Alex Wiliam
New Member
- Aug 13, 2015
- 2
- 0
Huna uelewa Wa kutosha kalale ufikilie
Kwani Mbowe ni nani mpaka ampe mkuu wa majeshi amri! Naomba Mbowe asilewe na wingi wa watu akajua watu wote yuko naye! Na ache mara moja!!
Na ushahidi wa ufisadi wa Lowasa Kauacha wapi?
Wawaulize wanajeshi wa Gaddafi kama walifua dafu kwa nguvu ya Umma!
Hizi NI details ...,Ila hali Ilivyo Askari WENGI wa chini wa Majeshi yote NA a hata wa vyeo vya Kati ...wanaunga mkono mageuzi ( ushahidi wa awali NI matokeo ya Urais maeneo yenye makambi Mwaka 2010 NA serikali za mitaa 2014)
Kikwete baada ya kuona ameshaharibu Chama NA hakiwezi kuleta ushindi ....ameanza kupiga ndogondogo za jeshi kumsaidia Kama watashindwa ...Ili magufuli apishwe ...hili Suala limeshaleak KWENYE mashirika yote makubwa ya kijasusi ....NA juzi tayari mahakama ya ICC imetuma wapelelezi wake NA mawakala wao nchini kuanza kuchukua ushahidi....wameaza NA KAUli tata hasa za rais
Kwa Sasa SIO Siri KUWA ccm hawana Tena Matandao wa ushindi ...kwa Mara ya kwanza toka uhuru .....
Mimi sitaki kuhitimisha maoni yangu ...LAKINI KAUli za jk kutumia jeshi SIO Mara ya kwanza ...KWENYE bunge la Katiba ..alitoa hiyo KAUli NA pia ashawahi kuirudia vikao vya NDANI
Jeshi letu linasifika kwa nidhamu .....naomba Sana rais asiwaingize KWENYE Hizi siasa Zake .....Kama Kauwa Chama ...atafute mganga wa kufufua HUKU ccm ...leave millitary alone ...HUo mpasuko wake alioleta ccm asiulete jeshini ...kwani atawapoanza makamanda NA kutuharibia nchi ....hawa Askari vijana ...NA Watu wa Makam ...wanna nidhamu LAKINI hatujui impact ya kuwachokoza ....
Kikwete umevunja ccm ...usituvunjie nchi tafadhali.....Urais usitutoe KWENYE utamaduni Wetu..
Hapo sasa Ukawa Mmeanza kuharibu. Tunaijua Taasisi hii ilivyo kuwa makini na huwa haifungamani na siasa kwa hilo Mzee Mbowe hautaungwa mkono.Mwenyekiti wa chadema leo hapa mwanza amemuonya vikali mkuu wa majeshi CDF DAVIS MWAMUNYANGE juu ya hatua yake ya kutoa askari jeshi kadhaa na kuwapeleka TUME YA UCHAGUZI.
Amesema tayari wanao ushahidi wa kutosha na wakiutaka watauwasilisha.
Vile vile wamemuonya mwenyekiti TUME ya uchaguzi juu ya hatua yake ya kukubali kuwapokea hao wanajeshi ambao ni wataalamu wa IT, imeelezwa kuwa wataalamu hao wameambiwa wavae kiraia na wasijitambulishe kama wanajeshi.
Source: Mimi mwenyewe leo hapa Furahisha Mwanza.
Kwani Mbowe ni nani mpaka ampe mkuu wa majeshi amri! Naomba Mbowe asilewe na wingi wa watu akajua watu wote yuko naye! Na ache mara moja!!
Kwani Mbowe ni nani mpaka ampe mkuu wa majeshi amri! Naomba Mbowe asilewe na wingi wa watu akajua watu wote yuko naye! Na ache mara moja!!
Hao wanajeshi pia wapo upande wa mageuzi,wote wanajua ccm hawang'ang'anii madaraka kwa kuwa wanaipenda Tanzania bali kulinda wizi wao walioufanya dhidi ya mama yetu TanzaniaMwenyekiti wa chadema leo hapa mwanza amemuonya vikali mkuu wa majeshi CDF DAVIS MWAMUNYANGE juu ya hatua yake ya kutoa askari jeshi kadhaa na kuwapeleka TUME YA UCHAGUZI.
Amesema tayari wanao ushahidi wa kutosha na wakiutaka watauwasilisha.
Vile vile wamemuonya mwenyekiti TUME ya uchaguzi juu ya hatua yake ya kukubali kuwapokea hao wanajeshi ambao ni wataalamu wa IT, imeelezwa kuwa wataalamu hao wameambiwa wavae kiraia na wasijitambulishe kama wanajeshi.
Source: Mimi mwenyewe leo hapa Furahisha Mwanza.
Acha umbumbumbu wew,Mbowe ni kiongozi wa chama kikuu cha upinzani na ana uzito na umuhimu wa kipekee.Kwani Mbowe ni nani mpaka ampe mkuu wa majeshi amri! Naomba Mbowe asilewe na wingi wa watu akajua watu wote yuko naye! Na ache mara moja!!
Ni kwelimkabisa na inatakiwa iwe hivyo. Ndiyo maana kama wako huko NEC ni makosa makubwa, tunawaingiza kusikotakiwa. Lakini tusubiri majibu yao kuhusu tuhuma hizi. Juzi tulimsikia IGP akikubali yaliyokanushwa!Kwanza jeshi halijihusishi na siasa na lilishakataa kuhusu kuhusishwa kwake
Hizi NI details ...,Ila hali Ilivyo Askari WENGI wa chini wa Majeshi yote NA a hata wa vyeo vya Kati ...wanaunga mkono mageuzi ( ushahidi wa awali NI matokeo ya Urais maeneo yenye makambi Mwaka 2010 NA serikali za mitaa 2014)
Kikwete baada ya kuona ameshaharibu Chama NA hakiwezi kuleta ushindi ....ameanza kupiga ndogondogo za jeshi kumsaidia Kama watashindwa ...Ili magufuli apishwe ...hili Suala limeshaleak KWENYE mashirika yote makubwa ya kijasusi ....NA juzi tayari mahakama ya ICC imetuma wapelelezi wake NA mawakala wao nchini kuanza kuchukua ushahidi....wameaza NA KAUli tata hasa za rais.
Kwa Sasa SIO Siri KUWA ccm hawana Tena Matandao wa ushindi ...kwa Mara ya kwanza toka uhuru .....
Mimi sitaki kuhitimisha maoni yangu ...LAKINI KAUli za jk kutumia jeshi SIO Mara ya kwanza ...KWENYE bunge la Katiba ..alitoa hiyo KAUli NA pia ashawahi kuirudia vikao vya NDANI
Jeshi letu linasifika kwa nidhamu .....naomba Sana rais asiwaingize KWENYE Hizi siasa Zake .....Kama Kauwa Chama ...atafute mganga wa kufufua HUKU ccm ...leave millitary alone ...HUo mpasuko wake alioleta ccm asiulete jeshini ...kwani atawapoanza makamanda NA kutuharibia nchi ....hawa Askari vijana ...NA Watu wa Makam ...wanna nidhamu LAKINI hatujui impact ya kuwachokoza ....
Kikwete umevunja ccm ...usituvunjie nchi tafadhali.....Urais usitutoe KWENYE utamaduni Wetu..
Kwani Mbowe ni nani mpaka ampe mkuu wa majeshi amri! Naomba Mbowe asilewe na wingi wa watu akajua watu wote yuko naye! Na ache mara moja!!
Huyu Mbowe aache kutudanganya.