Mbowe kulipua ufisadi wa Bomba la Gesi

Mbowe kulipua ufisadi wa Bomba la Gesi

Pesa za Ruzuku kanunua Nyumba south Africa na pesa za escrow anajipanga kwenda Doha kununua nyumba ingine au ikishindikana atanunua nyumba ingine Darban hii ni kwa mujibu wa ndugu yake wa Damu Mnyika.
Utakuja kuta unatoa siri za baba yako wewe kilambwa mwiko
 
Utakuja kuta unatoa siri za baba yako wewe kilambwa mwiko

Kilambwa Mwiko ni wewe na wazazi wako siri zipi? Bongo kuna Siri huoni Mnyika katoa siri za baba yake kuwa kanunua nyumba South Africa kwa pesa Ufisadi wa kufuja Ruzuku.
 
Hivi afisa Usalama mwenye akili timamu anaweza kupoteza muda wake kwenda kuripoti kwa Mzee Slaa?

Mzee aliyejizolea umaarufu kwa kauli za kilaghai?
Kauli za kilaghai zipi, basi mkishakaa kwenye ka system mnajiona mmefika. Hata wenzio tupo lakini sio vipofu. Wapinzani wameibua mambo mengi yaliyoitikisa serikali ya Kikwete: Richmond, EPA, na sasa Escrow. Ila ukiwa kwenye system unaseme ni wapuuzi. Wala sishangai, na wewe unatetea kaugali kako. Ila time will tell. Najua mtoto wako hatakuwa CCM.
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kukubali kushikiwa akili na mtu kama Mbowe.hata wananchi wa Hai wanajuta kulitupa jimbo lao kwa mtu KANJANJA kama huyu.

DJ amewatelekeza wananchi na kujikita kwenye mambo binafsi ya kumuingizia kipato,ikiwa pamoja na hili la gesi ambalo mfadhili wake ni R.Mengi.

We endelea kurukaruka Box la kura linakungoja.
 
Teh teh teh naona mipini imekuingia unapiga yowe...

Umeanza babangu...ukaja babu now umehamia kwa mbowe teh teh teh halafu hao watu hawanigusi kwa lolote.....

Unajipa kazi ya bure kumvisha nguo MTU aliyeamua kwa ridhaa yake kukaa uchi...

Mwenzenu kasimulia bila aibu jinsi tezi dume lilivyomtafuna na alivyohangaika nalo... Mpaka Kaunda kikosi kulitangaza kwa upana zaidi sasa wewe kinakuuma nini??

Pole Sana MPE hi tezi dume mwambie ESCROW haijaisha bado bomba la gesi.....
Unapenda sana mabomba ya GAS! hata mimi nina bomba litoalo gesi, nikupe?
 
Kilambwa Mwiko ni wewe na wazazi wako siri zipi? Bongo kuna Siri huoni Mnyika katoa siri za baba yake kuwa kanunua nyumba South Africa kwa pesa Ufisadi wa kufuja Ruzuku.
Hakuna nyika wa namna hiyo labda yule wakuchonga pale Lumumba
 
Unapenda sana mabomba ya GAS! hata mimi nina bomba litoalo gesi, nikupe?

Labda hilo hapo nyumba ambalo likianza kutoa gesi ndio linawasha mpaka unaenda kutengeneza matangazo ya wongo yakuchafua viongozi
 
sasa kabeba si mumkamate mbona majina mmeyaficha ?mbona ya mkombozi mliyatoa au kwa sababu ni dagaa tu huku nyangumi wakiwa mmeyaficha

Akamatwe vipi anakula ruzuku na pesa za Sabodo za kujenga kisima, hakuna kisima hata kimoja kilichojengwa.
 
Unapenda sana mabomba ya GAS! hata mimi nina bomba litoalo gesi, nikupe?

Bomba lako la gesi si lishazibuliwa na madole ya kupimia tezi dume?

We dole linazamishwa mpaka linagota kunako bado hilo bomba litahimili kubana gesi au itatoka tu bila control??
 
Daaadeki Maswi aliwaambia akina Matambo wa Tanesco, "nitamwaga Mboga" wakawaundia zengwe ambalo wameshindwa kilitrtea mahakamani...ngoja yaibuliwe tu we are tired
 
Mtu mwenye akili timamu hawezi kukubali kushikiwa akili na mtu kama Mbowe.hata wananchi wa Hai wanajuta kulitupa jimbo lao kwa mtu KANJANJA kama huyu.

DJ amewatelekeza wananchi na kujikita kwenye mambo binafsi ya kumuingizia kipato,ikiwa pamoja na hili la gesi ambalo mfadhili wake ni R.Mengi.

We endelea kurukaruka Box la kura linakungoja.
Makanjanja wapo Chama Cha Mafisadi maana kila mwaka wana mbinu mpya za kuiba
 
Lema + kileo + mrema wa bungeni + Deus malya +!Mnyika = R.I.P chacha wangwe, hawa watu Laana ya chacha wangwe haibanduka kwao milele bila kusahau baba yao mbowe.
Hii laana mpaka wataingia nayo kabulini.
 
Yaani hata tujadili hii mada miezi 6 Mbowe hawezi kujifuta kwenye kundi la Mafisadi hana afanye nini Ufisadi wake hautafutika wenye Akili sasa wanajua Mbowe yupo after money ni Dalali wa siasa za maji Taka hana Uchungu na Nchi hii bali yupo pale kufuja Ruzuku na sasa anatafuna Mgao wake wa escrow pole pole.
 
Bomba lako la gesi si lishazibuliwa na madole ya kupimia tezi dume?

We dole linazamishwa mpaka linagota kunako bado hilo bomba litahimili kubana gesi au itatoka tu bila control??

Umeshindwa kuficha mahaba yako dhidi ya BOMBA, teh teh teh teh!

Padri Slaa amewazoesha vibaya sana! Kumbe anatumia na vidole tena?
 
Back
Top Bottom