Mbowe kulipua ufisadi wa Bomba la Gesi

Mbowe kulipua ufisadi wa Bomba la Gesi

nenda kwa wakatoliki .wanawajuwa dr
slah ninani.hawataki aibu.lakini wanamuogopa kama ukoma .kwa wizi aliyofanya.

Ni Mwizi balaa anazipiga pesa za chama Kwa kwenda mbele alijikopesha million 100 kienyeji hadi leo hajazirejesha naye ni Fisadi wa kila aina mpaka kwa wake za watu anapiga Ufisadi.
 
Wememstili mbowe kwani ndiye alibeba kwenye Gunia kwa gia kwamba awapelekea akina UKAWA na cc wake lakini inasemekana aliwapiga panga na kuwapa vidola kidogo ndiyo maana wakaamua kuvujisha siri. Tambua Mgao wa stanbic wengine walipewa kwa mifuko ya rambo Lakini Mbowe alipewa kwenye Gunia.

Funza unajizalilisha kwenye hii thread Mkuu unatoka nje ya mada sio lazima uchangie au ni kweli mnalipwa hiyo buku 7.maana hata Msalani na team yake hawapo kama wewe jaribu kuwa na staha kdg mkuu unatutoa nje ya mada.acheni kuwakimbiza watu makini kwenye jukwaa letu pendwa mkuu acha utoto bwana km unaongea kitu toa ushahidi Mods mtazameni huyu mtu jamani au mnabagua
 
Funza unajizalilisha kwenye hii thread Mkuu unatoka nje ya mada sio lazima uchangie au ni kweli mnalipwa hiyo buku 7.maana hata Msalani na team yake hawapo kama wewe jaribu kuwa na staha kdg mkuu unatutoa nje ya mada.acheni kuwakimbiza watu makini kwenye jukwaa letu pendwa mkuu acha utoto bwana km unaongea kitu toa ushahidi Mods mtazameni huyu mtu jamani au mnabagua

Sijatoka kwenye mada wala sijajidhalilisha popote nani anakimbia jukwaa? Yaani kisa mbowe katajwa amepata Mgao wa escrow ndipo watu wakimbie jukwaa ? Huo ni mtizamo wako akili ni nywele kila mtu ana zake kama Madhambi ya Mbowe yamekuuma ingia chumbani kwako upumzike acha sie tuanike ukweli.
 
Nilisema hapa kwamba watu wanaoshangaa ya Escrow wataona ya bomba la gesi.

Pia huko Mtwara watu washaanza kuchimba mafuta kipindi tunaambiwa wanafanya uchunguzi.

mkuu hata mimi naamini nchi ilishaanza kutoa mafuta siku nyingi sana.yani hawa ccm sio waaminifu lakini tutawafuta soon.
 
wakati hayo yanafanyika vyombo vya ulinzi kama usalama wa taifa vilikuwa wap hadi hayo yanatokea?

Kwani mengine yanapotokea huwa wanakuwa wapi? Kwani wewe ni mgeni Tz ?
 
kama mbowe angekuwa msafi angeiba bank kuu.sialikuwa karani pale nini kilimtowa!??? acheni ujingaaa .kaanza kuiba siku nyingi sanaa. na ndiyo msana zake za majuzi kazifuata mombasa.mchaga humuwezi kwa wizi.anajuwa kuiba bila kukamatwa.
 
Kweli hali ya hewa ya nchi yetu ni mbaya sana tuiombee jamani

itakuwa mbaya siku wana Chadema wakizinduka na kujitambua kisha kuvaa ujasiri wa kukataa Mbowe na Slaa kuzifuja pesa za ruzuku na misaada, kisha mbowe akaja na gia ilele ya Zito na chacha wangwe eti wanaleta Usariti kama kawaida yao.
 
Back
Top Bottom