Mbowe kuanza Ziara Mwanza Tarehe 14 Desemba!

Mbowe kuanza Ziara Mwanza Tarehe 14 Desemba!

Watoke mchamba wima waende Mwanza? unadanganya.

Hao itakuwa wa Nyegezi bible fellowship. Hivi Mbowe ana uwezo haswaa wa kukaa na kuongea na wasomi?

Wacheni porojo.
Ndiko wanakotokea wasomi. Hata raisi wenu alikuwa mjanja akapita kwenye shule zao baada ya kugundua madrasa ni makamasi matupu...
 
Pale Morogoro kuna chuo cha dini sijui katika soko la ajira unaweza ukakilinganisha na hiki unachokiponda. Hata kama vyuo vingefutwa vyote Tanzania kikabaki kile cha dini pale Morogoro bora siwezi kusoma pale. Hakina vision yoyote

Ukiangalia list ya wanaojiunga Jordan university pale Morogoro akina abdalah wapo kadhaa, lakini ya wa MMU (MORO MUSLIM UNIV) hukuti akina john. Watu wanajua kwenye hivi vyuo vya madrasa ni inzi tu...
 
Ndiko wanakotokea wasomi. Hata raisi wenu alikuwa mjanja akapita kwenye shule zao baada ya kugundua madrasa ni makamasi matupu...

Unakoroma kama mbuzi aliyechinjwa, yote hiyo kwa kuwa mnadanganya eti Mbowe anakutana na wasomi.

Huyo Mwenyekiti wenu wakati Rais wake anasoma yeye alikuwa wapi? anafundishwa kupiga disco na DJ Seydou na Sudi Mwarabu.
 
hivi toka ingie madarakani kikwete mliedhani angewabeba ktk kila jambo,mmejenga vyuo vingapi?mda unazidi kwisha huu.mtalia tena na nyerere/mfumo kristu.

Hahahahahahahaha, Muislaam habebwi na mtu. Sisi siyo misukule wa kungoja kubebwa. Nyinyi kaeni mdanganyane sisi tunachanja mbuga.

Povu lote linawatoka kubambwa na FaizaFoxy, eti Mbowe anaongea na wasomi. Wasomi gani hao?

Miaka 44 mmeongoza nchi, 2005 wakati Kikwete anachukuwa madaraka umeme ni 10% tu ya nchi nzima, leo 21% hii according kwa Msomi wenu Mhongo. Mlikuwa wapi? mliofanya kwa miaka 44 Kikwete kafanya zaidi kwa miaka 8 tu, na ikifika 2015 inategemewa kuwa 30%.

Hapo ndiyo utujuwe, huwa hatukisii.
 
Hata ikitokea nchi hii wakabaki waislamu au wakristo peke yao nchi nzima,hawataweza kumaliza matatizo yao na woote watagundua hilo baadae sana na ndipo watakapoanza kumlilia YESU awasaidie
 
Hali kadhalika Mwanza hakuna chuo cha Nyegezi bible fellowship

Tuko unajuwa kuwa avatar yako ni ya Imam wa Kiislaam?

4.jpg
 
Watoke mchamba wima waende Mwanza? unadanganya.

Hao itakuwa wa Nyegezi bible fellowship. Hivi Mbowe ana uwezo haswaa wa kukaa na kuongea na wasomi?

Wacheni porojo.
Wewe Ajuza peleka udini kwenye jukwaa la dini hata wewe Canada ulikosoma ni chuo cha kikristo vinginevyo ungesoma uarabuni Kama Mimi
 
Unakoroma kama mbuzi aliyechinjwa, yote hiyo kwa kuwa mnadanganya eti Mbowe anakutana na wasomi.

Huyo Mwenyekiti wenu wakati Rais wake anasoma yeye alikuwa wapi? anafundishwa kupiga disco na DJ Seydou na Sudi Mwarabu.

Kusoma unakujua wewe... au kuimba tu kaswida... huyo aliyetoka na pass naye anajiita msomi?!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom