Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

Status
Not open for further replies.

Jenerali Ambamba

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2014
Posts
3,344
Reaction score
2,537
Mwenyekiti wa CHADEMA leo hapa Mwanza amemuonya vikali mkuu wa majeshi CDF DAVIS MWAMUNYANGE juu ya hatua yake ya kutoa askari jeshi kadhaa na kuwapeleka TUME YA UCHAGUZI.

Amesema tayari wanao ushahidi wa kutosha na wakiutaka watauwasilisha.

Vile vile wamemuonya mwenyekiti TUME ya uchaguzi juu ya hatua yake ya kukubali kuwapokea hao wanajeshi ambao ni wataalam wa IT, imeelezwa kuwa wataalam hao wameambiwa wavae kiraia na wasijitambulishe kama wanajeshi.

Chanzo: Mimi mwenyewe leo hapa Furahisha Mwanza.
 
"AENDE MAHAKAMANI MWENYE USHAHIDI, SHUT UP" - E. N. Lowassa
 
Kama kweli mbowe kasema hiyo atakua amehemka na wingi wa watu maana wanasema .........Huwezi kutapika kitu ambacho hujakila,atoae majibu ya kipuuzi ni mpuuzi,kijinga ni mjinga,uongo ni mwongo na ukweli ni mkweli. kwa hili amepotoka.
 
serekali iliyoshindwa kuwahudumia watu milioni arobaini ambao ni masikini kamwe haitweza kuwahudumia hao maafisa as mbao ni wachache sana.
hilo ni zile watu wanaita akili ndogo kuongoza akili kubwa
 
Hizi NI details ...,Ila hali Ilivyo Askari WENGI wa chini wa Majeshi yote NA a hata wa vyeo vya Kati ...wanaunga mkono mageuzi ( ushahidi wa awali NI matokeo ya Urais maeneo yenye makambi Mwaka 2010 NA serikali za mitaa 2014)

Kikwete baada ya kuona ameshaharibu Chama NA hakiwezi kuleta ushindi ....ameanza kupiga ndogondogo za jeshi kumsaidia Kama watashindwa ...Ili magufuli apishwe ...hili Suala limeshaleak KWENYE mashirika yote makubwa ya kijasusi ....NA juzi tayari mahakama ya ICC imetuma wapelelezi wake NA mawakala wao nchini kuanza kuchukua ushahidi....wameaza NA KAUli tata hasa za rais.

Kwa Sasa SIO Siri KUWA ccm hawana Tena Matandao wa ushindi ...kwa Mara ya kwanza toka uhuru .....

Mimi sitaki kuhitimisha maoni yangu ...LAKINI KAUli za jk kutumia jeshi SIO Mara ya kwanza ...KWENYE bunge la Katiba ..alitoa hiyo KAUli NA pia ashawahi kuirudia vikao vya NDANI

Jeshi letu linasifika kwa nidhamu .....naomba Sana rais asiwaingize KWENYE Hizi siasa Zake .....Kama Kauwa Chama ...atafute mganga wa kufufua HUKU ccm ...leave millitary alone ...HUo mpasuko wake alioleta ccm asiulete jeshini ...kwani atawapoanza makamanda NA kutuharibia nchi ....hawa Askari vijana ...NA Watu wa Makam ...wanna nidhamu LAKINI hatujui impact ya kuwachokoza ....

Kikwete umevunja ccm ...usituvunjie nchi tafadhali.....Urais usitutoe KWENYE utamaduni Wetu..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom