Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

Status
Not open for further replies.
kibaya zaidi ni hiki chama cha mescrow. yaani kinalazimisha kutawala. eti ushindi ni lazima kwa gharama yoyote. je ata kwa kuiba kura?

Wewe endelea kushangilia ujinga ,utakuja kujua kwamba MBOWE anaongea UPUMBAVU ukijikuta uko nchi ya jirani kwenye kambi ya WAKIMBIZI
 
Kwakweli hiki chama cha MAKAPI sikitaki tena,kinachochea uvunjifu wa amani,yani nashidwa kuelewa kwanini mbowe anapenda sana KUROPOKA

Mmezoea kuiba kura ila siyo mwaka huu, kwa nini Jeshi? Hakuna wataalamu wa IT hapo NEC? Tunalipenda jeshi letu sana lakini wasije tumika kwa Siasa,NEC ni wasimamizi ya wanasiasa hivyo hawastahili kwenda pale.Kikwete alisema yeye ndiye mwenye mwana sasa hakuna demokrasia nchini zaidi kumkabidhi anayemtaka yeye hata kwa nguvu,
This is Tanzania who preaching democracy but in real sense they are pretenders.
 
juzi vitamblisho vya askari vinarekodiwa leo wanajeshi IT mbona nyinyi mnawapa bodaboda mafuta na elfu tano tano (yombo) hatusemi
 
----- ww sa mkuu wa majeshi c cheo km mkuu wa mtaa tu!!sa ye nani asiambiwe?sa bila cc raia yy mkuu wa majeshi atukuwa anakaz gan?ya kulinda miti!!?ndoroooobo ww unaropoka tu km umejinyea
 
kibaya zaidi ni hiki chama cha mescrow. yaani kinalazimisha kutawala. eti ushindi ni lazima kwa gharama yoyote. je ata kwa kuiba kura?

Hawa wamejisahau sana wananchi wamewachoka wao wanataka kutuchagulia Raisi kwa kutumia jeshi wakati jeshi ni la wananchi wote#HakiHuinuaTaifa hilo Naona wamesahau sasa ivi ni mfumo wa vyama vingi. Jk na kauli zake asije akawa kama Bagbo.
 
Nimeanza kuamini mbowe yuko na lowassa kwa kazi maalum

wataenda wote msituni hakuna nchi ambayo unaweza kuwa rais ukiwa na migogoro na jeshi, hakuna

wao kama wanazani ni zaidi ya dora wajipange vizuri ,


 
Kikwete ndio atakapojua yupo uchi kila kitu wazi wazi hakuna siri kwa sasa ni mapambano tu kila mbinu itafichuliwa aliambiwa chaema na ukawa wako macho sasa kuliko kipindi chochote kile

MBOWE hana uhakika na akisemacho!,Kama unakumbuka ALIROPOKA mengi kuhusu RICHMOND mwisho wa siku kaishia KUKIUZA chama cha wanaharakati kwa mafisadi.....
 
ni maandalizi ya kukataa matokeo ya uchaguzi. huyu mbowe ni laana tupu. ameuza cdm kwa vipande vya fedha sasa anaandaa kuharibu amani ya nchi.

hilo liko wazi ukawa hawatakubali matokeo ya uchaguzi kamwe,ni bora vyombo vya usalama vianze kuwamonitor kungali mapema.
kila decision maker wa ukawa awe monitored,kuanzia yeye na family zao.
wale masela wanajiita redbrigade kila mmoja taarifa zao ziwepo ili hata wakiingia msituni,tunakamata mama yake na kuambia yeye,"unatoka msituni ama......"
 
Mwenyekiti wa chadema leo hapa mwanza amemuonya vikali mkuu wa majeshi CDF DAVIS MWAMUNYANGE juu ya hatua yake ya kutoa askari jeshi kadhaa na kuwapeleka TUME YA UCHAGUZI.

Amesema tayari wanao ushahidi wa kutosha na wakiutaka watauwasilisha.

Vile vile wamemuonya mwenyekiti TUME ya uchaguzi juu ya hatua yake ya kukubali kuwapokea hao wanajeshi ambao ni wataalamu wa IT, imeelezwa kuwa wataalamu hao wameambiwa wavae kiraia na wasijitambulishe kama wanajeshi.

Source: Mimi mwenyewe leo hapa Furahisha Mwanza.

hivi haya maCCM yanataka kuipeleka wapi hii nchi? inakuwaje yanahaha kutaka kupiga bao la mkono kila kukicha bila kutumia maji na sabuni? nyie CCM nawaonya msitake kupiga bao la mkono kavukavu bila kutumia vilainishi...mtageuka mahanithi, ohoooooo!!!
 
Hawa wamejisahau sana wananchi wamewachoka wao wanataka kutuchagulia Raisi kwa kutumia jeshi wakati jeshi ni la wananchi wote#HakiHuinuaTaifa, hilo Naona wamesahau sasa ivi ni mfumo wa vyama vingi. Jk na kauli zake asije akawa kama Bagbo.


na wewe unachangia ujinga unazani mtoto wa mbowe atakuwepo? au lowasa jidanganye na vitisho vyenu vya kijinga ukizani umejificha sana,na mpaka awe bagbo wewe utakuwa wapi?
tafakari kabla ya kulingania amani na dhahama,
 
Lowassa atajutia kujiunga na huyu mhuni kama anavyojuta slaa.Ukurupukaji Wa kiwango hiki unanikumbusha lile Lori la kura feki alilidai slaa limeonekana tunduma likivushwa toka Zambia!

haa haa mkizidiwa ni kawaida yenu kuwaita wapinzani wenu majina ya hivyo. mbona mnaweweseka sana na huyo mnayemwita muhuni?
 
juzi vitamblisho vya askari vinarekodiwa leo wanajeshi IT mbona nyinyi mnawapa bodaboda mafuta na elfu tano tano (yombo) hatusemi

kundure kicheche wewe...hayo madai ya awali yapo pale pale...hata yakikanushwa ushahidi upo na watauweka hadharani tu...
 
hilo liko wazi ukawa hawatakubali matokeo ya uchaguzi kamwe,ni bora vyombo vya usalama vianze kuwamonitor kungali mapema.
kila decision maker wa ukawa awe monitored,kuanzia yeye na family zao.
wale masela wanajiita redbrigade kila mmoja taarifa zao ziwepo ili hata wakiingia msituni,tunakamata mama yake na kuambia yeye,"unatoka msituni ama......"

kweli hawa bodaboda wanaweza kufanya hivyo maana hawaelewi,
lakini wajiulize je

1,je mtoto wa mbowe atakuwepo?
2 mtoto wa lowasa atakuwepo?

 
jeshi zamani siku hizi jeshi ajira labda wawalete above 35 hapo kweli watu watakua wapole lakini hawa jeshi kaingizwa na babu mjomba shemeji wote ukawa wapenda mabadiliko
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom