FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,817
teh teh, naona mnaunadi udini wazi wazi, nadhani ndo sera halis za sasa za ccm!
Kumbuka, Serikali haina dini. Jee, wewe hauna dini? Jee, hao aliokutana nao Mbowe Mwanza hawana dini? Jee, wafadhili wakubwa wa chadema wa nje si Christian Democratic Union ya Ujerumani? hayo yote si udini?
Udini ni pale tu mnapokuja kudanganya kuwa Mbowe anakutana na wasomi kumbe anakutana na wanafunzi wa Kikristo na tunapowaambia mseme ukweli, ndiyo inakuwa udini, au sio?