MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,478
jk aliita hiyo ni :kiwanda cha kueneza majungu
Kwelikweli
jk aliita hiyo ni :kiwanda cha kueneza majungu
Tupatie mitonyo zaidi
We jamaa ni mitonyo tu...sema kitu chrnye uhakika usiwe muongo na mzushi...jeshini kulivyo hakuna private au mtu wa chini anayeweza kumtishia kiongozi wake cuz huku ni amri tu na sio porojo kama huko mitaani...sasa maelezo yako yanaProve kuwa umetunga hayo mambo na ni uongo mtupu...siamini hata kidogo
Mwenye ushahidi apeleke mahakamani
"Mwnyekiti wa chama cha CHADEMA Freeman Mbowe amesema kuna vijana watatu wametoka jeshini wataalamu wa mambo ya Kompyuta wamenda Tume ya Taifa Uchaguzi kushughulika na BVR na wakiwa pale hawajitambulishi kama wanajeshi".
Mbowe amesema ushahidi upo na kama Mwamunyange akibisha atamuekekeza kambi wanaotoka, wameanza kazi tarehe ngapi na majina yao na wapo NEC kwa kazi ipi.
Amesema jaji Lubuva naye ajitokeze asema vijana hao wako ofisini kwake kwa malengo yapi..
Mbowe aliyasema hayo alipokuwa kwenye mkutano wa kutambulisha mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA Edward Lowasa jana kwenye uwanja wa furahisha ulioudhuriwa na umati mkubwa sana wa watu.
Chanzo: Tanzania Daima