Mbowe kuanza Ziara Mwanza Tarehe 14 Desemba!

Mbowe kuanza Ziara Mwanza Tarehe 14 Desemba!

Kasome tuhuma 11 alizobambikiwa Zitto na Mkumbo kama udini haumo mle. Urudi kutueleza.

Halafu kwanini mleta mada asiseme ukweli kuwa Mbowe anakutana na Wanafunzi wa Kikristo Mwanza? alikuwa anaficha nini?
Kwa hiyo ZZK alikuwa akifanya unafiki kwa sababu ya dini yake! Ahaaaa, ndio maana cuf imekuwa nyumba ndogo ya ccm! Kumbe ccm ni wadini! Macho yako yanashabihiana sana na jina lako na pia tabia ya cuf kwa ccm.
 
Mbowe akutane na wanafunzi wa Kikristo tena wa Kichagga Hotelini Mwanza halafu mje hapa mdanganye anakutana na wasomi, kama alitaka kukutana na wasomi kwanini asiende chuoni kwenyewe? Kama alivyofanya Muhongo juzi? Kwaanini achaguwe wa kukutana nao kuwa ni wanafunzi Wakristo na Wachagga tu? halafu mnakuja humu kudanganya.

Udini unawamaliza wenyewe huo, hamjijui tu. Kikulacho ki nguoni mwako.
Pandikiza chuki mpaka nchi iwe kama Siera Lione, halafu wewe uje ukimbilie china. Kumbuka Mwenyekiti wako, akiwa mtawala wa nchi, alisema uchaguzi mkuu 2010 ulitawaliwa na udini, sijui yeye alichaguliwa na wa imani yake pekee? Muda mfupi baadaye zzk kutoka huko mwisho wa reli naye akasema ni kweli kwani na yeye alichaguliwa na watu wa imani yake. Siku chache baadaye wakaenda wote kula kuku sudan kujipongeza. Niwashauri tuu tena bure, mbegu hii mbaya mnayoipanda ninyi watawala dhidi ya wapinzani wenu kwa lengo wachukiwe kisiasa, mnawajenga. Take it from me Mwigulu na washikaji zako akina Dr. uchwara kashaga na wengineo, hizi propaganda chochezi zitawatokea puani.
 
wanafundisha Barchelor degree of Quran, ulizia sheikh wako atakwambia. Cha kushangaza wale waislamu walio na akili nzuri hawakitaki.

Laanatullah alaika. Mwanaharam mkubwa kwa kashfa zako na uzushi kuwa Tanzania kuna chuo kinatoa Degree ya Qur'an. Jaribuni kujadili hoja kwa unakini bila kashfa dhidi ya watu wengne. waweza thibitisha hilo au ndo mwendelezo wenu wa MFUMO KRISTO?
 
mwenyekiti wa chadema freeman mbowe anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya kichama katika mkoa wa mwanza kuanzia tarehe 14 desemba.

Taarifa kutoka makao makuu ya chama dar es salaam na ofisi za chama mkoani mwanza zinasema kwamba ziara hiyo itakuwa na nia ya kuimarisha chama.

Kiongozi huyo anatarajiwa kuhutubia wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani mwanza ambao ni wanachama wa chadema katika siku ya kwanza ya ziara yake.

Mkoa wa mwanza ni kati ya ngome kuu za chadema kanda ya ziwa na mwenyekiti huyo amekuwa akiheshimika sana katika mkoa huo.

Source:chademablog.

karibu sana mwanza mh.mbowe tutakupokea kwa mikono miwili.wewe ni mtu wa watu.ahsante cdm chama chenye udhubutu.
 
kasome tuhuma 11 alizobambikiwa zitto na mkumbo kama udini haumo mle. Urudi kutueleza.

Halafu kwanini mleta mada asiseme ukweli kuwa mbowe anakutana na wanafunzi wa kikristo mwanza? Alikuwa anaficha nini?

lakini siyo wote wavaao hijabu ni waislam safi wala wabeba biblia ni wakristo safii.naamini haya maneno yanakugusa uyasomapo.
 
chadema wanapata wapi fedha za kuchezea hivi?

kopa kwao uanzishe biashara kama ni za kuchezea..magamba wanapata wapi za kupika plau kwa wananch na kununua kanga kwa wanamama?
 
Kwa hiyo ZZK alikuwa akifanya unafiki kwa sababu ya dini yake! Ahaaaa, ndio maana cuf imekuwa nyumba ndogo ya ccm! Kumbe ccm ni wadini! Macho yako yanashabihiana sana na jina lako na pia tabia ya cuf kwa ccm.

Tuonesheni udini wa Zitto uko wapi, ili tujuwe kuwa chadema kaanzisha Zitto udini. Usitake kurusha.

Mengine hayo ni viroja vya bavichaa.
 
Last edited by a moderator:
kamanda mnafiki abganganiaye madaraka, yarakutoka puani.
Big up zzk

big up zzk!!!???....kuna jingine la uswisi laja kwa kasi kweli sijui ndo taandika... Lower zzk!!!
 
Nnaongelea ya Nyegezi. Hakuna hapo bible fellowship? una uhakika? huwa sikisii!

Huna unachofikiri zaidi ya hayo. Sii ajabu hata watoto wako (kama unazaa) unapenda wasisome ila wawe kama hawa
ImageUploadedByJamiiForums1387009168.496476.jpg
 
The point is, baniani mbaya kiatu chake dawa! hapo hapo mtu anaponda Uislaam na Waislaam halafu hero wake aliyemweka kama avatar yake ni Muislaam tena ni Imam. Huoni kuwa hapo ni yale yale ya baniani mbaya kiatu chake dawa?
Wanaouponda Uislamu kwa kweli ni wale wasio na uelewa mpana wa ubinadam.
Mimi binafsi nimekaa na kukua na waislamu weni na ukiuekewa vizuri, Uiskamu ,Ukristo hakuna tofsuti kabisa.

Wote wana place value katika kuamini Mungu kama Mwanzo na Mwisho wa yote, ndiyo maana huwa najizuia sana kuingia na kuponda imani ambayo msingi wake ni Mungu Mwenyezi.
 
Chama kinazidi kuimarika kanda ya ziwa. Mbowe ni mwanasiasa makini sana , ukilinganisha na akina Kinana, Nape na mavuvuzela wengine wa CCM
 
Chanja mbuga kamanda Mbowe!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Hapo ndipo nazid kuipenda chadema kwa ujasiri wao, hakika yanibidi kumtafuta mlinzi wa kadi yangu ya chadema maana viongozi wa juu wako makini ile mbaya
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya kichama katika mkoa wa Mwanza kuanzia tarehe 14 Desemba.
Tuna msubilia kwa hamasa kubwa kamanda wetu.
 
Chadema wanapata wapi fedha za kuchezea hivi?

Kufanya mkutano ni mojawapo wa kutatua kero zinazowakabidhi watu unaowajali. Pia ni kupanga mikakati ya kimaendeleo kwa siku zijazo, nani kakuambia ni kuchezea fedha? kuchezea fedha ni kama vile kutumia fedha kwenye ulevi, umalaya na mengine yanayofanana na hayo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom