Mbowe kulipua ufisadi wa Bomba la Gesi

Mbowe kulipua ufisadi wa Bomba la Gesi

Yaonekana u mpenzi sana wa madole, maana kimtokacho mtu ndicho kilichoujaza moyo wake!

Mi sio mpenzi Wa madole...

Nilikua sijui tezi dume inapimwaje isipokua JK ndo alisimulia nikaelewa vizuri.....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ndio hako kakikundi chenu cha ufisadi wa lumumba mnavyojidanganya?

Nenda katafakari haya vp buzi lenu Sabodo lipo ? Usikariri kuwa Mbowe ni MUNGU hana Madhambi, usipende kuwaamini wana cc wote wapo pake kwa Masilahi yao binafsi, Tambua ni mwendo wa Tumbo zao kwanza pili Chadema baadae.
 
Hivi hujui tezi dume linapimwaje?

Bahati mbaya Sana alitumia kiingereza so kima Kama nyie akawaacha kwenye mataa bila kumwelewa.....

Tezi dume hupimwa kwa kupigwa dole kwenye njia ya haja kubwa mpaka ligote kunako halafu unasuguliwa kauvimbe....

Halafu unahangaika bure kunitajia akina Slaa wasionihusu kwa lolote...

Teh teh teh muulize vizuri mjomba wako alipimwaje tezi dume..
Mkuu kulikoni tena haya maradhi tu sisi sote binadamu yeyote anaweza kupatwa na maradhi, mshambulie mtu kwa utendaji wake siyo maradhi, ushauri wangu kiduchu tu kwako.
 
Gesi ni mkombozi wa Watanzania. Mbowe anatumika ili nchi isiendelee

Ni Sawa gesi ni mkomvozi wetu watanzania lakini sasa mbona viongozi wa ccm ndii wanagawana mabilioni ya mikataba ya gesi. Jamani tumechoka sasa naona mmeshindwa kula na kipofu kuanzia kesho narudusha kazi YA ccm bora nihamie nld.
 
Naona umewaza michepuko yenu

Zitto hayuko ccm wala hawezi kuwa, ila hapendi kudhalilishwa, au kuonewa, ndiyo maana Mbowe anamuona kama nuksi, mapato na matumizi ya chama wanajua watu watatu tu siyo haki.
 
Kakobe leo aliishia kupandikiza chuki za kidini kwa waumini wake, simply because our president is a muslim.
 
Ukabila wenu ndani ya Chadema umeukana? Mdee,mnyika, lema na kileo ni ndugu wa DNA wa mbowe na hao hasa Mnyika , lema mrema wa bungeni na kileo hawa Laana ya Chacha wangwe itawaganda milele kwani wanajua walichokifanya. Mbowe ni Fisadi mkubwa na pesa za Ufisadi huwa anawagawia CC wake ili wamsaidie kupambana na wapinzani wa ndani pindi wakijitokeza, kabla ya chochote kwanza aludishe mapesa ya ruzuku ambayo amekuwa akijimegea kifisadi na kila aliyemgusa alikumbwa na Majanga R.I.P chacha wangwe.

Hii inahusianaje na mambo ya gesi. Nini maana ya "aludishe". Jamani hivi mbona some people hawawezi kuchangia post husika? Hivi ni lazima kuchangia kila post hata kama huna cha kuchangia kama huyu funza? Wakati mwingi majina ya watu huakisi akili zao. Sasa mtu mwenye akili anaweza kujiita funza, msalani, ebola etc? Hapana!
 
Hahaa labda mmechimbia ndani! Sabodo amegoma kutoa tena pesa, maana hakuna kisima hata kimoja badala yake babu slaa ameenda kutalii marekani na israel pamoja na mchumba wake.

Mbowe alimugawia pande toka kwenye lile gunia la escrow ndizo anatumia kudhurula huko kupiga umatonya kuwahadaa wazungu wadhani kuwa ni mtu mwema kumbe naye ni Mwizi mkubwa.
 
Mi sio mpenzi Wa madole...

Nilikua sijui tezi dume inapimwaje isipokua JK ndo alisimulia nikaelewa vizuri.....

Umeshindwa kuficha upumbavu wako!

Kwahiyo unafurahia babako akiwekewa madole?
 
ameshindwa kushughulikia kero za wananchi wa HAI jimbo ameamua kulitelekeza na AHADI nyingi ameshindwa kuzitekeleza amegeuka na kuwa MSAKATONGE wa R.MENGI .

Labda wananchi ambao ni BONGOMGANDO ndio watashughulika HUJUMA na ULAGHAI wa UFIPA.

Kero zinashughulikiwa na upinza kumbe? Hivi mtu anayepost kitu cha namna hii anakuwa na akili timamu kweli?
 
Kakobe leo aliishia kupandikiza chuki za kidini kwa waumini wake, simply because our president is a muslim.

Yani wewe ushirikishagi kabisa ubongo zaidi ya hicho ukitoacho huko msalani wewe ndio unapandikiza udini hapa kwanza kanawe mikono
 
Nenda katafakari haya vp buzi lenu Sabodo lipo ? Usikariri kuwa Mbowe ni MUNGU hana Madhambi, usipende kuwaamini wana cc wote wapo pake kwa Masilahi yao binafsi, Tambua ni mwendo wa Tumbo zao kwanza pili Chadema baadae.[/QUgfOTE]
Usitufananishe Chadema na chama cha mafisadi
 
Mkuu kulikoni tena haya maradhi tu sisi sote binadamu yeyote anaweza kupatwa na maradhi, mshambulie mtu kwa utendaji wake siyo maradhi, ushauri wangu kiduchu tu kwako.

Mkuu Ritz nakuheshimu Sana...

Sina lengo la kukashifu maradhi ya MTU isipokua huyo mfuniko Wa choo ndo nampa vipande vyake maana amnianza....

Niachie nimalizane nae pia nampa ilmu juu ya saratani ya tezi dume Kama tulivyoelekezwa na mh. Rais....

Mkuu si uliona mwenyewe hata diamond jubilee posters zilikua nyingi juu ya ilmu hii??
 
Last edited by a moderator:
Zitto hayuko ccm wala hawezi kuwa, ila hapendi kudhalilishwa, au kuonewa, ndiyo maana Mbowe anamuona kama nuksi, mapato na matumizi ya chama wanajua watu watatu tu siyo haki.
Kwa kuwa ccm kuna kuogopana unafikiri na chadema ndio kulivyo? Hakuna vibahasha huku wala vi memo
 
Huyo mzee ndiyo mnafki kweli umli ule wakuzaa mjukuu? Au wamembambika tu?
 
Hii inahusianaje na mambo ya gesi. Nini maana ya "aludishe". Jamani hivi mbona some people hawawezi kuchangia post husika? Hivi ni lazima kuchangia kila post hata kama huna cha kuchangia kama huyu funza? Wakati mwingi majina ya watu huakisi akili zao. Sasa mtu mwenye akili anaweza kujiita funza, msalani, ebola etc? Hapana!

Sasa kinauche ni jina hilo? Yaani kiina cha Uzazi wa mwanamke huo si udhaliilishaji kwa wanawake? Kwani wewe wakiitwa watu wenye Akili utaenda? Nani kakuambia ww una Akili? Mada inasema Mbowe kulipua bomu la Gesi na Sisi tumeamua kumchambua Mbowe kuwa naye ana Madhambi yake kabla hajaenda huko Atubu kwanza, Sasa nini kimekuuma? au wewe ni small house wa mbowe nini?
 
Back
Top Bottom