Mbowe kulipua ufisadi wa Bomba la Gesi

Mbowe kulipua ufisadi wa Bomba la Gesi

NatakaJK na serikali yake watangazwe 'national disaster'. Hata kama hili halijatthibitishwa sioni ni muhali kwa wahuni hawa. Yaani huyu jamaa amekuja madarakani kuangamiza taifa tu, jamani!
Kwa kweli ni mchanganyiko wa ignorance, vanity and greed, ndiyo disease aliyo nayo.Ukichanganya na tamaa ya umashuhuri....basi. Ataondoka as the most hated ruler of Tanzania ever (natabiri), isipokuwa kwa wachache walionufaika na mismanagement yake.
 
Rais alisema ukiona mtu hashughurikiwi ujue hana madhala, lakini kila kitu kinajulikana anategemea huruma ya wananchi. Mwisho wake ni mwakani subiri tu..

Hashughurikiwi? madhala?
 
Rais alisema ukiona mtu hashughurikiwi ujue hana madhala, lakini kila kitu kinajulikana anategemea huruma ya wananchi. Mwisho wake ni mwakani subiri tu..

Hivi sheria si inaweka wazi kuwa mhalifu ana madhara ndiyo maana anaitwa mhalifu?

Pamoja na uhalifu wote unao u-potray yet unasema hana madhara? Kuukatisha uhai wa mtu kabla ya wakati wake (sawasawa na madai yako) sio madhara??

Au tafsiri ya madhara ya Raisi sawasawa na kauli yako ni ipi? Hebu nisaidie mie mwananchi wa kawaida nielewe maana kama Raisi atakuwa na tafsiri yake -nje ya sheria - inaweza fanya jamii nayo ikawa na tafsiri yake - nje ya sheria....kitakachotokea ni hatari kubwa

Au ndiyo maana wanaodaiwa kiwa wahalifu mbalimbali kwenye scandal nyingi tunazozisikia Raisi huzimaliza "kinamnanmna" na sio kwa mujibu wa sheria???
 
hizi fujo zenu humu ni kwa faida ya nani,mbona yazungumzwayo ni kwa faida ya wote isipokuwa mafisadi

Poa ni kwa faida ya wote lakini cha Ajabu ni kwamba huyo Mbowe mwenye kupiga kerere si mtu msaafi amejaa Madhambi ya kutosha hafai kuwakemea wengine mpaka na yeye mwenyewe Atubu Dhambi kwanza. R.I.P chacha wangwe.
 
Kwa mara ya kwanza tunasubiria hoja na sio vioja vya mh Mbowe hapa bungeni. Kila la heri kufichua uovu huo kama ni kweli upo.
 
attachment.php

Kwahiyo? You're as little as your arguments!
 
NatakaJK na serikali yake watangazwe 'national disaster'. Hata kama hili halijatthibitishwa sioni ni muhali kwa wahuni hawa. Yaani huyu jamaa amekuja madarakani kuangamiza taifa tu, jamani!
Kwa kweli ni mchanganyiko wa ignorance, vanity and greed, ndiyo disease aliyo nayo.Ukichanganya na tamaa ya umashuhuri....basi. Ataondoka as the most hated ruler of Tanzania ever (natabiri), isipokuwa kwa wachache walionufaika na mismanagement yake.

hivi mnalipwa kiasi gani mnavyoandika haya?
 
Hivi sheria si inaweka wazi kuwa mhalifu ana madhara ndiyo maana anaitwa mhalifu?

Pamoja na uhalifu wote unao u-potray yet unasema hana madhara? Kuukatisha uhai wa mtu kabla ya wakati wake (sawasawa na madai yako) sio madhara??

Au tafsiri ya madhara ya Raisi sawasawa na kauli yako ni ipi? Hebu nisaidie mie mwananchi wa kawaida nielewe maana kama Raisi atakuwa na tafsiri yake -nje ya sheria - inaweza fanya jamii nayo ikawa na tafsiri yake - nje ya sheria....kitakachotokea ni hatari kubwa

Au ndiyo maana wanaodaiwa kiwa wahalifu mbalimbali kwenye scandal nyingi tunazozisikia Raisi huzimaliza "kinamnanmna" na sio kwa mujibu wa sheria???

Hizo ni mbonu za kisiasa tu, yeye anachota ramani ya vita na ana finance watendaji wengine, kwani Deus Mallya hakukamatwa? Mnyika ndiyo akawa wa kwanza ktk vyombo vya habari eti ni mtu wa ccm, leo hii Mallya yuko makao makuu ufipa. RIP Chacha Wangwe
 
Kwa mara ya kwanza tunasubiria hoja na sio vioja vya mh Mbowe hapa bungeni. Kila la heri kufichua uovu huo kama ni kweli upo.

mbowe hawezi kujenga hoja. Labda kama ni kwa malaya wa pale Bilicanaz
 
Kwa kukaa pale chimbo la mateja na kila siku asubuhi wanafagia condom wamefanya kitu gani maana hata mishahara ktk mikoa hawatoi ofisi ya Iringa mmefukuzwa kisa kodi? Aibu sana halafu eti chama kikuu cha upinzani Tanzania lol...

acha porojo hayo majengo ya walipa kodi mmeyageuza assets za ccm huon kwamba nao ni ufisadi
 
wewe mpumbavu kweli. Mwanaume mzima unakubali kushikishwa ukuta? Naona una hasira sana baada ya kukupima oil bila ya malipo

wanaume hatuhangiki kwa hoja mfu kama zako wewe mjinga mmoja nilirusu nikupuze basi
 
Back
Top Bottom