Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

Status
Not open for further replies.
kwa mda mrefu chagadema wakiponyesha dharau sana kwa majeshi yetu.
ifike mahali majeshi yawatafakari hawa vibaka.
inatakiwa hata wakishinda wapigwe chini,hatuwezi achia nchi mikononi mwa majambazi bana........

Chezea pengine si KURA iwe Jeshi au chombo kingine cha dola.
 
mbowe ana upungufu wa akili yule! amelewa sifa hadi hajielewi, hasa akiwa na lowasa tajiri wake
 
Hata Gaddafi alikuwa na Jeshi tena la kisasa lakini leo yuko wapi?

Msitishe watu!
 
Hizi NI details ...,Ila hali Ilivyo Askari WENGI wa chini wa Majeshi yote NA a hata wa vyeo vya Kati ...wanaunga mkono mageuzi ( ushahidi wa awali NI matokeo ya Urais maeneo yenye makambi Mwaka 2010 NA serikali za mitaa 2014)

Kikwete baada ya kuona ameshaharibu Chama NA hakiwezi kuleta ushindi ....ameanza kupiga ndogondogo za jeshi kumsaidia Kama watashindwa ...Ili magufuli apishwe ...hili Suala limeshaleak KWENYE mashirika yote makubwa ya kijasusi ....NA juzi tayari mahakama ya ICC imetuma wapelelezi wake NA mawakala wao nchini kuanza kuchukua ushahidi....wameaza NA KAUli tata hasa za rais.

Kwa Sasa SIO Siri KUWA ccm hawana Tena Matandao wa ushindi ...kwa Mara ya kwanza toka uhuru .....

Mimi sitaki kuhitimisha maoni yangu ...LAKINI KAUli za jk kutumia jeshi SIO Mara ya kwanza ...KWENYE bunge la Katiba ..alitoa hiyo KAUli NA pia ashawahi kuirudia vikao vya NDANI

Jeshi letu linasifika kwa nidhamu .....naomba Sana rais asiwaingize KWENYE Hizi siasa Zake .....Kama Kauwa Chama ...atafute mganga wa kufufua HUKU ccm ...leave millitary alone ...HUo mpasuko wake alioleta ccm asiulete jeshini ...kwani atawapoanza makamanda NA kutuharibia nchi ....hawa Askari vijana ...NA Watu wa Makam ...wanna nidhamu LAKINI hatujui impact ya kuwachokoza ....

Kikwete umevunja ccm ...usituvunjie nchi tafadhali.....Urais usitutoe KWENYE utamaduni Wetu..
Umeongea point mkuu .

Mi nawakubali sana makamanda wa jeshi .

Ila mambo ya kuwaingiza makamanda wetu kwenye siasa hili halijanivutia .

Naomba makamanda wetu nyie ndio ndugu zetu halisi watetezi wetu wazalendo wenzetu .Msikubali kuendeshwa na wanasiasa hasa kipindi hichi.

Wazalendoooooooooo!!!!! Wiiiiiii...waaaaaa...vijaaanaa vijaaana vijana vijana tayari kulijenga taifa taifa taifa kulijenga taifa taifa la Tanzania.......Tanzania ntakuita mpaka kufa.
 
Tukiyasikia kwa wezetu sis tuchukuwe tahadhali kabla wapo watu hufuata mkubo Vila kujuwa wankwenda wapi we hukusoma hata f4 hukufika alafu unadanganywa utapata ajira.ebu nijuzeni niserikali gani wanaajiriwa wasio na elimu jiulize we we kijana

haa haa ccm imetosha. iwapishe na wengine.
 
Wanataka kutafuta fisingizio wanaligusa JWTZ ? Watu wanakesha wakilinda mipaka ya nchini usiku na Mchana leo wanambiwa Hivi? Kuna kitu kinatafutwa

we naona akili yako ni kama ya kuku...kwa hiyo wakilinda mipaka ndo warubuniwe kwenda NEC. ? jibu hoja siyo kuruka ruka tu hoja
 
Mwenyekiti wa chadema leo hapa mwanza amemuonya vikali mkuu wa majeshi CDF DAVIS MWAMUNYANGE juu ya hatua yake ya kutoa askari jeshi kadhaa na kuwapeleka TUME YA UCHAGUZI.

Amesema tayari wanao ushahidi wa kutosha na wakiutaka watauwasilisha.

Vile vile wamemuonya mwenyekiti TUME ya uchaguzi juu ya hatua yake ya kukubali kuwapokea hao wanajeshi ambao ni wataalamu wa IT, imeelezwa kuwa wataalamu hao wameambiwa wavae kiraia na wasijitambulishe kama wanajeshi.

Source: Mimi mwenyewe leo hapa Furahisha Mwanza.

mpeni habari mbowe

1, mkuu wa majeshi sio mtu wakutishia vijiweni kama unazani wewe ni waziri mkuu kama mlivyopangiana subili muda wake ila kwa sasa bado usijitegenezee shida,

2, mbowe makamanda wa jeshi sio sawa na makamanda wa polisi,
3, kama umeshidwa kufanya kampain basi rudi kweni ukafanya bihashara acha taifa letu lina amani
4, nakukumbusha hauwezi kuongoza dora wakati unamigogoro na dora pengine wazee wenu wakusaidie kujua nini cha kuongea

mwisho

endapo na yeye akikujibu utaweza kupokea hayo majibu?
 
Kwani kuna kosa gani wanajeshi wataalamu wa IT kwenda NEC?...me nadhani muheshimiwa Mbowe angejikita zaidi kwenye kutangaza sera za chama, huu si wakati wa malumbano na vyombo vya dola, wananchi tunawaamini, na tuko nyuma yao.
 
nakushauri bule mbowe na wenzako , miaka mingi mumekuwa mnacheza na polisi lakini mnapoanza kucheza na jeshi basi taifa mnaliangamiza asubuhi na mapena ,

leo nimekusikia ukilewa sifa za bule ukizani wewe ni waziri mkuu kama mlivyoaidiana na kutoa amri zidi ya mkuu wa majeshi,mtu mwenye heshima kubwa katika taifa hili,

jua yafyatayo

1,makamanda wa jeshi sio watu wakutishia vijiweni kama mlivyokuwa mnawatisha makamanda wa polisi,wananagaika,
2, jua rais yeyote ili aweze kuongoza nchi lazima hasiwe na migongano na jeshi,ili aweze kuwa amir jeshi mkuu,
3,kauri zako ni janga la taifa
4,usijidanganye na kelele za washabiki wako ukazani unaweza kutoa amri juu ya mkuu wa majeshi,

nakukumbusha migogoro yenu na polisi kisa kauri zenu za kipuuzi na usizani na makamanda wa jeshi wako hivyo,

mwisho
jitaidi sana tena sana ukishidwa kueleza ilani yako basi kaa kimia lakini taifa letu liache libaki salama,
wewe ni nani unampa amri za kipuuzi mkuu wa majeshi au unazani wewe ni rais , kuwa makini huyu mtu sio wa kutishwa hivyo,

kajifunze kwanza kiswahili. kisha urudi kuandika.Maelezo yako ya kilevilevi
 
Lumumba imekosa watu wa propaganda.

Mmebaki na matisho huku kuandika kwenyewe hamjui.

UKAWA inawanyima usingizi.

Ngoja tuwaazime tena MUSSA ALAN kwa mkopo maana team lumumba mmezidiwa.

Mussa Allan wapi siku hizi? nasikia mafuriko yalimpitia
 
Upuuzi sana huu! kunazambi gani kwa jeshi wenye taaluma ya IT kufanya kazi hiyo kama wanauwezo?
mbona hatuwkatai madakitari wakijeshi wanapotoa huduma kwa wagonjwa wa kiraia!?

haa haa kwa nini waende kwa kificho? kuna nini kinafichwa?
 
Kwa hiyo kama wanachakachua Mfumo wa kupiga kura waachwe kisa wao ni Jeshi? Haya ni mambo ya zamani huko ndo jeshi lilikuwa linaogopwa, Mubaraka alikuwa na jeshi imara sana yuko wapi?
 
hana ushahidi na hata kama anao jeshi wakati hamna vita linasaidia mambo ya kiraia, sasa alitaka tume ichukue wataalam wa IT kutoka cdm?? jeshini ndo mahali reliable na wachapa kazi na wana nidham ya jeshii. Mbowe tunamtaka aache kulifikiria vibaya jeshi la wananchi. Mbowe anavopotosha kuhusu jeshi la wananchi anataka wananchi tumfanyr yy Mbowe??

Mwenyekiti wa chadema leo hapa mwanza amemuonya vikali mkuu wa majeshi CDF DAVIS MWAMUNYANGE juu ya hatua yake ya kutoa askari jeshi kadhaa na kuwapeleka TUME YA UCHAGUZI.

Amesema tayari wanao ushahidi wa kutosha na wakiutaka watauwasilisha.

Vile vile wamemuonya mwenyekiti TUME ya uchaguzi juu ya hatua yake ya kukubali kuwapokea hao wanajeshi ambao ni wataalamu wa IT, imeelezwa kuwa wataalamu hao wameambiwa wavae kiraia na wasijitambulishe kama wanajeshi.

Source: Mimi mwenyewe leo hapa Furahisha Mwanza.
 
nakushauri bule mbowe na wenzako , miaka mingi mumekuwa mnacheza na polisi lakini mnapoanza kucheza na jeshi basi taifa mnaliangamiza asubuhi na mapena ,

leo nimekusikia ukilewa sifa za bule ukizani wewe ni waziri mkuu kama mlivyoaidiana na kutoa amri zidi ya mkuu wa majeshi,mtu mwenye heshima kubwa katika taifa hili,

jua yafyatayo

1,makamanda wa jeshi sio watu wakutishia vijiweni kama mlivyokuwa mnawatisha makamanda wa polisi,wananagaika,
2, jua rais yeyote ili aweze kuongoza nchi lazima hasiwe na migongano na jeshi,ili aweze kuwa amir jeshi mkuu,
3,kauri zako ni janga la taifa
4,usijidanganye na kelele za washabiki wako ukazani unaweza kutoa amri juu ya mkuu wa majeshi,

nakukumbusha migogoro yenu na polisi kisa kauri zenu za kipuuzi na usizani na makamanda wa jeshi wako hivyo,

mwisho
jitaidi sana tena sana ukishidwa kueleza ilani yako basi kaa kimia lakini taifa letu liache libaki salama,
wewe ni nani unampa amri za kipuuzi mkuu wa majeshi au unazani wewe ni rais , kuwa makini huyu mtu sio wa kutishwa hivyo,

Umeandika in Division 5 Style
 
Wanajeshi ni vijana wetu na kaka zetu wtz.wakienda kinyume wastahili kuonywa.hii ni Tanzania sio kwingineko.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom