Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,370
- 29,610
Tunatwanga kotekote
....Chadema wanapata wapi fedha za kuchezea hivi?
utaendelea kushikiwa akili na waliokutuma mpaka uzikwe , tangu lini tajiri na mtu mwenye asset hadi ulaya akawa local ? halafu masikini kutoka mwandika akawa modern ! very poor !Kiongozi Mkuu ni too local-waraka
Mkuu hujajibu hoja, chadema mnatoa wapi hela za kuchezea? Slaa anajiandalia mikutano ili apate per dm.
mjomba hao masikini wanaokodiwa na ccm kamwe hawawezi kumtisha KAMANDA MBOWE , huyo masikini NYAKARUNGU na yule MPORA SIMU hawana lolote , njaa yao haituhusu sisi hata kidogo , watavuna walichopanda .Haitajiki atatue kwanza matatizo ya chama ndo aje otherwise ajiandaae na aibu iliyoko nyuma yake
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya kichama katika mkoa wa Mwanza kuanzia tarehe 14 Desemba.
Taarifa kutoka Makao Makuu ya Chama Dar es Salaam na ofisi za chama Mkoani Mwanza zinasema kwamba ziara hiyo itakuwa na nia ya kuimarisha chama.
Kiongozi huyo anatarajiwa kuhutubia wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani Mwanza ambao ni wanachama wa CHADEMA katika siku ya kwanza ya ziara yake.
Mkoa wa Mwanza ni kati ya ngome kuu za CHADEMA kanda ya ziwa na Mwenyekiti huyo amekuwa akiheshimika sana katika mkoa huo.
Source:Chademablog.
chadema ndiyo tegemeo letu , tunawashukuru sana viongozi wetu kwa kuendelea kuipigania cdm , MUNGU awape uhai mrefu mtufikishe pale kwenye nchi tunayoitaka .
Hivi kutembelea wanachama na kusikiliza kero za wanachama ni uvujaji wa pesa?CCM inapata wapi hela ya kununua wapinzani?Mnavipenda vyama vya idara ya habari Maelezo ehh!Mtasoma namba.Chadema wanapata wapi fedha za kuchezea hivi?
really? exposure ya mbowe msalia hawatakaa hata siku moja waikaribie? mbowe hana price tag! haongeki kwa suti huyo pengine ndo maana mnamuona yuko too local hawachekei mabasha zenu...BTW mti wenye matunda ndio unapopolewa mawe mengi, hilo twalijua! mnalingine? Nani asiepiga deal ndani ya CCM? nani mwenye afadhali kuliko mwenzie ndani ya ccm? akili gani ya kuachia dhahabu, almasi, tanzanite, gesi na rasilimali kedekede ziondoke kisha muanze kwenda kutembeza bakuli?Kiongozi Mkuu ni too local-waraka
Kamanda KAribu mwanza, eti wakuita you are too local.wajinga wale, wamelewa utajiri wa bandia, wametoka makwao weupe.leo wanajiringanisha na wewe mjasiliamali, eti wanachagua aina ya biashara walitaka nani aendeshe kumbi za starehe wajinga wakubwa, Ina maana wanatakiwa nani atoe huduma hiyo halali? Wajinga wakubwa.wao leo ukiwakagua hawana hata business licence Lakini ni mamilionea, ngoja Cdm iwapige chini tutawaona kama wataweza hata ku fungua kiosk.wajinga .
Hawajui historia ya nchi wamekuta imetengenezwa wao wanakuja kuiba tu.Hawajui kuwa mzee mbowe ndiyo walitoa michango ya Hali na Mali kuhakikisha wapigania Uhuru wa nchi wana pata pesa za kuwapeleka UN Kudai uhuru, Lakini leo bila Aibu wana sema chairman wetu ni too local, too local!!!.anyways kapiga kazi kamanda wakikua wataacha.
Chadema wanapata wapi fedha za kuchezea hivi?
mkuu usihangaike na huyo mburula , njaa ndiyo tatizo lake .....
...Tulia myolewe!!
.....chezea mzinga wa nyuki wewe..
Kinana naye anapata wap fedha za kuzurura
Haitajiki atatue kwanza matatizo ya chama ndo aje otherwise ajiandaae na aibu iliyoko nyuma yake