Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

Status
Not open for further replies.
Jeshini huwezi bishia na kumtisha mkubwa wako hata kama kakuzidi alphabetical order. Hiyo ya kutisha haipo unless walitisha kwenye chaga wakati haipo. Jeshi ni taasisi nyingine na haiendeshwi kienyeji kama makambale.

Ukiamua kudanganya, jua kile ukidanganyacho, usikurupuke...
 
Safi kabisa mkuu, endelea kutujuza mara upatapo kijitaarifa, watu wanamhanya sana Edo, Ukawa Oyeeeeee..!! mtaipenda tu.
 
Habari wakuu...
1. Nimepewa mtonyo kutoka mtu wa jikoni kabisa kunako jwtz kwamba jeshi halijapeleka vijana tume. Lakini Vijana wa JKT IT specialist walichukuliwa na NIDA wakati wa uandikishaji vitambulisho vya Taifa.
2. Pia kuna mtonyo nimepenyezewa kuwa baadhi ya wakuu wa vikosi walianza propaganda za kusisitiza kwamba ma soldiers wachague chama tawala kwani ndicho kilichowapa ajira, Hata hivyo ma soldiers wamezingua mbaya na kutishia kuwarecord na kuwapiga picha kisha kuwatupia kunako mitandao hoja yao kuu ni kwamba hawataki siasa kura watampigia wanaemtaka. Hali hiyo imesababisha wakuu hao kutulia kama piriton kwani wameona upepo wa mwaka huu ni kama catrinna ngoma nzito haitabiriki.
3. Pia kuna mtonyo mwingine nimepenyezewa kutoka baadhi ya vikosi hasa vya jijini dar es salaam na morogoro kumekuwapo na discussion za hawa wagombea wawili ma soldiers wengi wazee wapo upande wa kidumu chama lakini vijana damu inayochemka wengi wanamfagilia sana mzee wa nywele nyeupe
4. Mtonyo mwingine nilioudaka kutoka kunako police force chanzo cha uhakika kinasema siasa za bwana Napegwa zilishaanza mda hadi baadhi ya kota za hawa usalama wa raia na mali zao walishawekewa mabango ya lazima kuchagua kidumu chama. Pia kuna taarifa kwamba vijana walioajiriwa polisi kutokea jkt wamekuwa mstari wa mbele kuhoji hizi amri zinatoka kwa nani na wamekuwa na msimamo wa kutoburuzwa kwani wengi wao waligoma kukusanya VICHINJIO wakitaka majibu kwanza kama Tume imebariki suala hilo.
5. Mtonyo wa mwisho unatoka kwa police waliowahi kulinda kwa bwana nywele nyeupe kipindi yupo madarakani kama waziri mshika gongo wanasema wanampenda sana kwani ni mtu ambaye alitoa hali ya kudharaulika kwao,,,mmoja wa kijana anasema kuna siku mzee alikuwa anapata chai kisha akauliza walinzi wengine na baadhi ya viongoz alokuwa anapata nao chai "Kwa nini mnawatenga wale vijana police hamuwapi chakula tunachopata sisi? Kwani wao na sisi wana tofauti gani?? Basi kuanzia siku hiyo vijana hao wakawa wanapata mlo mzuri na kaposho kidogo wakawa wanapiga kazi kwa moyo sana maana walikuwa wanajihisi wako sawa na watu wengine. Alivyoingia mtoto wa mkulima wanasema hali ikarudi kama zamani. Kiufupi wanasema mzee ni mtu poa sana. Ni hayo tuu kutoka viunga vya washika virungu na wavaa buti.
Nitaendelea kuwapa mtonyo kadri nitakopoendelea kupekenyua habari kutoka chanzo cha jikoni kabisa.
Kama ni watu wa kitengo mnaoandika haya,this is too low for you!!!
Juzi imetupwa thread ya Noah nyeusi yenye namba za ajabu nyumbani kwa Gharib Bilali na leo mnakuja na hili.
Haya mtawaokota wasiojua kusoma between the lines ila mimi simoooooooooooooooooo
 
Kwenye usalama wa nchi hakun kitu kinachoitwa mtonyo, wanajua pa kuwashika katika hili wanajua pakuwashika achene kelele, endeleeni kuandamana kwani kikatiba ni haki yenu ya msingi, ila kwa maslahi ya nchi uraisi mtausikia kwenye Jamii forums na magazeti pendwa.

Kwahiyo unamaanisha tutake tusitake lazima tulazimishwe kutawaliwa na majizi...hata kama hatutaki?..hivi wewe ni wawapi..au unatoa povu la woga wa mirija yenu kukatwa soon!..ukombozi wa pili na wakweli huo mkuu..mtaisoma namba..mashwaine nyiie!
 
We jamaa ni mitonyo tu...sema kitu chrnye uhakika usiwe muongo na mzushi...jeshini kulivyo hakuna private au mtu wa chini anayeweza kumtishia kiongozi wake cuz huku ni amri tu na sio porojo kama huko mitaani...sasa maelezo yako yanaProve kuwa umetunga hayo mambo na ni uongo mtupu...siamini hata kidogo

Sio kweli kwamba jeshini ni amri tu..mara kibao wanajeshi wanagoma na wakubwa wao inabidi walegeze msimamo sababu wanajua kabisa kitakachofuata
 
Habari wakuu...
1. Nimepewa mtonyo kutoka mtu wa jikoni kabisa kunako jwtz kwamba jeshi halijapeleka vijana tume. Lakini Vijana wa JKT IT specialist walichukuliwa na NIDA wakati wa uandikishaji vitambulisho vya Taifa.
2. Pia kuna mtonyo nimepenyezewa kuwa baadhi ya wakuu wa vikosi walianza propaganda za kusisitiza kwamba ma soldiers wachague chama tawala kwani ndicho kilichowapa ajira, Hata hivyo ma soldiers wamezingua mbaya na kutishia kuwarecord na kuwapiga picha kisha kuwatupia kunako mitandao hoja yao kuu ni kwamba hawataki siasa kura watampigia wanaemtaka. Hali hiyo imesababisha wakuu hao kutulia kama piriton kwani wameona upepo wa mwaka huu ni kama catrinna ngoma nzito haitabiriki.
3. Pia kuna mtonyo mwingine nimepenyezewa kutoka baadhi ya vikosi hasa vya jijini dar es salaam na morogoro kumekuwapo na discussion za hawa wagombea wawili ma soldiers wengi wazee wapo upande wa kidumu chama lakini vijana damu inayochemka wengi wanamfagilia sana mzee wa nywele nyeupe
4. Mtonyo mwingine nilioudaka kutoka kunako police force chanzo cha uhakika kinasema siasa za bwana Napegwa zilishaanza mda hadi baadhi ya kota za hawa usalama wa raia na mali zao walishawekewa mabango ya lazima kuchagua kidumu chama. Pia kuna taarifa kwamba vijana walioajiriwa polisi kutokea jkt wamekuwa mstari wa mbele kuhoji hizi amri zinatoka kwa nani na wamekuwa na msimamo wa kutoburuzwa kwani wengi wao waligoma kukusanya VICHINJIO wakitaka majibu kwanza kama Tume imebariki suala hilo.
5. Mtonyo wa mwisho unatoka kwa police waliowahi kulinda kwa bwana nywele nyeupe kipindi yupo madarakani kama waziri mshika gongo wanasema wanampenda sana kwani ni mtu ambaye alitoa hali ya kudharaulika kwao,,,mmoja wa kijana anasema kuna siku mzee alikuwa anapata chai kisha akauliza walinzi wengine na baadhi ya viongoz alokuwa anapata nao chai "Kwa nini mnawatenga wale vijana police hamuwapi chakula tunachopata sisi? Kwani wao na sisi wana tofauti gani?? Basi kuanzia siku hiyo vijana hao wakawa wanapata mlo mzuri na kaposho kidogo wakawa wanapiga kazi kwa moyo sana maana walikuwa wanajihisi wako sawa na watu wengine. Alivyoingia mtoto wa mkulima wanasema hali ikarudi kama zamani. Kiufupi wanasema mzee ni mtu poa sana. Ni hayo tuu kutoka viunga vya washika virungu na wavaa buti.
Nitaendelea kuwapa mtonyo kadri nitakopoendelea kupekenyua habari kutoka chanzo cha jikoni kabisa.

Nyie huo uongo utawakosti
 
Jeshini huwezi bishia na kumtisha mkubwa wako hata kama kakuzidi alphabetical order. Hiyo ya kutisha haipo unless walitisha kwenye chaga wakati haipo. Jeshi ni taasisi nyingine na haiendeshwi kienyeji kama makambale.

Ukiamua kudanganya, jua kile ukidanganyacho, usikurupuke...
Bado hajajitambua huyo mkuu na haijui vizuri hiyo taasisi.
 
Ukawa walicheza karata moja nzuri sana ambayo ccm hawana ccm wakicheza vyovyote vile lazima waliwe.

Ule ni mtihani mmoja mbaya sana kwa ccm hata iweje hawawezi kutoboa piga ua galagaza.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom