Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,355
Nimekuuliza tu, unajuwa hiyo avatar yako kuwa huyo ni Imam? I do not care if you care or not. Kama ulikuwa hujui, sasa umejuwa. Si unamuona anasalisha vijana hapo, wakati wa Salaa umefika hakuna mchezo, wacha mchezo, sali, urudi kufanya mazoezi. hiyo ndiyo discipline ya maisha. Haupendi hayo?
wewe ndiye unayemaindi dini... By the way, kuna mwenzio juzi alinipigia simu akaniuliza mbona kwenye taasisi yenu mmeshort list 95% watu wa dini moja kwenye nafasi za kazi za kazi mlizotangaza... inawezekana niwewe labda,. Mi nilimwambia ndiyo maombi tuliyopokea na tuliowashrtlist ndio waliokuwa na uwezo... cheki Sokoine University of Agriculture kama watu hawataki kujitahidi kwenye masomo yote wanakomaa na kaswida sisi tuwasaidieje...