Mbowe: Mama! Mama! Mama! Kwenye hili HAPANA

Uongo, wapuuzi ni watu wanaoamini mtu mmoja dikteta katiki na muoga wa hoja asiye na maarifa ya uongozi mwenye kutumia nguvu zaidi ya akili angeweza kuibadilisha hii nchi.
Wale jamaa ni wapuuzi sana huwa wanashabikiaga kila kitu na vigeugeu haswa
 
Yani mngejua mimi binafsi niko na amani ya moyo ni kama vile nilikuwa nimeninginizwa kwenye mti na kamba alaf ikakatika pwaaaaaah nadhani unajua ahueni yake iliyoko hapo
 
Naona umeamua kuwakaanga vijana wa Mbowe kwenye mafuta ya kukaangia samaki. Tena wakiwa uchi

Tatizo la CHADEMA huwa wanajisahau sana. Niliacha kufuatilia habari za CHADEMA tokea wasusie uchaguzi serikali ya mtaa 2019 na kuwaambia wenzao wasigombee. Ila kwenye ubunge 2020 hawakususia ulaji wao.

Ki ukweli viongozi waliwavunja moyo wanachama na hasa mashabiki wao. Huku kwetu Butiama wangeweza kushinda mitaa yote ila ndio hivyo tena.

Kwenye post nyingine kuna weza kuwa na hoja za hapa na pale, lakini hiki ulichosema kwenye hii post, ni bora ungekaa kimya tu. Tatizo lilikuwa ni kushinda au ni kutangazwa mshindi?
 
Tulitambua tu ngoma ya watoto huwa haikeshi!

Siku za kwanza-kwanza alinoga kweli hali iliyopelekea kupambwa kwa nyimbo na mapambio.

Tulimuonya hapa kwamba hao watoto si riziki! Usiwape nafasi ya kukupamba kwa mafuta ya kondoo maana kwalo huwa wanalo jambo.Hakutusikia.

Sasa wamemchenjia na wanadai kaanza kuvimba mapema kuliko walivyomtarajia hahahahaha!

Dakika ndiyo kwaaaanza ni ya 11 kwa hakika yangu macho.

Mytake; Mother anaupiga mwingi sana 😆
Watoto wa kambo wako poa Sana kuliko wale wa ukoo wake maana ni wanafiki tu wao wapo tekelezewa mahitaji yao na mwisho wamtose,namshauri akawajali Sana watoto wa kambo ipo siku watamsadia Sana ,wa ukoo wake hamna kitu ,
 
Muacheni mama afanye kazi
IMG_20210703_075548.jpg
 
Back
Top Bottom