Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

Status
Not open for further replies.
Kama kweli Mbowe amefanya hivi akidhani yuko sawa mbele ya watu basi amekosea sana,asubiri kufuatwa na kuombwa kutoa ushahidi wa anachokisema

Mbowe ni mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo Chadema,sio Chama cha wananchi yaani watu woooote TZ,haya mamlaka anayatoa wapi?
Ushauri;
Kama Ana allegations natumaini anajua wapi pa kupeleka...yeye kapeleka Majukwaani!je huo sio uchochezi?Mkuu wa majeshi atajisikiaje?
Kweli jamani???kwanini Asiende kwenye Vyombo husika?
Anaposema vile tafsiri yake ni Kuwa Sisi wananchi tulione Jeshi letu Kuwa ni chafu,halifai,linatumiwa.si udhalilishaji huo?
Hata Kama ni kweli upo utaratibu wa kupeleka hoja mahali,ndio maana mwanajeshi akifanya kosa kuna polisi za kijeshi "MP".
Taasisi Kama ya Jeshi yaani JWTZ unaenda kuisema Majukwaani.....ili tuwaone walivyo uchi??
Kama angetaka kulionya Jeshi huo ndo utaratibu??
Haya bwana!!!Ila hata Mwl Nyerere aliliheshimu sana Jeshi na alilirekebisha kwa Staha na njia muafaka pale lilipokosea!
 
kwani wewe nani? nyambafu wewe....
Mimi ni mpenda amani na mtetezi wa wanyonge maana kauli hizi ni hatari kwa mstakabali wa amani yetu! Na kikiharibika watoto, vilema,wazee,akina mama wajawazito,akinamama wanyonyeshao na wengi wengi wasiokuwa na uwezo kama wa Mbowe alivyo hawataweza kuhimili vurugu kama ana ushahidi wa kuonesha watatumiwa vibaya apeleke mahakamani ila kauli za kutuchonganisha na vyombo vyetu vya usalama haitakiwi maana chama chochote mwisho wa uchaguzi kitshitaji ushirikiano na vyombo vya usalama ili kulinda amani ya nchi kama anaanza kukosa imani na jeshi na kutoa kauli za kumwamuru mkuu wa majeshi basi ni kuwa hajui anatakiwa kumuomba mkuu wa majeshi msamaha maana kisheria yeye haruhusiwi kumwamuru mkuu wa majeshi. Yeye ni mwenyekiti wa CHADEMA huko ndo ana mamlaka ya kuamuru kwa mujibu wa katiba yao!!! Sio kila Mtanzania anaamriwa na mwenyekiti wa chama cha siasa maana kuna wanachama wake, kuna wasio na chama,kuna wachama wa vyama vingine! Kwa hiyo arejee katiba ya chama chake na aangalie yeye kama mwenyeki wa chama anatakiwa kutoa amri kwa watu gani katika chama chake!! Pia asome katiba ya nchi inamzuia kufanya nin yeye kama raia wa Tanzania!
 
Kalewa Mbege ni kuona wingi wa watu kwenye mikutano ndo kila kitu...akae akijua anafanya siasa zake katika amani iliyojengeka kupitia ulinzi thabiti wa mipaka yetu kupitia JWTZ
 
UTAJIRI HALALI WA MH MBOWE unakadiriwa kufikia TRILLION 1.2 hii ni kwa mujibu wa vyanzo vya ukweli vya nje ya nchi hii , hivi mtu kama huyu unaweza kumlipa bei gani ? msituletee hapa umasikini wenu , nimekudharau sana !

Naomba nikuhakikishie, Mbowe ninamfahamu vizuri, kuanzia machame hadi hizi sarakasi hizi huku mjini. Kwenye hili la vipande 'thelathini' sibahatishi. Hutaki unaacha!
 
kama mowe kamtafuta chalii mmoja wa machame na kumwambia akibahatisha kushinda atampa ukuu wa majeshi anajidangana sana.
wanajeshi ni haohao anaowatukana sasa.
hata akishinda watampiga chini tu

acha uchochezi mkuu. kawatukana kivip?
 
Mbowe kapewa taarifa za ndani na wanajeshi wapenda mabadiliko ambao kwa sasa wanaipenda ukawa Kama ni nyumbu ni nyie mliokariri maisha yale yale miaka nenda rudi hakuna maendeleo mnadhani Jeshi wapo juu ya sheria wanaweza kuingia kwenye fojali za kuhujumu matokeo ya kura Watu wakae kiimya! Nguvu ya Umma ikiamua hata Jeshi watachemsha kumbuka Hilo ni jeshi la wananchi si Jeshi la CCM, wanataka kuwa Kama polisccm sasa.

maendeleo kama yapi sasa ambayo hapa hayapo?,au unadhani kina mbowe ndo watamaliza shida zako zote?......
kutoka vyuo vikuu 2 mpaka sasa havina hesabu.
watu wanatembelea babywalker hadi machinga......
unataka maendeleo yapi tofauti na haya.....kuna nchi imefikia ukomo wa maendeleo hapa duniani kweli?au ndo kudanganyana kama watoto
 
Mbowe kweli jeuli kama anaweza kulionya jeshi likanywea basi huyu ndoo anafaa kuwa amiri jeshi Mkuu.tusubili tuone kitakacho tokea. Kumbe jeshi lina kiboko yake? Ukishanga ya musa utayaona ya f.........
 
