Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

Kuna wale vijana wa CUF WALIOKUWA wakiandamana miaka ya nyuma.....

Saidi Kakote leo ni MLEMAVU WA MIGUU....

Bashiru Zembwe anatembelea KIBASKELI CHA MIGUU 3 kwao TANDALE.....

UJINGA MTUPU WA VYAMA HIVI VYA SACCOS......

#KaziIendelee
kwahiyo raia walioandamana wakapigwa na Polisi wakavunjwa mbaka viungo wewe unaona sawa tu hata Kama alikua amevunja sheria sio Kwa kutumia nguvu kiasi hicho inaonesha jinsi Gani Serikali ya CCM ilivyo ya hovyo kutumia nguvu kwenye Jambo dogo Kama Hilo

Halafu ikitokea mmarekani mweusi kapigwa Kofi na askari mzungu mnawajia juu ni wabaguzi na hashtag za kutosha
Wakati makaburu weusi CCM toka hapa Tanganyika wanafanya hayohayo aisee ama kweli nyani haoni ..........
😂😂😂😂
 
Bavicha et al..
Na wananchi wote, wapenda Mabadiliko.
Mabadiliko ni sasa. Katiba mpya ni ya Lazima.!
 
Mwanazuoni mkomavu na msomi Prof. IssaShivji
Tumekuwa tunashauri tujenge misingi imara ya Haki sawa, utawala Bora unaofuata Sheria, demokrasia, upendo, umoja wa kitaifa, mshikamano, na kuwa na viongozi wenye utu na kumuogopa MUNGU, Katiba siyo muarobaini.
 
Miguu ya vijana wa SA ilivunjwa wakiudai UHURU WA NCHI YAO....Uhuru wa kuishi....Uhuru wa KUTEMBEA BAADHI YA MAENEO....unafananisha visivyofanana....kwa hiyo huyu MBOWE huyu.......huyuhuyu MBOWE anapambania UHURU WA NCHI HII uliokwishapatikana TISA DISEMBA ?!!! 🤣🤣🤣

Rejea ulemavu wa akina BASHIRU ZEMBWE na MWENZAKE Saidi wa Tandale pale walipokuwa wanakipambania CUF....sijui nishani ya kuishi vyema wameifichia wapi !!!

Mkuu Tindo unauficha UHALISIA na kutanguliza HISIA eee?!!!

Kwa taarifa yako Afrika Kusini ilipata uhuru 1930, akina Mandela walikuwa wanapambania uhuru ulioporwa na makaburu. Hapa unatafutwa uhuru dhidi ya mkoloni mweusi ccm. Ama hujasikia mkoloni mweusi akisema watu wafanye siasa tu kwenye majimbo yao waliyochaguliwa, kisha ukiingia kwenye tovuti ya tume ya uchaguzi kwa aibu ya kunajisi uchaguzi hata matokeo hamna? Yaani uingie madarakani kwa kupora uchaguzi, kisha upange wanaotakiwa kufanya siasa ni wale waliopora uchaguzi! Acha utani dogo.
 
kwahiyo raia walioandamana wakapigwa na Polisi wakavunjwa mbaka viungo wewe unaona sawa tu hata Kama alikua amevunja sheria sio Kwa kutumia nguvu kiasi hicho inaonesha jinsi Gani Serikali ya CCM ilivyo ya hovyo kutumia nguvu kwenye Jambo dogo Kama Hilo

Halafu ikitokea mmarekani mweusi kapigwa Kofi na askari mzungu mnawajia juu ni wabaguzi na hashtag za kutosha
Wakati makaburu weusi CCM toka hapa Tanganyika wanafanya hayohayo aisee ama kweli nyani haoni ..........
😂😂😂😂
Mimi si mjinga kusambaza HASHTAG za hao wamarekani usemao....wananihusu nini mimi Mmatumbi?!!!

Hivi nikivunjwa miguu wao huko usemako watasambaza hizo HASHTAG?!!!

Maisha ya kuiga siyo.....

Tutafute UBWABWA tulishe vitoto vyetu vidogo.....

Sasa hivi ukikutana na ndugu wa UAMSHO watakuambia STORI TOFAUTI KABISA.....

Ishu ni kuandamana mambo ya SIASA dhidi ya SERIKALI ...andamana tu mkuu....andamana tu....

Sisi masela wa kitaa tunayoielewa mitaa ya BONGO KAMWE HUTUKUTI katika hizo "pang'ang'a".....

Labda ninyi "WAKUJA JUZI"...
Labda....labda....labda.....

Sorry mkuu wangu....
 
Wewe punguani kweli mimi niwe na ID's nyingi za nini? Waambie Mods kama ninazo hizo ID's waipige ban hii.

Baaada ya kushindwa hoja unakuja hoja ya Id.
Nakumbuka ile siku uliyojichanganya Tena ilikuwa Jumapili. Ulikuwa unataka kumjibu member ulikuwa unafanya nae mjadala kwa ID ile nyingine ukasahau ukatumia ID hii. Mod siyo muda wote wanaweza kujua kama mtu ana ID mbili. Tunakujua sana na jina lako la ukweli initials zake ni M. S.
 
Tangu uhuru bado mnainua uchumi tu, huo uchumi huwa mnauinua kwenye mifuko yenu tu....
yaani Hawa jamaa Wana vituko Sana miaka nenda Rudi hawana lolote,kituko zaidi Serikali ya CCM hata mambo madogo Kama kupangilia miji hawajui,kipimo kidogo Kama hicho kimewashinda
Viongozi wao ni wachumia tumbo tu miaka nenda Rudi wanangonjera zao maalumu za kuwahadaa watu Kama kina
Bia yetu,etwege,elitwege,kinuju na
MATAGA inc
Kueneza propaganda Kwa malipo ya buku Saba Lumumba huko
Wenyewe wakivuna mabilion ya fweza

Halafu mjinga mjinga mmoja na ndevu zake atakuja kunipa povu la laki wakati ukweli mchungu!
😂😂😂😂
 
Mkuu nimekupata ....

Kwani wale jamaa wa FFU wanatandika mno mkuu....

Yaani hao jamaa sitaki hata kukutana nao KIUBISHI....jamaa wanakong'oli kama KM wa Magereza 🤣🤣
Kama hao jamaa wanajua kupiga hivyo, walikuwa wapi mpaka watu wakajiunganishia bomba la mafuta? Mnawasifia polisi kwenye kupiga wapinzani wasio na silaha, huku watu wamepiga 24b+ hapo halmashauri ya jiji Dar, hao polisi wao wamebaki kuzunguka na kombati chakavu na kuishi kwenye nyumba za mabati. Mkiwasifia tunawaona ni majuha tu.
 
Mimi si mjinga kusambaza HASHTAG za hao wamarekani usemao....wananihusu nini mimi Mmatumbi?!!!

Hivi nikivunjwa miguu wao huko usemako watasambaza hizo HASHTAG?!!!

Maisha ya kuiga siyo.....

Tutafute UBWABWA tulishe vitoto vyetu vidogo.....

Sasa hivi ukikutana na ndugu wa UAMSHO watakuambia STORI TOFAUTI KABISA.....

Ishu ni kuandamana mambo ya SIASA dhidi ya SERIKALI ...andamana tu mkuu....andamana tu....

Sisi masela wa kitaa tunayoielewa mitaa ya BONGO KAMWE HUTUKUTI katika hizo "pang'ang'a".....

Labda ninyi "WAKUJA JUZI"...
Labda....labda....labda.....

Sorry mkuu wangu....
mkuu jumbe nimekupata vema ila tambua wewe unaweza usifanye hivyo ila mwanao anaweza kua upande ule mwingine akaandamana Kwa mujibu wa katiba halafu wakatokea Policcm waliopokea oda na mwanasiasa eg slow slow
Akavunjwa miguu hata Kama hukumtuma afanye hivyo utamtupa ateseke eti kisa aliamua kua ufipa gang Kwa kujitakia?

Ndio maana sie tunapinga Sana vitu Kama hivyo tunataka katiba ambayo itakua haimpendelei mtu yeyote Wala kakikundi ka watu Ili siku hata Ile Saccos ya Mbowe siku ikishika madaraka iwajibishwe ikikiuka katiba

Imagine bwana jumbe toka hapo tandale!

Mkuu wangu kupanga ni KUCHAGUA.........

Nilipokuwa mdogo nilisoma kitabu kimoja ambacho kinasema "mwenye kupenda kuishi 100% maisha ya magazeti ,Redio ,TV ,na wasemaji wa makongamano...." basi HUWA MTUMWA NA HUWEZA kujidhuru mwenyewe KIHISIA AMA HATA KIMWILI....

Mkuu wangu mwanasiasa,ama kiongozi wa DINI na kiimani ambaye ananiambia nitumie NGUVU dhidi ya NGUVU KUU ili nipate NINACHOKILILIA ninamuogopa kama ukoma....huwa NINAMWEPUKA....na wanangu nasubiri WAKUE niwafundishe HIVYO in shaa Allah.....nitawafundisha "kwa lugha ya urafiki na kisela"....siku wakiamua kujiunga na watu Kama hao "gangs" basi YATAKUA NI YAO TU....yakitokea kuvunjwa migongo nitasikitika mno.....mno.....ila nitaishia "KUNYWA KAHAWA NA KULIPUA SIGARA ZANGU moshi teleeeee" nitulize WAHKA.....get my point mkuu wangu......

Mkuu let's agree to disagree......
 
Back
Top Bottom