 
Chadema n chama cha wasomi,watu wenye strategic plan,wazee wa logic na critical thnking,wazee wa validity and truth tofaut na wenzetu ccm wazee wa kukurupuka,kuiba,kudanganya na kufisadi.Na kumbuka kuwa mbumbumbu,matapeli na vilaza kibao na matozi weng wapo chama cha mabwepande hlo ndo anguko la magamba na kupeta kwa CHADEMA.Pipooooz.
 
Hivi mheshimiwa hao wasomi wa chadema kura zao zinatosha kukiweka madarakani kwa nchi kama hii lazima chama imara kiwe cha watu wote wasomi na wasiobahatika kwenda shule
 
mkuu Pp
Punguza jazba kaa chini fikiria uje na jibu muafaka anayeuliza anataka majibu kama huna jinyamazie!

Chama
Gongo la mboto DSM
kwi! kwi! kwi! kwi! Mkuu chama lile jangili lenu nasikia wiki hii litatembelea seregeti, Ngorongoro, Mikumi pamoja na Seluu kuangalia malighafi zake
 
Last edited by a moderator:
mkuu iron finger
Hapo hakuna tatizo Mbowe na Slaa wao ndio wamehodhi matumizi ya ruzuku; hawataki kuulizwa wamegeuza Lema kuwa ndio bwana fedha sasa unaona tatizo wa kuachiwa mzigo wa kuendesha chama; na hao wawili wanatetea maslahi yao binafsi hivi kuna chadema kaskazini na chadema ukanda wa maziwa

Chama
Gongo la mboto DSM

CC: Ritz
Ndio maana nyie mkaamua kuajiri majangili ya kisomali ili wawaletee hela za kiharamia kuimarisha chama?
 
kwi! kwi! kwi! kwi! Mkuu chama lile jangili lenu nasikia wiki hii litatembelea seregeti, Ngorongoro, Mikumi pamoja na Seluu kuangalia malighafi zake

Nasikia mbunge wa zamani wa Arusha kupitia chama chako naye ni jangili nihabarishe

Chama
Gongo la mboto DSM
 
kwi! kwi! kwi! kwi! Mkuu chama lile jangili lenu nasikia wiki hii litatembelea seregeti, Ngorongoro, Mikumi pamoja na Seluu kuangalia malighafi zake

Precise pangolin
ahhaa haha kuna yule mbunge gari zikumuona zinakimbia yupo wapi sijamsikia wiki hii; na lile jangili la wake za watu lipo wapi mkuu?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mbowe kasusiwa chama????
Yawezekana ndio sababu ya mbowe kuanza kumuta sumaye aje amsaidie???
Duuuh mbowe naye kwa hasira ameamua kupeleka nguvu zake kwa kikwete yaani amenyoosha mikono juu na kusema kikwete wewe ndiye rais pekee niliyekuona tangu nianze siasa.
Dr.slaa yeye kazi yake ni kutoa matamko tu siku hizi tena akiwa amejifungia ofisini
dr.slaa yeye amevunjika moyo jabisa baada ya kubamizwa kwenye chaguzi za kata alipoambulia patupu kata zote alizopewa atembelee na kufanya mikutano

Avatar yako na kazi unayoifanya humu JF ni vitu viwili tofauti.
 
Nasikia mbunge wa zamani wa Arusha kupitia chama chako naye ni jangili nihabarishe

Chama
Gongo la mboto DSM

ha haa haaa, Mkuu chama, mbona nasikia kuwa kaishaacha baada ya kupata mtaji.
 
Last edited by a moderator:
mkuu iron finger
Hapo hakuna tatizo Mbowe na Slaa wao ndio wamehodhi matumizi ya ruzuku; hawataki kuulizwa wamegeuza Lema kuwa ndio bwana fedha sasa unaona tatizo wa kuachiwa mzigo wa kuendesha chama; na hao wawili wanatetea maslahi yao binafsi hivi kuna chadema kaskazini na chadema ukanda wa maziwa

Chama
Gongo la mboto DSM

CC: Ritz

Mkuu chama,
Kuna uzi upo humu unauliza Chadema ni taasisi au Dr Slaa ndio taasisi, nikawajibu kuwa Chadema ni taasisi ya watu fulani, nikawauliza kwa nini michango ya M4C yote inakusanywa na Lema na Mbowe. Jamaa badala ya kujibu wakaanza kunishambulia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom