Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

Status
Not open for further replies.
Lowassa atajutia kujiunga na huyu mhuni kama anavyojuta slaa.Ukurupukaji Wa kiwango hiki unanikumbusha lile Lori la kura feki alilidai slaa limeonekana tunduma likivushwa toka Zambia!
 
Jeshi ni la wananchi wa Tanzania Mwamunyange ni mutu muelewa sana hawezi kuwa kama shimbo,atahakikisha hachukui upande kisiasa by the way inajulikana wanajeshi huwa wanasiasa rehea General Mboma kwenda kugombea ubunge akaanguhwa na wananchi kula za maoni pia shimbo kuchaguliwa na raisi wa ccm kuwa balozi na mabregadia kibao wakuu wamikoa kwa hiyo angalizo ni muhimu ili nchi iwe salama

yeah ni vizuri wakawa neutral...CCM hawawezi kufanya madhambi yao afu wategemee Jeshi kuwavusha katika uchaguzi huu ni ujinga na haukubariki.
 
Hata Ghadafi alitumia jeshi ambalo ni moja ya majeshi bora Africa na lenye vifaa vya kisasa ila Nguvu ya umma ikamshinda.JK asijidanganye na jeshi maana nguvu ya umma haijawahi kushindwa.Ni swala la muda tu UKAWA kuingia ikulu

Funga mdomo maana kata yako imekushinda unakuja kupiga domo hapa jf.
 
Pole mkuu! Kwa taarifa yako hata Polisi pia wanataka mabadiliko! Unadhani wao si watu? Hata wanajeshi pia wanataka mabadiliko! Kwani wao si watanzania? Sidhani kuwa eti wanapenda sana vurugu! Wafanyakazi wa serikali pia wanataka mabadiliko! Unadhani wote wanapenda sana CCM na kuchukia Chadema? Fikiri zaidi ya hapo.

JWTZ halihitaji malumbano na wanasiasa Uchwara. Heshima ni kitu cha bure.
 
Kwani kuna kosa gani wanajeshi wataalamu wa IT kwenda NEC?...me nadhani muheshimiwa Mbowe angejikita zaidi kwenye kutangaza sera za chama, huu si wakati wa malumbano na vyombo vya dola, wananchi tunawaamini, na tuko nyuma yao.

wanatumia kutojua kwa baadhi ya masela na wanyaviroba eti kuwaaminisha kwamba IT ni kitu cha hatari sana hakifai kusogelea kwenye tume ya uchaguzi.
kana kwamba hao wataalamu kama wapo basi kimiujiza watabadili kura ki IT ili zisomeke zimeichagua ccm....


mtu unajiuliza kwani wataalamu wa IT wa jeshi na wa kiraia wana tofauti gani,au hizo BVR zina military application za kijeshi mpaka watafutwe wanajeshi?
 
Hivi ingekuwa mkuu wa majeshi ni General Waitara mbowe angethubutu kutoa kauli ya onyo kwake?

Kama kweli JWTZ limepeleka wataalam wake tume ya uchaguzi kuna tatizo gani kama tume iliomba msaada?

Kama ni kosa tume kuchukua wana IT wa jeshi kwanini asiishtaki tume?
 
Kwakweli hiki chama cha MAKAPI sikitaki tena,kinachochea uvunjifu wa amani,yani nashidwa kuelewa kwanini mbowe anapenda sana KUROPOKA

kibaya zaidi ni hiki chama cha mescrow. yaani kinalazimisha kutawala. eti ushindi ni lazima kwa gharama yoyote. je ata kwa kuiba kura?
 
Lowassa atajutia kujiunga na huyu mhuni kama anavyojuta slaa.Ukurupukaji Wa kiwango hiki unanikumbusha lile Lori la kura feki alilidai slaa limeonekana tunduma likivushwa toka Zambia!

Kwa hiyo unaamini hivo? ndo maana nasema akili ndogo tz. ni nyingi..
 
Mwenyekiti wa chadema leo hapa mwanza amemuonya vikali mkuu wa majeshi CDF DAVIS MWAMUNYANGE juu ya hatua yake ya kutoa askari jeshi kadhaa na kuwapeleka TUME YA UCHAGUZI.

