Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

Status
Not open for further replies.
Acha ungese wewe,kwani Jeshi ni wakina nani,ni maroboti?jeshi linapoamua kuingilia mswala ya kisiasa tena kwa kificho unataka watu wakae kimya na huyo Mwamunyange yeye ni nani mpaka aogopwe kiasi cha kutokuambiwa ukweli wa yale afanyayo gizani? Hii nchi ni yetu sote sio ya CCM wala ya Mwamunyange.

humjui mwamunyange? Ni zaid hata ya baba yako.
 
Kwani Mbowe ni nani mpaka ampe mkuu wa majeshi amri! Naomba Mbowe asilewe na wingi wa watu akajua watu wote yuko naye! Na ache mara moja!!

Kwakweli inashangaza sana, hizi kauli za uchochezi na ambazo zinaweza kufanya watu wasiwe na imani na jeshi lao la ulinzi. Kama imepangwa na Mungu kwenda ikulu mtaenda lakini sio kwa kauli mbaya kama hizi...Ukawa are hopeless
 
Wanataka kutafuta fisingizio wanaligusa JWTZ ? Watu wanakesha wakilinda mipaka ya nchini usiku na Mchana leo wanambiwa Hivi? Kuna kitu kinatafutwa

Mipaka IPI? Wakati ngombe za wanyarwanda ninavuka mikapa na kutafuta malisho nchini.?

Hili Ñî jeshi letu, si jeshi la mbowe, jk, nape, Membe, au mamunyange.

Na kama ccm italishirikisha jeshi letu katika mambo ya siasa basi vyama vingine vitafanya hivyo pia. Kutakuwa hakuna amani.
 
Habari wakuu...
1. Nimepewa mtonyo kutoka mtu wa jikoni kabisa kunako jwtz kwamba jeshi halijapeleka vijana tume. Lakini Vijana wa JKT IT specialist walichukuliwa na NIDA wakati wa uandikishaji vitambulisho vya Taifa.
2. Pia kuna mtonyo nimepenyezewa kuwa baadhi ya wakuu wa vikosi walianza propaganda za kusisitiza kwamba ma soldiers wachague chama tawala kwani ndicho kilichowapa ajira, Hata hivyo ma soldiers wamezingua mbaya na kutishia kuwarecord na kuwapiga picha kisha kuwatupia kunako mitandao hoja yao kuu ni kwamba hawataki siasa kura watampigia wanaemtaka. Hali hiyo imesababisha wakuu hao kutulia kama piriton kwani wameona upepo wa mwaka huu ni kama catrinna ngoma nzito haitabiriki.
3. Pia kuna mtonyo mwingine nimepenyezewa kutoka baadhi ya vikosi hasa vya jijini dar es salaam na morogoro kumekuwapo na discussion za hawa wagombea wawili ma soldiers wengi wazee wapo upande wa kidumu chama lakini vijana damu inayochemka wengi wanamfagilia sana mzee wa nywele nyeupe
4. Mtonyo mwingine nilioudaka kutoka kunako police force chanzo cha uhakika kinasema siasa za bwana Napegwa zilishaanza mda hadi baadhi ya kota za hawa usalama wa raia na mali zao walishawekewa mabango ya lazima kuchagua kidumu chama. Pia kuna taarifa kwamba vijana walioajiriwa polisi kutokea jkt wamekuwa mstari wa mbele kuhoji hizi amri zinatoka kwa nani na wamekuwa na msimamo wa kutoburuzwa kwani wengi wao waligoma kukusanya VICHINJIO wakitaka majibu kwanza kama Tume imebariki suala hilo.
5. Mtonyo wa mwisho unatoka kwa police waliowahi kulinda kwa bwana nywele nyeupe kipindi yupo madarakani kama waziri mshika gongo wanasema wanampenda sana kwani ni mtu ambaye alitoa hali ya kudharaulika kwao,,,mmoja wa kijana anasema kuna siku mzee alikuwa anapata chai kisha akauliza walinzi wengine na baadhi ya viongoz alokuwa anapata nao chai "Kwa nini mnawatenga wale vijana police hamuwapi chakula tunachopata sisi? Kwani wao na sisi wana tofauti gani?? Basi kuanzia siku hiyo vijana hao wakawa wanapata mlo mzuri na kaposho kidogo wakawa wanapiga kazi kwa moyo sana maana walikuwa wanajihisi wako sawa na watu wengine. Alivyoingia mtoto wa mkulima wanasema hali ikarudi kama zamani. Kiufupi wanasema mzee ni mtu poa sana. Ni hayo tuu kutoka viunga vya washika virungu na wavaa buti.
Nitaendelea kuwapa mtonyo kadri nitakopoendelea kupekenyua habari kutoka chanzo cha jikoni kabisa.
 
Wafanya fujo na wanywa mbege kaeni mkao wa kula.
Kichapo movie is coming near you in October.

Andaeni bandeji kabisa na maji moto. Its is going to be a bampy ride.
 
umejiunga juzi kwa kazi moja tu -kueneza umbea
 
We jamaa ni mitonyo tu...sema kitu chrnye uhakika usiwe muongo na mzushi...jeshini kulivyo hakuna private au mtu wa chini anayeweza kumtishia kiongozi wake cuz huku ni amri tu na sio porojo kama huko mitaani...sasa maelezo yako yanaProve kuwa umetunga hayo mambo na ni uongo mtupu...siamini hata kidogo
 
hoja ya pili tu imenisimamisha kuendelea, Jeshini hakuna Hoja ni amri tu. basi

Mungu ni mkubwa.

swissme
 
Hakuna kipigo chochote this year, askari wetu wameshasoma upepo, so wameshajiandaa kisaikolojia kupokea mabadiliko
 
Kwenye usalama wa nchi hakun kitu kinachoitwa mtonyo, wanajua pa kuwashika katika hili wanajua pakuwashika achene kelele, endeleeni kuandamana kwani kikatiba ni haki yenu ya msingi, ila kwa maslahi ya nchi uraisi mtausikia kwenye Jamii forums na magazeti pendwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom