Mbowe kulipua ufisadi wa Bomba la Gesi

Mbowe kulipua ufisadi wa Bomba la Gesi

Yalipue tu hayo MAJIZI ya CCM. haya majamaa ni UKOO WA PANYA.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mbowe angeanza kulipua ufisadi wa kuiuzia Chadema fuso mbovu kwa tsh milioni 600

Pia angelipua yale madeni feki anayowabambikia Chadema kisha kujilipa pesa za Ruzuku huku pesa za misaada toka nje na akina Sembodo zikiliwa na kuishia makao makuu. Mbowe si msaafi ile pesa ya escrow ilichotwa stanbic alipata Mgao kwenye kiroba pale Bungeni alienda kuzuga na kuwahadaa watu.mbowe ana Laana ya marehemu chacha wangwe .
 
Wamekanusha na kuomba radhi. We ulipoangalia hiyo tu ukaacha kuangalia tena sio ??

Nafuatilia mkuu hizo za kukanusha hazipo, wale siyo vigeugeu wanamaamuzi ya moja kwa moja, haahaa eti Mbatia nae anaongea??
 
Mbowe kwa kulipua ndiyo fan yake kama alivyolipua mkutano Arusha, ila kwa bomba la gas aangalie asije akapoteza maisha si unajua gas inalipuka vibaya?

Anadhani Gesi ni Rahisi kulipua kama alivyommaliza chacha wangwe hadi leo familia yake inataabika mbowe anatesa na Ufisadi wa Ruzuku na pesa za misaada huku akiongezea na za escrow, Mbowe ni mtu Hatari sana.
 
Pia angelipua yale madeni feki anayowabambikia Chadema kisha kujilipa pesa za Ruzuku huku pesa za misaada toka nje na akina Sembodo zikiliwa na kuishia makao makuu. Mbowe si msaafi ile pesa ya escrow ilichotwa stanbic alipata Mgao kwenye kiroba pale Bungeni alienda kuzuga na kuwahadaa watu.mbowe ana Laana ya marehemu chacha wangwe .
Kazi kwelikweli! Kweli akili za funza hizi!!! Thread hii inahusu ufisadi kwenye bomba la gesi, lakini wewe unatuletea habari za Chacha Wangwe...
 
Anadhani Gesi ni Rahisi kulipua kama alivyommaliza chacha wangwe hadi leo familia yake inataabika mbowe anatesa na Ufisadi wa Ruzuku na pesa za misaada huku akiongezea na za escrow, Mbowe ni mtu Hatari sana.

Anawapiga wenzake hapa ufipa, babu slaa anaambulia kiasi cha ruzuku tu, eti bilion 32 inamaana IPTL hawajalipwa? Mbona hawashitaki wala kulalamika? Hawa jamaa waongo sana wanatamani machafuko nchini sema wananchi wameanza kuwashtukia.
 
attachment.php
 
Tukipiga mapigo matatu kama haya mpaka uchaguzi wa mwakani safi sana.
 
Nipo kichwani mwako nimekufanya ukariri kuwa mbowe ni Mungu hana Dowa (doa) wala kasoro kila wanalosema juu yake anasingiziwa. R.I.P chacha wangwe.
Bomba la mafuta na Chacha Wangwe wapi na wapi???!!
 
CCM ni Ukoo Wa mapanya, nawashangaa watanzania ambao bado wanadanganyika hawaelewi wanaofaidika Na huu wizi Wa rasilimali za nchi si zaidi ya familia 100. Watanzania zaidi ya milioni 40 wanazidi kudidimizwa kwenye lindi la umasikini
 
yalipue tu hayo MAJIZI ya CCM. haya majamaa ni UKOO WA PANYA.

Ukabila wenu ndani ya Chadema umeukana? Mdee,mnyika, lema na kileo ni ndugu wa DNA wa mbowe na hao hasa Mnyika , lema mrema wa bungeni na kileo hawa Laana ya Chacha wangwe itawaganda milele kwani wanajua walichokifanya. Mbowe ni Fisadi mkubwa na pesa za Ufisadi huwa anawagawia CC wake ili wamsaidie kupambana na wapinzani wa ndani pindi wakijitokeza, kabla ya chochote kwanza aludishe mapesa ya ruzuku ambayo amekuwa akijimegea kifisadi na kila aliyemgusa alikumbwa na Majanga R.I.P chacha wangwe.
 
Back
Top Bottom