Amesema tayari wanao ushahidi wa kutosha na wakiutaka watauwasilisha.

Vile vile wamemuonya mwenyekiti TUME ya uchaguzi juu ya hatua yake ya kukubali kuwapokea hao wanajeshi ambao ni wataalamu wa IT, imeelezwa kuwa wataalamu hao wameambiwa wavae kiraia na wasijitambulishe kama wanajeshi.

Source: Mimi mwenyewe leo hapa Furahisha Mwanza.

a.k.a jeneral ambamba
mkuu wa majeshi sio mtu wa kuonywa na mbowe,mbowe analewa sifa za bodaboda na vijana wa vijiweni eti anaweza kumuonya mkuu wa majeshi nafikiri angeenda kutuletea ushaidi wa mwenbeyanga ( fisadi papa) sio vitisho kwa mkuu wa majeshi ataliangamiza taifa kwa elimu yake ndogo

 
mbowe ziro yake ya six inamchanganya anajilinganisha na mkuu wa majeshi, bodaboda na vijana wengine wa mtaani eti wanamshangilia kwa kutoa vitisho kwa mkuu wa majeshi amabaye amepingana vita,

namshauri apime anayoyaongea mkuu wa majeshi sio kama yeye wala haitamsaidi hao bodaboda hawatamsaidia watarudi nyuma kwa kulinda familia zao,



punguza panic wewe ambaye sio ziro unamzidi nini, hii nchi ni ya kidemokrasia kwahiyo kama raia anayo haki ya kusema ambayo hayaendi sawa
 
Kwakweli hiki chama cha MAKAPI sikitaki tena,kinachochea uvunjifu wa amani,yani nashidwa kuelewa kwanini mbowe anapenda sana KUROPOKA
Kikwete ndio atakapojua yupo uchi kila kitu wazi wazi hakuna siri kwa sasa ni mapambano tu kila mbinu itafichuliwa aliambiwa chaema na ukawa wako macho sasa kuliko kipindi chochote kile
 
Wachumia Tumbo wa Lumumba wanaharisha utafikiri wao ndo Mamunyange na Lubuva... Mbowe anawatu wengi kwenye System ... CCM ya sasa kila walipangalo vinamfikia mapema kabla hata JK haijamuingia akilini ....
 
ni maandalizi ya kukataa matokeo ya uchaguzi. huyu mbowe ni laana tupu. ameuza cdm kwa vipande vya fedha sasa anaandaa kuharibu amani ya nchi.

haahaa anayejiandaa kuharibu amani yetu ni yule anayelazimisha ushindi kwa kusema ushindi ni lazima.
 
mbowe ziro yake ya six inamchanganya anajilinganisha na mkuu wa majeshi, bodaboda na vijana wengine wa mtaani eti wanamshangilia kwa kutoa vitisho kwa mkuu wa majeshi amabaye amepingana vita,

namshauri apime anayoyaongea mkuu wa majeshi sio kama yeye wala haitamsaidi hao bodaboda hawatamsaidia watarudi nyuma kwa kulinda familia zao,



haa haa yaani we kwa kupata division 5 unaaringaa...
 
Hivi ingekuwa mkuu wa majeshi ni General Waitara mbowe angethubutu kutoa kauli ya onyo kwake?

angejutia kauri zake
mbowe anajiita waziri mkuu mtarajiwa ,lakini hajue ziro yake isimfanya kupoteza amani ya nchi hii,
lakini ajue ongopa mtu ambaye ni mpole asidanganywe na upole wa mkuu wa sasa akazani ni wa kuonywe na wendawazimu kama yeye kwa kelele za bodaboda,
 
Tabia ya watawala Afrika kutumia vyombo vya ulinzi na usalama ni jadi kama ni kweli waache kuingiza nchi kwenye vurugu kwani nininatuhubiria uchu wa madaraka nyie kwa nini mnataka kulazimisha ushindi mwenye uchu zaidi ni yupi acheni zenu maituharibie pensheni zetu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom