Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

Status
Not open for further replies.
ukweli ni kuwa hata chadema wakishindwa kihalali hawatakubali.

watasema mbona walikua wanajaza watu,kiufupi vyombo vya usalama vikae vikijua kuwa vujo ipo na vijiandae haswa kudeal na hali hiyo.
mimi wanangu nimeshawapeleka dubai,tayari nimebaki mimi tu,
hawa watu wameachiwa mda mrefu hadi wanajiona wanaweza fanya chochote watakacho.

Sasa wewe umebaki kwani we huogopi machafuko?
 
kwa tabia ya huyu malyenge wamejihakikishia hata wakishinda lazima wapigwe chini,jeshi halitakubali nchi iwe mikononi mwa watu walio mental unstable

kws hiyo nyie mpo tayari kumwaga damu za watanzania ili muendelee kutawala? ccm mmelaaniwa sana..
 
Tume ya taifa ya uchaguzi iwe makini sana katika uchaguzi huu lasivyo itaweka rehani Amani ya taifa letu,haki ndio msingi Wa Amani
 
Atoe ushahidi ili tukanushe. Hana analolijua. Ni propaganda za kisiasa
 
Hata Ghadafi alitumia jeshi ambalo ni moja ya majeshi bora Africa na lenye vifaa vya kisasa ila Nguvu ya umma ikamshinda.JK asijidanganye na jeshi maana nguvu ya umma haijawahi kushindwa.Ni swala la muda tu UKAWA kuingia ikulu
 
Duu hao wataalamu WA it kutoka jeshini kwenda tume ? Kama ni kufanya kazi ya halali kwanini waamriwe kuvaa kiraia?nini kilichopo nyuma ya pazia

Mkuu wewe umeongea point kina mijitu mingine huku sijui imekula maharage ya wapi?
 
Ccm kupitia kwa Butiku imesems kuna wanamtandao 10 walioharibu ccm kwa kutaka utajiri.kilichonisikitisha Pamoja na Humphrey Polepole kuanza kulaumu kuwa Lowassa na mtandao wake wanakwenda kuharibu chadema, wameshindwa kutuambia kwa nini Watu hao waliwavumilia?

Kwa nini,ccm imeendelea kuwavumilia?

Chenge,Tibaijuka,na Ngereja wao ni safi kuliko Lowassa na mtandao wake?

Tumefika hapa,kwa sababu ya chama kibovu,kilichojaa hila!

Hatushangai Tume,na jeshi kutetea kundi linaloitwa kundi lililobaki ccm lililosafi kupigiwa upatu kubaki Ikulu.Lakini wajue October watakiona
 
Mwenyekiti wa chadema leo hapa mwanza amemuonya vikali mkuu wa majeshi CDF DAVIS MWAMUNYANGE juu ya hatua yake ya kutoa askari jeshi kadhaa na kuwapeleka TUME YA UCHAGUZI.

Amesema tayari wanao ushahidi wa kutosha na wakiutaka watauwasilisha.

Vile vile wamemuonya mwenyekiti TUME ya uchaguzi juu ya hatua yake ya kukubali kuwapokea hao wanajeshi ambao ni wataalamu wa IT, imeelezwa kuwa wataalamu hao wameambiwa wavae kiraia na wasijitambulishe kama wanajeshi.

Source: Mimi mwenyewe leo hapa Furahisha Mwanza.
moja ya bao la mkono bado mengine
 
Goli la mkono mwishi wake ni wapi vile?
 
Tume ya taifa ya uchaguzi iwe makini sana katika uchaguzi huu lasivyo itaweka rehani Amani ya taifa letu,haki ndio msingi Wa Amani

haa haa kwa hali ya mambo inavyoonekana sijui kama uchaguzi wa mwaka huu kama utapita salama. maana maccm wanasema ushindi ni lazima na kwa gharama yoyote ile. inawezekana hata kuiba kura.
 
mbowe unapoanza kumchokoza mkuu wa majeshi nafikiri umeunga na lowasa ili mwende msituni,msituchafulie taifa letu,letu ushaidi wa slaa kwanza wa mwembe yanga kabla ujatuma kitishi kwa mkuu wa majeshi,
 
Ndugu tunako elekea huku siko sasa tusifuate mkumbo tujiulize tupo wapi name tunaelekea wapi kisiasa tutapoteza amani yetu
 
Ya kukusanya Vitambulisho walikataa baadaye mambo yalivyokuwa magumu wakajikuta wanasema hawakuwa na nia mbaya.Na hilo pia watakuja kusema nia ya serikali siyo mbaya.

Leo nimeenda kuhakiki kitambulisho kituo kimefungwa,nikajiuliza tumedanganywa au????
 
Hapo sasa Ukawa Mmeanza kuharibu. Tunaijua Taasisi hii ilivyo kuwa makini na huwa haifungamani na siasa kwa hilo Mzee Mbowe hautaungwa mkono.

We ndo hawezi kumuunga. Fuatilia kauli Jk jana akiwaaga wafanyakazi wa UJENZI alisema rais lazima awe Magufuli. Kwanini atumie neno LAZIMA!!??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom