Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

Status
Not open for further replies.
Na ushahidi wa ufisadi wa Lowasa Kauacha wapi?

Hivi kama ni fisadi mbona hamumshuhulikii? je ni lowassa ndio alikuwa nyuma ya ESCROW?
Mafisadi wakubwa ni nyie CCM. WATANZANIA HATUDANGANYIKI TENA. tutawapigia kura LOWASSA NA WANA UKAWA.
 
Mbowe ni mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo Chadema,sio Chama cha wananchi yaani watu woooote TZ,haya mamlaka anayatoa wapi?
Ushauri;
Kama Ana allegations natumaini anajua wapi pa kupeleka...yeye kapeleka Majukwaani!je huo sio uchochezi?Mkuu wa majeshi atajisikiaje?
Kweli jamani???kwanini Asiende kwenye Vyombo husika?
Anaposema vile tafsiri yake ni Kuwa Sisi wananchi tulione Jeshi letu Kuwa ni chafu,halifai,linatumiwa.si udhalilishaji huo?
Hata Kama ni kweli upo utaratibu wa kupeleka hoja mahali,ndio maana mwanajeshi akifanya kosa kuna polisi za kijeshi "MP".
Taasisi Kama ya Jeshi yaani JWTZ unaenda kuisema Majukwaani.....ili tuwaone walivyo uchi??
Kama angetaka kulionya Jeshi huo ndo utaratibu??
Haya bwana!!!Ila hata Mwl Nyerere aliliheshimu sana Jeshi na alilirekebisha kwa Staha na njia muafaka pale lilipokosea!

Acha ungese wewe,kwani Jeshi ni wakina nani,ni maroboti?jeshi linapoamua kuingilia mswala ya kisiasa tena kwa kificho unataka watu wakae kimya na huyo Mwamunyange yeye ni nani mpaka aogopwe kiasi cha kutokuambiwa ukweli wa yale afanyayo gizani? Hii nchi ni yetu sote sio ya CCM wala ya Mwamunyange.
 
Mimi ni mpenda amani na mtetezi wa wanyonge maana kauli hizi ni hatari kwa mstakabali wa amani yetu! Na kikiharibika watoto, vilema,wazee,akina mama wajawazito,akinamama wanyonyeshao na wengi wengi wasiokuwa na uwezo kama wa Mbowe alivyo hawataweza kuhimili vurugu kama ana ushahidi wa kuonesha watatumiwa vibaya apeleke mahakamani ila kauli za kutuchonganisha na vyombo vyetu vya usalama haitakiwi maana chama chochote mwisho wa uchaguzi kitshitaji ushirikiano na vyombo vya usalama ili kulinda amani ya nchi kama anaanza kukosa imani na jeshi na kutoa kauli za kumwamuru mkuu wa majeshi basi ni kuwa hajui anatakiwa kumuomba mkuu wa majeshi msamaha maana kisheria yeye haruhusiwi kumwamuru mkuu wa majeshi. Yeye ni mwenyekiti wa CHADEMA huko ndo ana mamlaka ya kuamuru kwa mujibu wa katiba yao!!! Sio kila Mtanzania anaamriwa na mwenyekiti wa chama cha siasa maana kuna wanachama wake, kuna wasio na chama,kuna wachama wa vyama vingine! Kwa hiyo arejee katiba ya chama chake na aangalie yeye kama mwenyeki wa chama anatakiwa kutoa amri kwa watu gani katika chama chake!! Pia asome katiba ya nchi inamzuia kufanya nin yeye kama raia wa Tanzania!

Utakuwa umesoma shule ya kata na ulivyo na mkosi ulikuwa chimbo wewe.
 
Ni uongo kwasababu hajatoa ushahidi, angetoa ushahidi tungemwamini na kumuelewa.

Mwambie tushachoka na siasa za uchochezi na fitna.




Ahaaa!! Kumbe ukiwa hujatoa ushahidi ndiyo inakuwa uwongo, basi tusubiri siku atatoa
 
JWTZ-Jeshi la "WANANCHI" wa Tanzania.....sina cha ziada hapo.
 
Wawaulize wanajeshi wa Gaddafi kama walifua dafu kwa nguvu ya Umma!
si rahisi sana hawa jamaa kujua ,as long bado wanaweza pita ktk mtaa na kuchapa watu na kuwanywesha maji machafu na hakuna wanachofanywa..wanao muda wa kujidanganya.
 
Mbowe punguza uzushi sie hatukuamini tena wewe umekuwa unapenda hela sana chama umekiua wewe na matamaa yako ya kijinga kama wapo na ccm inawapiga mapema tu na huyo lowasa wako

Hela zote alizochokuwa kamuhonga mama yako,kwanini usifurahi msukule.
 
Je ameonya? Kweli ushabiki ni upofu!!! Hapa shida ni kutoa amri!!! Yeye anamamlaka gani kumwamuru mkuu wa majeshi? Je kweli anajua mipaka ya kutoa amri? Mkuu wa majeshi si kijana kama unavyosema wew!! Cheo alichonacho ni cha juu mno na sio cha kuchaguliwa kama cha Mbowe maana mwaweza kuchagua kijana wa miaka ishirin kuwa mwenyekiti wenu lakini hutakaa upate mkuu wa majeshi aliyefuzu vilivyo na amepitia ngazi kuu zote kihali awe chini ya miaka ishirini bali unaweza kupata mwenyekiti wa Chama Taifa akiwa na miaka kumi na tisa tu.

Kama Jk amekuwa mwenyekiti na umri mkubwa lakini chama kinamfia.
 
Hakuna aliye juu ya sheria wapinzani huwa wanamkosoa mpaka Amiri Jeshi mkuu boss wa mkuu wa majeshi sembuse yeye? Tambua kuwa 70% ya wanajeshi wanataka mabadiliko ni wafuasi wa ukawa ndiyo maana wanatoa Siri zote za ndani ya jwtz wanaamini ukawa wakiingia ikulu Jeshi litakuwa bora zaidi ya sasa, hakuna katiba inazuia kukosoana Kama Jeshi wanaanza kuingia kwenye uchakachuaji lazima wapinzani waseme Ukweli japo Ukweli unauma kidogo.

tatzo ubongo wako umejaa mahaba na ukawa ndio maana umeshindwa kumwelewa huyo mdau.

Hajakataa kukosolewa ila amesema kama ana ushahidi apeleke mahakaman lakn sio kuropoka hovyo kwenye vyombo vya habar
 
mtu mwenyewe alikua mpiga miziki kwenye kumbi za babake baada ya kuzungusha form four,eti nae anaota atakuwa waziri mkuu,ha ha ha ha.
bora akarudi katika fani yake ya mziki.
nasikia kina dj bushdocor ndo walimfundisha kazi ya udj na akaimudu vzuri tu na ni mzuri sana katika kuruka majoka

Mbona jk alikuwa nanihii kule jeshini Leo Hii eti kawa rais.
 
Je ameonya? Kweli ushabiki ni upofu!!! Hapa shida ni kutoa amri!!! Yeye anamamlaka gani kumwamuru mkuu wa majeshi? Je kweli anajua mipaka ya kutoa amri? Mkuu wa majeshi si kijana kama unavyosema wew!! Cheo alichonacho ni cha juu mno na sio cha kuchaguliwa kama cha Mbowe maana mwaweza kuchagua kijana wa miaka ishirin kuwa mwenyekiti wenu lakini hutakaa upate mkuu wa majeshi aliyefuzu vilivyo na amepitia ngazi kuu zote kihali awe chini ya miaka ishirini bali unaweza kupata mwenyekiti wa Chama Taifa akiwa na miaka kumi na tisa tu.

umeongea kwa busara na kwa uelewa mkubwa sana.
Hongera sana mkuu japo hawawezi kukuelewa. Mahaba ya kukaririshwa yamewaathiri sana
 
nakushauri bule mbowe na wenzako , miaka mingi mumekuwa mnacheza na polisi lakini mnapoanza kucheza na jeshi basi taifa mnaliangamiza asubuhi na mapena ,

leo nimekusikia ukilewa sifa za bule ukizani wewe ni waziri mkuu kama mlivyoaidiana na kutoa amri zidi ya mkuu wa majeshi,mtu mwenye heshima kubwa katika taifa hili,

jua yafyatayo

1,makamanda wa jeshi sio watu wakutishia vijiweni kama mlivyokuwa mnawatisha makamanda wa polisi,wananagaika,
2, jua rais yeyote ili aweze kuongoza nchi lazima hasiwe na migongano na jeshi,ili aweze kuwa amir jeshi mkuu,
3,kauri zako ni janga la taifa
4,usijidanganye na kelele za washabiki wako ukazani unaweza kutoa amri juu ya mkuu wa majeshi,

nakukumbusha migogoro yenu na polisi kisa kauri zenu za kipuuzi na usizani na makamanda wa jeshi wako hivyo,

mwisho
jitaidi sana tena sana ukishidwa kueleza ilani yako basi kaa kimia lakini taifa letu liache libaki salama,
wewe ni nani unampa amri za kipuuzi mkuu wa majeshi au unazani wewe ni rais , kuwa makini huyu mtu sio wa kutishwa hivyo,



Mitanzania bado Ñî mioga. Jeshi Ñî la wananchi na si la mamunyange, ccm, magufuli, nape, au jk.

Mishahara ya jeshi inatokana na kodi ya wananchi. Hivyo jeshi Lina wajibu wa kutumikia wananchi.

Kazi za jeshi Ñî ulinzi na usalama kwa maslahibya nchi, Sio kusimamia uchaguzi wa nafasi za kisiasa kwa maslahi ya chama tawala. Hii Ñî kazi ya TUME ya uchaguzi (NEC) .

MBOWE au yeyote anahaki ya kuuliza au kohoji mienendo ya jeshi la wananchi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom