Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,627
Huyu mbowe aspo angaliwa kwa jicho la tatu atatuletea shida, yeye kawa rais?
Ana ushahidi ndio maana ameamua kuongea.
Huyu mbowe aspo angaliwa kwa jicho la tatu atatuletea shida, yeye kawa rais?
Raia mwema.Kwani Mbowe ni nani mpaka ampe mkuu wa majeshi amri! Naomba Mbowe asilewe na wingi wa watu akajua watu wote yuko naye! Na ache mara moja!!
Na ushahidi wa ufisadi wa Lowasa Kauacha wapi?
mbowe unapoanza kumchokoza mkuu wa majeshi nafikiri umeunga na lowasa ili mwende msituni,msituchafulie taifa letu,letu ushaidi wa slaa kwanza wa mwembe yanga kabla ujatuma kitishi kwa mkuu wa majeshi,
Hata Ghadafi alitumia jeshi ambalo ni moja ya majeshi bora Africa na lenye vifaa vya kisasa ila Nguvu ya umma ikamshinda.JK asijidanganye na jeshi maana nguvu ya umma haijawahi kushindwa.Ni swala la muda tu UKAWA kuingia ikulu
Ataacha kuropoka mwaka huu!
We ndo hawezi kumuunga. Fuatilia kauli Jk jana akiwaaga wafanyakazi wa UJENZI alisema rais lazima awe Magufuli. Kwanini atumie neno LAZIMA!!??
Ya kukusanya Vitambulisho walikataa baadaye mambo yalivyokuwa magumu wakajikuta wanasema hawakuwa na nia mbaya.Na hilo pia watakuja kusema nia ya serikali siyo mbaya.
Leo nimeenda kuhakiki kitambulisho kituo kimefungwa,nikajiuliza tumedanganywa au????
Raia mwema.
Ndugu tunako elekea huku siko sasa tusifuate mkumbo tujiulize tupo wapi name tunaelekea wapi kisiasa tutapoteza amani yetu
Kwani vinahahakikiwa wapi manake mimi mwenyewe nimeenda mahala ambapo miaka yote huwa tunaenda kuhakiki nikakuta hola wallah hawa jamaa ni shida.
kama ni raia mwema basi atulete ushaidi wa mwembeyanga zidi ya ushaidi wa lowasa na wizi wake ndo aje kudai ushaidi wa jeshi,
Mbowe unatafuta makubwa umeyapata sasa tusubiri picha lake...
kamwambie jeshi sio genhge la wahuni kama yeye na wahuni wenzake kama anazani yeye ni zaidi ya dora na genge lake ,arudi kwao asitulete vikundi vya wahasi,mpuuzi kweli