Mbowe kuanza Ziara Mwanza Tarehe 14 Desemba!

Mbowe kuanza Ziara Mwanza Tarehe 14 Desemba!

Hao wasomi ni kina nani? usitwambie wanatoka chuo cha biblia cha nyegezi. Santa Agostino.

Unaharibu mijadala kwa udini wako,ona sasa! Hebu badilika we mama basi. Mbona watu huku mitaani hawana hilo? Nani anajali dini ya mwenzake inafanya nini? Una matatizo sana. Na humu JF hakuna mwanamke mdini kama wewe.
 
Wasomi wa ccm ni kama yusuph makamba darasa la 7 amewahi kuwa katibu mkuu taifa.stephen mashishanga drs la 7,richad ndasa mbunge wa sumve la 7.nchambi mbunge wa kishapu form four.chapa mwendo kamanda mbowe lukuvi drs la 7.maji marefu drs 2.vivaa cdm
 
Hao wasomi ni kina nani? usitwambie wanatoka chuo cha biblia cha nyegezi. Santa Agostino.

Imani yako ya vichochoroni inakuvuruga tafuta wa kukuweka sawa ili upunguze muhemko.Imekatazwa ya kuwa ni kosa kubwa ya kuwa chanzo cha dini yako kufesheheshwa, kwa hiyo yaonekana huna dini.
 
Hao wasomi ni kina nani? usitwambie wanatoka chuo cha biblia cha nyegezi. Santa Agostino.

Saut ndiyo unaipa kebehi namna hii ?Udini utawamaliza nyie .Hivi pale hakuna waislam wanasoma ? Badala mkazane na nyie baadaye mtaanza mfumo kristo na memorundam .Ngojea siku si nyingi .
 
Hao wasomi ni kina nani? usitwambie wanatoka chuo cha biblia cha nyegezi. Santa Agostino.

Sasa wewe FaizaFoxy kila unachoandika ni pumba tu, mbona hutulii na mumewe na kumpa uroda kuliko kujidhalilisha kila mara hapa jamvini? Au wewe huna mume, Majibu waliyokupa ni kashfa kwako na kwa mumeo nadhani .. au mumeo hajitambui?

Eti Hao wasomi ni kina nani? usitwambie wanatoka chuo cha biblia cha nyegezi. Santa Agostino.

majibu yako:

1 Hapana, ni wale wa madrasa ya Mchamba wima!
2
hapana ni wa kile chuo kisicho tambulika rasmi ktk soko la ajira nchini cha muslim university of morogoro.
3
Hapana, wanatoka chuo kikuu cha Quran pale Morogoro.
4
Imani yako ya vichochoroni inakuvuruga tafuta wa kukuweka sawa ili upunguze muhemko.Imekatazwa ya kuwa ni kosa kubwa ya kuwa chanzo cha dini yako kufesheheshwa, kwa hiyo yaonekana huna dini.
5
Saut ndiyo unaipa kebehi namna hii ?Udini utawamaliza nyie .Hivi pale hakuna waislam wanasoma ? Badala mkazane na nyie baadaye mtaanza mfumo kristo na memorundam .Ngojea siku si nyingi.

Mama udini huu utawamaliza, Mko kwa ajili ya kuvuruga hoja za chadema tena hamtumii hata akili, nakudharau sana
FaizaFoxy. Kweli kushabiki ccm ni sana na kuwa na akili ya maiti!
 
Unaharibu mijadala kwa udini wako,ona sasa! Hebu badilika we mama basi. Mbona watu huku mitaani hawana hilo? Nani anajali dini ya mwenzake inafanya nini? Una matatizo sana. Na humu JF hakuna mwanamke mdini kama wewe.

Wewe wacha kufikiri ndani ya boksi, mtu anakuja anakwambia eti Mbowe anakutana na wasomi halafu hasemi ni wasomi wepi. FaizaFoxy akiuliza badala ya kumjibu mnasema mdini! kuna wadini zaidi ya chadema? ambao hata wafadhili wao ni chama cha kidini (Kikristo) cha Ujerumani?Hivi Mbowe ana ubavu wa kukutana na wasomi?

Nilikuwa natazama kipindi ambacho Muhongo alikwenda kukutana na wasomi wa UDSM, akawafunga midomo Tundu na Mnyika na babu yao Mengi kwa kuwashushia nondo za kisomi. Wakabaki midomo wazi kwa kudanganya kwao kwa kupiga makelele yasiyo na mpango na kuwakatisha watu tamaa.
 
hapana ni wa kile chuo kisicho tambulika rasmi ktk soko la ajira nchini cha muslim university of morogoro.

Naona mnaanza kubwabwaja. Mkishikwa patamu huwa mnaanza kukoroma kama mbuzi anaechinjwa.
 
Yeye anaelimu gani, atawaeleza nini wataaluma, na wasomi wakati yeye elimu yake ni wastani sana ?
Uongozi siyo elimu kama unavyofikiria. Zuma toka houseboy hadi Rais. Uongozi ni karama ndo maana nyie CCM Nape na dvision four yake anawaongoza.
 
Hapana, ni wale wa madrasa ya Mchamba wima!

Watoke mchamba wima waende Mwanza? unadanganya.

Hao itakuwa wa Nyegezi bible fellowship. Hivi Mbowe ana uwezo haswaa wa kukaa na kuongea na wasomi?

Wacheni porojo.
 
taaluma ya kukosoa hoja yoyote ya upinzani.

Sishangai kuwa target ya CCM kwa sasa ni kumu attack huyu jamaa. Strategies zake zimekuwa mwiba mkali kwenu... By the way, ni katika harakati kama hizi za Mwanza ndipo alipowavumbua hao wanaomwita local...
 
Naona mnaanza kubwabwaja. Mkishikwa patamu huwa mnaanza kukoroma kama mbuzi anaechinjwa.

hivi toka ingie madarakani kikwete mliedhani angewabeba ktk kila jambo,mmejenga vyuo vingapi?mda unazidi kwisha huu.mtalia tena na nyerere/mfumo kristu.
 
lazima uone hivyo:

Pale Morogoro kuna chuo cha dini sijui katika soko la ajira unaweza ukakilinganisha na hiki unachokiponda. Hata kama vyuo vingefutwa vyote Tanzania kikabaki kile cha dini pale Morogoro bora siwezi kusoma pale. Hakina vision yoyote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom