MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,513
toka lini mgonjwa wa LUMUMBA uliyelazwa ICU ukamuonea huruma mwenye afya njema aliyokuja kukupa polenamuonea huruma zito amekua kama kidampa wa kurukia kila jambo
toka lini mgonjwa wa LUMUMBA uliyelazwa ICU ukamuonea huruma mwenye afya njema aliyokuja kukupa polenamuonea huruma zito amekua kama kidampa wa kurukia kila jambo
"Nzi" wa Chadema waliojibanza Ikulu na Wizara ya Nishati wapo hatua za mwisho kabisa kumaliza kukusanya nyaraka muhimu vivid evidence juu ya ufisadi mkubwa uliofanywa katika mradi wa Bomba la Gesi.
Bomu hili linalotegemewa kulipuka muda wowote linaweza kusambaratisha CCM.
Aidha wahisani wameshadokezwa kuhusu wizi huu pamoja na usanii wa Escrow.
Baki hapa hapa JF tutakudondoshea soon.
Miaka miwiliMwezi, mwaka? hiyo ilikuwa Dec 2014 baba.
safari hii mnawatetea hahahahTeh
Teh wachina wachina tu
nasikia amebadili msimamo sasahivi anaunga mkono wachina na dili zaonamuonea huruma zito amekua kama kidampa wa kurukia kila jambo
aendw wp labda?..... Ndo Maana Muhongo Hataki Kuondoka Ofsini..
You are right, ni miwili.Miaka miwili