Nonsense!!!!.....,we endelea kujipa moyo tu ila tambua kuwa MBOWE sio type ya WANAHARAKATI tunaowahitaji,anatuona watanzania wote ni TUMELEWA kama yeye!
Mmeambiwa Kama mna ushahidi kafungueni kesi mahakamani siyo kupiga domo majukwaani kutafuta umaarufu kunuka.
Naona TEAMLUMUMBA mnaanza matisho.
kwa hiyo mnataka kukinukisha?
ushujaa wa Mbowe umetukuka !Kwani Mbowe ni nani mpaka ampe mkuu wa majeshi amri! Naomba Mbowe asilewe na wingi wa watu akajua watu wote yuko naye! Na ache mara moja!!
Wawaulize wanajeshi wa Gaddafi kama walifua dafu kwa nguvu ya Umma!
Kauli aliyetoa ka kiongozi wa nchi amiri jeshi lazima itie shaka kwa kila raia mpenda haki. Mwezi wa kumi haki itendeke basi
hapa tanzania vita haiwezi kusababishwa na kina mbowe kamwe. bali inaweza kusababishwa na ccm kwa kutaka kutumia vyombo vya dola ili kuendelea kubaki madarakani..
sasa hivi hawa jamaa wa chadema hawaaminiki tena.
hawachelewi kula matapishi yap kama walivyokula ya eddo.
hao wanajeshi wanaozushiwa tuhuma hizi za kimbea wakimrusha kichura dakika 4 jamaa atasema hana ushahidi. sitaki tena kuwaamini hawa matapeli na makuwadi wa demokrasia
Toka lini chama tawala kika mu appreciate MTU anaye wanyima usingizi. Wanaye muhofia kuwaharibia mirija yao ya ujangili.
Mwenyekiti wa chadema leo hapa mwanza amemuonya vikali mkuu wa majeshi CDF DAVIS MWAMUNYANGE juu ya hatua yake ya kutoa askari jeshi kadhaa na kuwapeleka TUME YA UCHAGUZI.
Amesema tayari wanao ushahidi wa kutosha na wakiutaka watauwasilisha.
Vile vile wamemuonya mwenyekiti TUME ya uchaguzi juu ya hatua yake ya kukubali kuwapokea hao wanajeshi ambao ni wataalamu wa IT, imeelezwa kuwa wataalamu hao wameambiwa wavae kiraia na wasijitambulishe kama wanajeshi.
Source: Mimi mwenyewe leo hapa Furahisha Mwanza.
Mm nadhani haina haja ya kujibizana, tumeambiwa upande 1 unasema unauthibitisho,the upande 2 ukanushe,hoja kwa hoja tu
hapa tanzania vita haiwezi kusababishwa na kina mbowe kamwe. bali inaweza kusababishwa na ccm kwa kutaka kutumia vyombo vya dola ili kuendelea kubaki madarakani..
Hatujakuelewa mjomba sijui ulikuwa unataka kuandika nini? rudia tena tukuelewe.
Nyie leweni tu hivyo viroba vyenu mjitoe ufahamu. Hivi unadhani walichofanya Libya kilikuwa sahihi? Wamesettle sasa au ndo balaa kuliko ilivyokuwa? Misri je? Wame settle? Mnayatafutia miguu eeh? Mbowe hajitambui maana kama mahusiano na jeshi hayapo nani atampa nchi hii? Na nyie mnasupport kama nyumbu hata kwenye uchochezi. Mbowe anachochea na kuwa brain wash wafuasi wake waamini kuna kushinda tuu kwa kuwa na watu wengi mkutanoni. Hivi, fanya hao watu mkutanoni ni alfu hamsini au hata laki moja. Mwanza kuna wapiga jura wangapi? Acheni kufikiria kitoto
Yeye si ana ushahidi anasubiri nini kwenda mahakamani.mpaka leo tunasubiri apeleke ushahidi wa ufisadi wa lowassa amegeuka anasema lowassa siyo Fisadi tena.anawafanya watanzania mandondocha.aende zake akafie mbele huko