Mbowe kulipua ufisadi wa Bomba la Gesi

Mbowe kulipua ufisadi wa Bomba la Gesi

ccm lazima watiwe adabu tu kwa huu mfululizo wa ufisadi
 
Bomba la mafuta na Chacha Wangwe wapi na wapi???!!

Chacha wangwe hakufa kwa Mapenzi ya mungu hivyo nalo ni Bomu la Mbowe na ndugu zake aliowajaza kwenye chama cha kikanda na Ukabila.
 
Ukabila wenu ndani ya Chadema umeukana? Mdee,mnyika, lema na kileo ni ndugu wa DNA wa mbowe na hao hasa Mnyika , lema mrema wa bungeni na kileo hawa Laana ya Chacha wangwe itawaganda milele kwani wanajua walichokifanya. Mbowe ni Fisadi mkubwa na pesa za Ufisadi huwa anawagawia CC wake ili wamsaidie kupambana na wapinzani wa ndani pindi wakijitokeza, kabla ya chochote kwanza aludishe mapesa ya ruzuku ambayo amekuwa akijimegea kifisadi na kila aliyemgusa alikumbwa na Majanga R.I.P chacha wangwe.

Wewe funza kweli!

CCM ni Ukoo Wa mapanya, nawashangaa nyie watanzania ambao bado mnadanganyika hamuelewi wanaofaidika Na huu wizi Wa rasilimali za nchi si zaidi ya familia 100. Watanzania zaidi ya milioni 40 wanazidi kudidimizwa kwenye lindi la umasikini

Hiyo buku 7 unayolipwa hapo Lumumba unaiona dili ee
 
Aaah! R.I.P. Chacha Wangwe hakika walimfanya vibaya.

Kisa alikuwa akihoji juu ya Ufujaji wa pesa za chama na Ruzuku sanjari na Ukabila bila kama kusahau rushwa ya ngono kwenye viti maalum.
 
ameshindwa kushughulikia kero za wananchi wa HAI jimbo ameamua kulitelekeza na AHADI nyingi ameshindwa kuzitekeleza amegeuka na kuwa MSAKATONGE wa R.MENGI .

Labda wananchi ambao ni BONGOMGANDO ndio watashughulika HUJUMA na ULAGHAI wa UFIPA.
 
Kisa alikuwa akihoji juu ya Ufujaji wa pesa za chama na Ruzuku sanjari na Ukabila bila kama kusahau rushwa ya ngono kwenye viti maalum.
jinga kubwa wewe ushahidi wa escrow umewwkwahapa lakin kichwa cha panzi hamuoni kabisa
 
Wewe funza kweli!

CCM ni Ukoo Wa mapanya, nawashangaa nyie watanzania ambao bado mnadanganyika hamuelewi wanaofaidika Na huu wizi Wa rasilimali za nchi si zaidi ya familia 100. Watanzania zaidi ya milioni 40 wanazidi kudidimizwa kwenye lindi la umasikini

Hiyo buku 7 unayolipwa hapo Lumumba unaiona dili ee

Buku 7 unalipwa ww na hao wanaojidai kuwapigania Wananchi wakati wao wenyewe ni wezi na mafisadi wakubwa vipi Dr slaa ameludisha zile milion 100 alizojikopesha kienyeji?
 
Kisa alikuwa akihoji juu ya Ufujaji wa pesa za chama na Ruzuku sanjari na Ukabila bila kama kusahau rushwa ya ngono kwenye viti maalum.
hii kweli akili ya funza vipi?jk na mama tiba mpaka anasahau kuwa mleba kuna ikulu ndogo.....
 
jinga kubwa wewe ushahidi wa escrow umewwkwahapa lakin kichwa cha panzi hamuoni kabisa

Pesa za escrow Mbowe na slaa picha zao zipo Stanbic wakibeba pesa kwenye kiroba mda ukifika kila kitu kitaanikwa usiwe na haraka jinga kubwa ni wewe na Wazazi wako ambo wote ni vichwa vya panzi
 
Kwa kweli tuna kila sababu ya kuiondoa CCM Madarakani.Ufisadi huu wa Gesi uwekwe hadharani mapema ili wananchi wajue mali zao zinavyofilisiwa na Serikali ya CCM.
 
Buku 7 unalipwa ww na hao wanaojidai kuwapigania Wananchi wakati wao wenyewe ni wezi na mafisadi wakubwa vipi Dr slaa ameludisha zile milion 100 alizojikopesha kienyeji?

escrow mmerudisha bado ? mko kwenye mkakati wa kuzuia mafuriko kwa mikono ..........
 
okw boban sunzu ninyi ni walipuzi tu sio watengenezi? sasa mnakuja na uzushi mwingine ati ufisadi wa bomba la gesi...mkipewa nchi mtaiendesha kwa vilipuzi??
"Nzi" wa Chadema waliojibanza Ikulu na Wizara ya Nishati wapo hatua za mwisho kabisa kumaliza kukusanya nyaraka muhimu vivid evidence juu ya ufisadi mkubwa uliofanywa katika mradi wa Bomba la Gesi.

Bomu hili linalotegemewa kulipuka mda wowote linaweza kusambaratisha CCM.

Aidha wahisani wameshadokezwa kuhusu uwizi huu pamoja na usanii wa Escrow.

Baki hapa hapa JF tutakudondoshea soon
 
hii kweli akili ya funza vipi?jk na mama tiba mpaka anasahau kuwa mleba kuna ikulu ndogo.....

Nipo kichwani mwako nimekufanya ukariri kuwa Mbowe ni Mungu hana Dhambi na kila lisemwalo ni kama anasingiziwa.
 
wezi nyie hamna jipya

Viongozi wa chadema wezi sana, hapo hawajashika nchi, ruzuku peke yake tu, fuso 600m pikipiki manunuzi 1.7m@ lakini tender ya kuweka logo za M4C tenda kapewa Mtei na kila pikipiki logo 1m lol! Kila mwezi wanapata tuzuku 232m lakini mikoani hazifiki, ofisi wamepanga kinondoni mtaa wa ufipa, kwa mateja na nyuma ya makaburi ambayo ni chimbo la dada poa, kisa unafuu wa kodi. Lol.....
 
Back
Top Bottom