Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

Status
Not open for further replies.
wenye akili ndogo km wewe ndio wanadhani kwamba target ni lowasa..target ni kiwanda cha mafisadi CCM...sasa ushahidi wa kupambana na lowasa usaidie nini?na akipatikana na hatia cdm watafaidika nini?Ndio waisaidie ccm?

Lowasa hana kosa wala si Fisadi ameshasema mwenye Richmond ni JK yeye alikuwa akitumwa tu na alipotaka kuvunja mkataba wa Richmond jk alikataa.
 
Wanajeshi ni vijana wetu na kaka zetu wtz.wakienda kinyume wastahili kuonywa.hii ni Tanzania sio kwingineko.
Je ameonya? Kweli ushabiki ni upofu!!! Hapa shida ni kutoa amri!!! Yeye anamamlaka gani kumwamuru mkuu wa majeshi? Je kweli anajua mipaka ya kutoa amri? Mkuu wa majeshi si kijana kama unavyosema wew!! Cheo alichonacho ni cha juu mno na sio cha kuchaguliwa kama cha Mbowe maana mwaweza kuchagua kijana wa miaka ishirin kuwa mwenyekiti wenu lakini hutakaa upate mkuu wa majeshi aliyefuzu vilivyo na amepitia ngazi kuu zote kihali awe chini ya miaka ishirini bali unaweza kupata mwenyekiti wa Chama Taifa akiwa na miaka kumi na tisa tu.
 
Mnaoshabikia ujinga wa jeshi kutumika kuharibu suala zima ktk daftari la kudumu mjue nchi itatumbukia ktk vita kubwa na waathirika ni ss sote.tukemee uovu wowote

Kama una uhakika kuwa jeshi linatumika kuharibu daftari la wapiga kura peleka ushahidi mahakamani ili hatua za kisheria zichukuliwe ila kama huna ushahidi kaa kimya na uache stori za kwenye vijiwe vya mbege.
 
KE wakichukia wanasema kama mbaya na iwe mbaya. Gharama ya kulinda demokrasia ipo juu sana.
 
Mbowe punguza uzushi sie hatukuamini tena wewe umekuwa unapenda hela sana chama umekiua wewe na matamaa yako ya kijinga kama wapo na ccm inawapiga mapema tu na huyo lowasa wako

Humwamini wewe pekee uliyelushwa na kukariri story za kupikwa na Nape Makonda na boss wao membe. Nani anapenda pesa? Kuna mtanzania hapendi pesa? Nitajie kiongozi wa CCM ambaye si Fisadi nitajie msaafi hata mmoja huko jeshini kwenyewe wakichunguzwa kuanzia miladi ya meremeta ule mgodi na Ununuzi wa rada na vifaa vya kijeshi kutazuka shiiiiiiiida, hakuna msafi Tanzania hii.
 
Wandugu..., nchi hii inaongozwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano waTanzania...
Mambo wanayozungumza wana siasa, wawe wa ccm, cdm, CUF, na vyama vingine vya siasa kuhusu habari ya uchaguzi ni mambo yanayopimwa sawa na kulinganishwa sawa ktk katiba... Vyombo vyote vya usalama nchini kwetu vinajua hivyo...
Inawezekana kabisa Vyombo vyetu vya usalama vinapokea AMRI TATA toka ktk mamlaka ya nchi lakini kila wakati viongozi wa taasisi zetu za usalama wanatumia HEKIMA KUBWA kusawazisha mambo, ikiwamo hiyo ya kuvujisha mipango na mikakati miovu toka kwa watawala...
 
na ule ushahidi wa 10b aliyomuuzia chama lowasa anao?
 
kwa mda mrefu chagadema wakiponyesha dharau sana kwa majeshi yetu.
ifike mahali majeshi yawatafakari hawa vibaka.
inatakiwa hata wakishinda wapigwe chini,hatuwezi achia nchi mikononi mwa majambazi bana........

umaskini utazikwa nao kushadadia wenzio wala
 
Wanataka kutafuta fisingizio wanaligusa JWTZ ? Watu wanakesha wakilinda mipaka ya nchini usiku na Mchana leo wanambiwa Hivi? Kuna kitu kinatafutwa

Pole sana naona unadhani kuwa Jwatz ni Robot au machine fulani hivi,wale ni watu tena Watanzania kama sisi shida na matatizo ya mfumo CCM yanawagusa wao moja kwa moja.
 
Je ameonya? Kweli ushabiki ni upofu!!! Hapa shida ni kutoa amri!!! Yeye anamamlaka gani kumwamuru mkuu wa majeshi? Je kweli anajua mipaka ya kutoa amri? Mkuu wa majeshi si kijana kama unavyosema wew!! Cheo alichonacho ni cha juu mno na sio cha kuchaguliwa kama cha Mbowe maana mwaweza kuchagua kijana wa miaka ishirin kuwa mwenyekiti wenu lakini hutakaa upate mkuu wa majeshi aliyefuzu vilivyo na amepitia ngazi kuu zote kihali awe chini ya miaka ishirini bali unaweza kupata mwenyekiti wa Chama Taifa akiwa na miaka kumi na tisa tu.
Anakosolewa Amiri Jeshi mkuu sembuse mkuu wa majeshi? Mbowe hajampa Amri bali kimtahadhahalisha tu kuwa asigeuze Jeshi kuwa sehemu ya kupindisha haki ya kura. Hakuna aliye juu ya sheria. Tambua kuwa 70% ya wanajeshi wanataka mabadiliko wapo nyuma ya Ukawa.
 
Tukiyasikia kwa wezetu sis tuchukuwe tahadhali kabla wapo watu hufuata mkubo Vila kujuwa wankwenda wapi we hukusoma hata f4 hukufika alafu unadanganywa utapata ajira.ebu nijuzeni niserikali gani wanaajiriwa wasio na elimu jiulize we we kijana

Embu nipe data za wanachuo wanaomaliza Shahada zao kila Mwaka ni wangapi wanaajiriwa ukiacha wa Diploma na cheti then tuje hao wa la Saba,form 4 na Six.
 
Wandugu..., nchi hii inaongozwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano waTanzania...
Mambo wanayozungumza wana siasa, wawe wa ccm, cdm, CUF, na vyama vingine vya siasa kuhusu habari ya uchaguzi ni mambo yanayopimwa sawa na kulinganishwa sawa ktk katiba... Vyombo vyote vya usalama nchini kwetu vinajua hivyo...
Inawezekana kabisa Vyombo vyetu vya usalama vinapokea AMRI TATA toka ktk mamlaka ya nchi lakini kila wakati viongozi wa taasisi zetu za usalama wanatumia HEKIMA KUBWA kusawazisha mambo, ikiwamo hiyo ya kuvujisha mipango na mikakati miovu toka kwa watawala...
Hapo umenena mkuu ni kweli kabsa wengi wapo upande wa mageuzi wamechoka na CCM ndiyo maana wanatoa Siri zote.
 
Una hakika ICC wametuma wapelelezi au umeandika kujifurahisha? Ukitaka kujua JWTZ lipo pande ipi waulize wapemba wa CUF. Vyama vya upinzana badala ya kupigania tume uhuru ya uchaguzi mnapotezea nguvu kuwakaribisha mafisadi ili kukusanya kura ambazo zinazoweza kuyeyuka mtajifunza lini?

Kweli ICC wanafuatikia kwa karibu ...Uchaguzi wa Tanzania umewekwa under alert NA international community ....Kama patatokea vifo tutegemee kuwaona vuongozi wa vyama Iwe ccm Au upinzani ..serikali ,jeshi NA hata waandishi Kama watachochea vurugu wakienda The Hague NA kututia Aibu .....

Suala la kukubali wanajeshi kubeba masanduku ya Kura itakuwa Kama 1995
 
mbowe ana upungufu wa akili yule! amelewa sifa hadi hajielewi, hasa akiwa na lowasa tajiri wake

Kama alivyo mama yako na hawara yake,akiiwa na hawara yake anasahau kabisa kuwa ana mume na watoto kama wewe ili mradi hawara kampa castle lite na chips kuku basi anasahau baba yako anemuweka mjini.
 
Pole sana naona unadhani kuwa Jwatz ni Robot au machine fulani hivi,wale ni watu tena Watanzania kama sisi shida na matatizo ya mfumo CCM yanawagusa wao moja kwa moja.

Jwtz wapo na Ukawa wengi wameichoka ccm wanataka ukawa wanajua wataboreshewa masilahi zaidi ya sasa.
 
Kumbe huna jibu, nilifikiri wewe una ukweli unaoujua

Ni uongo kwasababu hajatoa ushahidi, angetoa ushahidi tungemwamini na kumuelewa.

Mwambie tushachoka na siasa za uchochezi na fitna.

Kweli ICC wanafuatikia kwa karibu ...Uchaguzi wa Tanzania umewekwa under alert NA international community ....Kama patatokea vifo tutegemee kuwaona vuongozi wa vyama Iwe ccm Au upinzani ..serikali ,jeshi NA hata waandishi Kama watachochea vurugu wakienda The Hague NA kututia Aibu .....

Suala la kukubali wanajeshi kubeba masanduku ya Kura itakuwa Kama 1995

Mogadishu haipo mbali pia The Hague haipo mbali
 
Sote tuliaminishwa na CCM, chini ya mwenyekiti wake Dr Jakaya Mrisho ya kuwa, Mh Lowassa ni fisadi na mnufaika namber uno wa skendo ya Richmond.

LAKINI sasa, Watanzania tumeambiwa wazi kabisa na Mh Lowassa ya kuwa, mwenyewe mwenye Richmond ni Baba Miraji......!

Kumbe sasa, kwakuwa mwenyewe (baba mwanaasha) au wasaidizi wake, hawajaja hewani kuipinga kwa hoja kauli hiyo ya lowassa, hivyo basi inamaanisha wazi kabisa kuwa Lowassa siyo fisadi tena, na amebatizwa upya...hivyo ameokoka!

Na kwa kuokoka kwake huko na pia kuweka wazi dhambi zake, ndiyo kukapelekea akakubaliwa kujiunga na UKAWA na kupewa nafasi aliyonayo!

Ukipenda chongo huita kengeza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom