Chademakwanza
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 6,346
- 1,873
Akamatwe vipi anakula ruzuku na pesa za Sabodo za kujenga kisima, hakuna kisima hata kimoja kilichojengwa.
Utaona wapi visima hile hali umefunikwa kwenye kibuyu wewe papasi

Yaani hata tujadili hii mada miezi 6 Mbowe hawezi kujifuta kwenye kundi la Mafisadi hana afanye nini Ufisadi wake hautafutika wenye Akili sasa wanajua Mbowe yupo after money ni Dalali wa siasa za maji Taka hana Uchungu na Nchi hii bali yupo pale kufuja Ruzuku na sasa anatafuna Mgao wake wa escrow pole pole.
Kamanda mpaka watatutuelewa tuu hawa mchwa wa lumumba ni ufisadi tu mpaka kutuletea hawa
Akamatwe vipi anakula ruzuku na pesa za Sabodo za kujenga kisima, hakuna kisima hata kimoja kilichojengwa.
Hahaa labda mmechimbia ndani! Sabodo amegoma kutoa tena pesa, maana hakuna kisima hata kimoja badala yake babu slaa ameenda kutalii marekani na israel pamoja na mchumba wake.
Mbowe lipua basi jinsi ulivyompa mimba mbunge wako wa viti maalam.
Umeshindwa kuficha mahaba yako dhidi ya BOMBA, teh teh teh teh!
Padri Slaa amewazoesha vibaya sana! Kumbe anatumia na vidole tena?
asante kwa picha mkuu .
Tumechimba kule mlipokimbiwa wananchi kwajili ya tamaa zenu za ufisadi
Kwahiyo? You're as little as your arguments!
Hahaa labda mmechimbia ndani! Sabodo amegoma kutoa tena pesa, maana hakuna kisima hata kimoja badala yake babu slaa ameenda kutalii marekani na israel pamoja na mchumba wake.
Mbowe lipua basi jinsi ulivyompa mimba mbunge wako wa viti maalam.
Hivi hujui tezi dume linapimwaje?
Bahati mbaya Sana alitumia kiingereza so kima Kama nyie akawaacha kwenye mataa bila kumwelewa.....
Tezi dume hupimwa kwa kupigwa dole kwenye njia ya haja kubwa mpaka ligote kunako halafu unasuguliwa kauvimbe....
Halafu unahangaika bure kunitajia akina Slaa wasionihusu kwa lolote...
Teh teh teh muulize vizuri mjomba wako alipimwaje tezi dume..
Haya tuache hii, vipi yale mambo ya gesi tulioambiwa na Dr.Slaa yameelekea Ulaya yameishia nchi gani?haihusiani kabisa na uzi huu .
Mbowe alimugawia pande toka kwenye lile gunia la escrow ndizo anatumia kudhurula huko kupiga umatonya kuwahadaa wazungu wadhani kuwa ni mtu mwema kumbe naye ni Mwizi mkubwa.
Mbowe alimugawia pande toka kwenye lile gunia la escrow ndizo anatumia kudhurula huko kupiga umatonya kuwahadaa wazungu wadhani kuwa ni mtu mwema kumbe naye ni Mwizi mkubwa.
Hivi hujui tezi dume linapimwaje?
Bahati mbaya Sana alitumia kiingereza so kima Kama nyie akawaacha kwenye mataa bila kumwelewa.....
Tezi dume hupimwa kwa kupigwa dole kwenye njia ya haja kubwa mpaka ligote kunako halafu unasuguliwa kauvimbe....
Halafu unahangaika bure kunitajia akina Slaa wasionihusu kwa lolote...
Teh teh teh muulize vizuri mjomba wako alipimwaje tezi dume..
Haya tuache hii, vipi yale mambo ya gesi tulioambiwa na Dr.Slaa yameelekea Ulaya yameishia nchi gani?