Itapendeza kama uta-act kama ID yako....HAKI SAWA........

kwani wewe nani? nyambafu wewe....
Mimi ni mpenda amani na mtetezi wa wanyonge maana kauli hizi ni hatari kwa mstakabali wa amani yetu! Na kikiharibika watoto, vilema,wazee,akina mama wajawazito,akinamama wanyonyeshao na wengi wengi wasiokuwa na uwezo kama wa Mbowe alivyo hawataweza kuhimili vurugu kama ana ushahidi wa kuonesha watatumiwa vibaya apeleke mahakamani ila kauli za kutuchonganisha na vyombo vyetu vya usalama haitakiwi maana chama chochote mwisho wa uchaguzi kitshitaji ushirikiano na vyombo vya usalama ili kulinda amani ya nchi kama anaanza kukosa imani na jeshi na kutoa kauli za kumwamuru mkuu wa majeshi basi ni kuwa hajui anatakiwa kumuomba mkuu wa majeshi msamaha maana kisheria yeye haruhusiwi kumwamuru mkuu wa majeshi. Yeye ni mwenyekiti wa CHADEMA huko ndo ana mamlaka ya kuamuru kwa mujibu wa katiba yao!!! Sio kila Mtanzania anaamriwa na mwenyekiti wa chama cha siasa maana kuna wanachama wake, kuna wasio na chama,kuna wachama wa vyama vingine! Kwa hiyo arejee katiba ya chama chake na aangalie yeye kama mwenyeki wa chama chake anatakiwa kutoa amri kwa watu gani katika chama chake!! Pia asome katiba ya nchi inamzuia kufanya nin yeye kama raia wa Tanzania!
 
Ni uzushi mtupu,
Hii ni kwasababu cdm hawana sera za kuuza kwa wananchi zaidi ya kubunibuni mambo wanayotegemea wananchi wawaonee huruma na waichukie serikali.

Mbowe weka sera zenu hapa zikiuze chama,,,, siyo kila kukicha malalamiko ya kizushi.

haa haa ccm wana sera gani? kama sio kudanganya wananchi tu kwa kanga?
 
Hawana mamlaka hayo wao kazi yao ni kulinda Nchi na mipaka, Tambua kuwa Nusu ya jwtz wanatii ukawa wanawapa taarifa zote hata wakipanga kuwadhuru ukawa watapata taarifa tu.

Chunga maneno yako, usidhani huonekani.
 
UTAJIRI HALALI WA MH MBOWE unakadiriwa kufikia TRILLION 1.2 hii ni kwa mujibu wa vyanzo vya ukweli vya nje ya nchi hii , hivi mtu kama huyu unaweza kumlipa bei gani ? msituletee hapa umasikini wenu , nimekudharau sana !

katoa wapi hiyo hela juzi tu alikuwa anakodisha mafuso, zaidi ya clab ya usiku anabiashara gani nyingine?
 
Kwani Mbowe ni nani mpaka ampe mkuu wa majeshi amri! Naomba Mbowe asilewe na wingi wa watu akajua watu wote yuko naye! Na ache mara moja!!

Dogo acha ujinga ili uishi. walio na Mbowe/Chadema/Ukawa ni wengi kuliko walio upande wenu,kwani weee ni nani mpaka umwamrishe mbowe.
 
kwani wewe nani? nyambafu wewe....
Acha matusi hayajengi nchi bali yanasababisha machufuko!
kwani wewe nani? nyambafu wewe....
Mimi ni mpenda amani na mtetezi wa wanyonge maana kauli hizi ni hatari kwa mstakabali wa amani yetu! Na kikiharibika watoto, vilema,wazee,akina mama wajawazito,akinamama wanyonyeshao na wengi wengi wasiokuwa na uwezo kama wa Mbowe alivyo hawataweza kuhimili vurugu kama ana ushahidi wa kuonesha watatumiwa vibaya apeleke mahakamani ila kauli za kutuchonganisha na vyombo vyetu vya usalama haitakiwi maana chama chochote mwisho wa uchaguzi kitahitaji ushirikiano na vyombo vya usalama ili kulinda amani ya nchi kama anaanza kukosa imani na jeshi na kutoa kauli za kumwamuru mkuu wa majeshi basi ni kuwa hajui alitendalo kwasasa anatakiwa kumuomba mkuu wa majeshi msamaha maana kisheria yeye haruhusiwi kumwamuru mkuu wa majeshi. Yeye ni mwenyekiti wa CHADEMA huko ndo mamlaka ya kuamuru kwa mujibu wa katiba yao!!! Sio kila Mtanzania anaamriwa na mwenyekiti wa chama cha siasa maana kuna wanachama wake, kuna wasio na chama,kuna wachama wa vyama vingine! Kwa hiyo arejee katiba ya chama chake na aangalie yeye kama mwenyeki wa chama anatakiwa kutoa amri kwa watu gani katika chama chake!! Pia asome katiba ya nchi inamzuia kufanya nin yeye kama raia wa Tanzania!
 
huyu mbowe sasa anataka kuchokoza pabaya.... awatanie wooote sio jeshi la nchi..
mkuu wa majeshi ana mamlaka ya kufanya hivyo anapofuatilia jambo lolote lile ili kujua nini kinaendelea ...sasa mbowe asilewe sifa akadhani kila kituni siasa tu.

kwa hiyo mkuu wa jeshi ana haki ya kuingilia mambo ya tume?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom