Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,877
- 5,701
Kwa kuwa ccm kuna kuogopana unafikiri na chadema ndio kulivyo? Hakuna vibahasha huku wala vi memo
Mbowe mnamuogopa na anajiamini ndiyo maana alisema atakuwa wa mwisho kutoka chadema.
Kwa kuwa ccm kuna kuogopana unafikiri na chadema ndio kulivyo? Hakuna vibahasha huku wala vi memo
Umeshindwa kuficha upumbavu wako!
Kwahiyo unafurahia babako akiwekewa madole?
Tulia dawa ikuingie vizuri, kikwete tumemchoka, hatumtaki aondoke aende zake.hafai ametuharibia nchi
Hii inahusianaje na mambo ya gesi. Nini maana ya "aludishe". Jamani hivi mbona some people hawawezi kuchangia post husika? Hivi ni lazima kuchangia kila post hata kama huna cha kuchangia kama huyu funza? Wakati mwingi majina ya watu huakisi akili zao. Sasa mtu mwenye akili anaweza kujiita funza, msalani, ebola etc? Hapana!
Mbowe mnamuogopa na anajiamini ndiyo maana alisema atakuwa wa mwisho kutoka chadema.
We mwanaharamu naona huu uzi umeukomalia kweli!Mbowe mnamuogopa na anajiamini ndiyo maana alisema atakuwa wa mwisho kutoka chadema.
Umeelewa mada lakini? Anyway, msalimie mmeo LAKI SI PESA!Nchi inaharibiwa na wahuni kama wewe, wanaosubiri kudra za Mzee Slaa kuwauzia mfuko wa Cement kwa shs 5000, sio Rais KIKWETE.
Mbowe kwa kulipua ndiyo fan yake kama alivyolipua mkutano Arusha, ila kwa bomba la gas aangalie asije akapoteza maisha si unajua gas inalipuka vibaya?
Naona mnajifariji na hizo fack maelezo wana lumumba
Nikweli atakuwa wa mwisho kutoka kutokana anavyowashugulikia mafisadi kama wewe na hao baba zakoMbowe mnamuogopa na anajiamini ndiyo maana alisema atakuwa wa mwisho kutoka chadema.
We mwanaharamu naona huu uzi umeukomalia kweli!
elewa mada acha kuropoka usichokijua we kijakazi maescrow cc.
Umeelewa mada lakini? Anyway, msalimie mmeo LAKI SI PESA!
Nikweli atakuwa wa mwisho kutoka kutokana anavyowashugulikia mafisadi kama wewe na hao baba zako
Kamanda naona leo mafisadi wamejazana kwenye huu uzi lakini tutawadabisha tu mpaka wache kuwafanya Watanzania niwajingaNaona vijibwa vya lumumba leo vimekusanyana kuja kubweka kwenye thread inayomhusu kamanda wa anga.
Ila mhhh! Viwango vyao vinafanana na akili ya Daudi Makonda (aliyeghushi cheti na kujiita Pauli Makonda).
Ila mtoto wa Kigoma ilishindikana kum chacha wangwe.