Mbowe kuanza Ziara Mwanza Tarehe 14 Desemba!


M

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
13,355
Likes
720
Points
280
M

Molemo

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
13,355 720 280
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya kichama katika mkoa wa Mwanza kuanzia tarehe 14 Desemba.

Taarifa kutoka Makao Makuu ya Chama Dar es Salaam na ofisi za chama Mkoani Mwanza zinasema kwamba ziara hiyo itakuwa na nia ya kuimarisha chama.

Kiongozi huyo anatarajiwa kuhutubia wanafunzi wa vyuo vikuu mkoani Mwanza ambao ni wanachama wa CHADEMA katika siku ya kwanza ya ziara yake.

Mkoa wa Mwanza ni kati ya ngome kuu za CHADEMA kanda ya ziwa na Mwenyekiti huyo amekuwa akiheshimika sana katika mkoa huo.

Source:Chademablog.
 
kbosho

kbosho

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Messages
12,548
Likes
3,405
Points
280
kbosho

kbosho

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2012
12,548 3,405 280
GO MBOWE!!! viva chama makini chadema
 
Mlengo wa Kati

Mlengo wa Kati

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2011
Messages
2,732
Likes
12
Points
0
Mlengo wa Kati

Mlengo wa Kati

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2011
2,732 12 0
Kiongozi Mkuu ni too local-waraka
 
K

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2013
Messages
835
Likes
2
Points
0
Age
26
K

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2013
835 2 0
Saaaaafi sana Kamanda, 2po tayari Kumpokea Kamanda Wetu!...
 
frema120

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Messages
5,102
Likes
35
Points
135
frema120

frema120

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2012
5,102 35 135
safi sanaaaa, mpaka mtaisoma tuu, pangeni ujuma sisi tunapangua tuanasonga mbele, goo gooo mbowe.
 
POMPO

POMPO

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2011
Messages
6,691
Likes
17
Points
135
POMPO

POMPO

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2011
6,691 17 135
Magamba na Vijitamko uchwara ndio wajue mziki wa CHADEMA
 
N

ndomyana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
4,748
Likes
77
Points
145
Age
39
N

ndomyana

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
4,748 77 145
Hahahhahahaaa hii cdm wababe kweli na watapitia mikoa yote ya watoa vitamko bada apo dk anenda lindi mbowe singida
 
sixgates

sixgates

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Messages
3,974
Likes
112
Points
145
sixgates

sixgates

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2011
3,974 112 145
Chadema wanapata wapi fedha za kuchezea hivi?
 
meningitis

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Messages
8,070
Likes
968
Points
280
meningitis

meningitis

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2010
8,070 968 280
M4C kama kawa!
 
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Messages
25,222
Likes
23,691
Points
280
OKW BOBAN SUNZU

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2011
25,222 23,691 280
Kiongozi Mkuu ni too local-waraka
angekuwa local sidhani kama cdm ingekuwa hivi leo,sidhani kama cdm ingeingia mitandaoni kwa hamasa kubwa hivi.sidhani kama angeweza kuweka system ya kunasa fitna za CCM zikiwa colluded na kina Zitto.unajua kwa nini hakuweza kui-face kamati kama angekuwa na hoja
 
MFUKUZI

MFUKUZI

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Messages
931
Likes
28
Points
45
MFUKUZI

MFUKUZI

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2011
931 28 45
Chadema wanapata wapi fedha za kuchezea hivi?
Hizo anazozikomalia ZZK kwamba chama hakijfanya ukaguzi zinatoka M...a..:closed_2:.a..k..:sad:....n...i kwako????? Acha uyahaya!!....na wewe unajisifu unakazi... hivi ukirudi nyumbani kwako watoto wako unawaambia unafanya kazi gani??
 
chikutentema

chikutentema

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Messages
6,729
Likes
1,428
Points
280
chikutentema

chikutentema

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2012
6,729 1,428 280
Chadema wanapata wapi fedha za kuchezea hivi?
Hapo ndipo mnatakiwa kujua kuwa CDM ya leo ni tofauti na vyama vya upinzani vilivyowahi kupita.......tutaenda tu sambamba na wezi ninyi... gooooooooooooooooooo mwenyekiti wangu mboweeeeeeeeeeeeee kayaunguze magamba yoteeeeeeeeeeee
 
Lunyungu

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Messages
8,842
Likes
99
Points
145
Lunyungu

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2006
8,842 99 145
Chadema wanapata wapi fedha za kuchezea hivi?
Kuwa mtulivu , kaulize CCM wakuwa nje siku 26 mbona hujauliza ? Kwanza wewe ni CCM unauliza mambo ya Chadema yanakuhusu nini ?I told you kwamba utakuja kuadhirika slowly you will get to learn
 
M

m4cjb

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2012
Messages
6,904
Likes
356
Points
180
Age
34
M

m4cjb

JF-Expert Member
Joined Jul 23, 2012
6,904 356 180
Wale wafanya mikakati ya maandamano njooni na Mwanza tuwaoneshe kazi!
 
Said Buko

Said Buko

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Messages
244
Likes
5
Points
33
Age
28
Said Buko

Said Buko

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2013
244 5 33
naye anataka kupima upepo
 

Forum statistics

Threads 1,252,056
Members 481,989
Posts 29,794,218