Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

Status
Not open for further replies.
Mmezoea kuiba kura ila siyo mwaka huu, kwa nini Jeshi? Hakuna wataalamu wa IT hapo NEC? Tunalipenda jeshi letu sana lakini wasije tumika kwa Siasa,NEC ni wasimamizi ya wanasiasa hivyo hawastahili kwenda pale.Kikwete alisema yeye ndiye mwenye mwana sasa hakuna demokrasia nchini zaidi kumkabidhi anayemtaka yeye hata kwa nguvu,
This is Tanzania who preaching democracy but in real sense they are pretenders.

Sasa kuna shida gani kutumia WANAJESHI kufanya kazi za serikali??,mbona tukiwatumia kujenga MADALAJA hamsemi?
 
a.k.a jeneral ambamba
mkuu wa majeshi sio mtu wa kuonywa na mbowe,mbowe analewa sifa za bodaboda na vijana wa vijiweni eti anaweza kumuonya mkuu wa majeshi nafikiri angeenda kutuletea ushaidi wa mwenbeyanga ( fisadi papa) sio vitisho kwa mkuu wa majeshi ataliangamiza taifa kwa elimu yake ndogo


hivi unajua maana ya kuonywa?
 
wataenda wote msituni hakuna nchi ambayo unaweza kuwa rais ukiwa na migogoro na jeshi, hakuna

wao kama wanazani ni zaidi ya dora wajipange vizuri ,



inakaa kama mbowe ataenda msituni,huku lowasa akipaa zake londoni na kuwa paymaster wa kuendesha harakati.
nadhani mpaka sasa security wanatakiwa wawe wamepiga kambi kule londoni karibu na ile nyumba yake aliyoinunua kwa pesa za kifisadi
 
----- ww sa mkuu wa majeshi c cheo km mkuu wa mtaa tu!!sa ye nani asiambiwe?sa bila cc raia yy mkuu wa majeshi atukuwa anakaz gan?ya kulinda miti!!?ndoroooobo ww unaropoka tu km umejinyea

Waambie hawa viroboto kazi yao kutaka kuwatia watu hofu za kujinga na za kizamani.
 
Nahic mbowe anataka kuvuka miiko ya siasa, asidanganywe na umati wa watu, ajue kuwa kama kunachombo ambacho hakiingiliwi utendaji wake ni jeshi .... sasa asijifanye kuwa anahuruma sana wakati b10 zinampelekesha... yy afanye siasa na taalm awaachie wenye taaluma
 
Watawala wajue tunahitaji uchaguzi huru na haki. Watanzania tunataka mabadiliko na hakuna anaeweza kuzuia mabadiliko kama muda umefika.
 
kundure kicheche wewe...hayo madai ya awali yapo pale pale...hata yakikanushwa ushahidi upo na watauweka hadharani tu...

tunaomba ushaidi wa slaa zidi ya fisadi papa ndo uje kuleta ushaidi vyombo hivyo unacheza wewe fanya moyoyo zako lakini likinuka najua utakimbia mapema bali unawajaza ujinga wajione bora kama alivyowaanashangiliwa leo mwanza anajiona yuko sahihi ,akili ndogo bwana,

 
hawa siyo wakuaminika, walisema wana ushahidi kuwa lowasa ni fisadi lakini leo wamemsafisha, si ajabu na ushahidi wake huu anaousema ukawa feki

kama walidai wana ushahidi wa lowassa
serikali iliwaomba wakashindwa
kutoa? Mbowe anasema kweli
 
na wewe unachangia ujinga unazani mtoto wa mbowe atakuwepo? au lowasa jidanganye na vitisho vyenu vya kijinga ukizani umejificha sana,na mpaka awe bagbo wewe utakuwa wapi?
tafakari kabla ya kulingania amani na dhahama,

Wewe ndo mjinga kwa kuishi na kukesha jf kuandika pumba kwa vile ni chama chako kiko madarakani inategemea kishinde kwa kupendelewa na majeshi baada ya kuona nguvu ya umma. Ua totally wrong unatumia amani kisingizio ili muendeleze madudu yenu yenu eeeh. Tafta kazi halali mana unahofia mirija itakatwa.
Ni jidaganye na nini wananchi wamewakataa mnakimbilia jeshi. Ashupazaye shingo huvunjika mumepaniki sana eeh,hakuna marefu yasiyo na ncha jiandaeni kisaikolojia.
 
Kwani Mbowe ni nani mpaka ampe mkuu wa majeshi amri! Naomba Mbowe asilewe na wingi wa watu akajua watu wote yuko naye! Na ache mara moja!!

Tahadhali huwa haiangalii cheo cha mtu ndiyo maana hata Rais huwa wanamkosoa Mbona Mnyika alimbatiza jina kuwa ni Dhaifu, mkuu wa Jeshi akienda kinyume ataambiwa Ukweli hata Kama atakaidi msg sent, Tambua kuwa ukawa sasa wanapenya sana wapo kila idara wanapata taarifa zote za kijasusi.
 
Mwenyekiti wa chadema leo hapa mwanza amemuonya vikali mkuu wa majeshi CDF DAVIS MWAMUNYANGE juu ya hatua yake ya kutoa askari jeshi kadhaa na kuwapeleka TUME YA UCHAGUZI.

Amesema tayari wanao ushahidi wa kutosha na wakiutaka watauwasilisha.

Vile vile wamemuonya mwenyekiti TUME ya uchaguzi juu ya hatua yake ya kukubali kuwapokea hao wanajeshi ambao ni wataalamu wa IT, imeelezwa kuwa wataalamu hao wameambiwa wavae kiraia na wasijitambulishe kama wanajeshi.

Source: Mimi mwenyewe leo hapa Furahisha Mwanza.

siku zote wanasema wanaushaidi lakini mwisho wanatokomea walituambia wana ushaidi wa lowasa fisadi leo wanatugeuka HATARI
 
Hawa wamejisahau sana wananchi wamewachoka wao wanataka kutuchagulia Raisi kwa kutumia jeshi wakati jeshi ni la wananchi wote#HakiHuinuaTaifa hilo Naona wamesahau sasa ivi ni mfumo wa vyama vingi. Jk na kauli zake asije akawa kama Bagbo.

Kweli mapenzi upofu!
 
Hizi NI details ...,Ila hali Ilivyo Askari WENGI wa chini wa Majeshi yote NA a hata wa vyeo vya Kati ...wanaunga mkono mageuzi ( ushahidi wa awali NI matokeo ya Urais maeneo yenye makambi Mwaka 2010 NA serikali za mitaa 2014)

Kikwete baada ya kuona ameshaharibu Chama NA hakiwezi kuleta ushindi ....ameanza kupiga ndogondogo za jeshi kumsaidia Kama watashindwa ...Ili magufuli apishwe ...hili Suala limeshaleak KWENYE mashirika yote makubwa ya kijasusi ....NA juzi tayari mahakama ya ICC imetuma wapelelezi wake NA mawakala wao nchini kuanza kuchukua ushahidi....wameaza NA KAUli tata hasa za rais.

Kwa Sasa SIO Siri KUWA ccm hawana Tena Matandao wa ushindi ...kwa Mara ya kwanza toka uhuru .....

Mimi sitaki kuhitimisha maoni yangu ...LAKINI KAUli za jk kutumia jeshi SIO Mara ya kwanza ...KWENYE bunge la Katiba ..alitoa hiyo KAUli NA pia ashawahi kuirudia vikao vya NDANI

Jeshi letu linasifika kwa nidhamu .....naomba Sana rais asiwaingize KWENYE Hizi siasa Zake .....Kama Kauwa Chama ...atafute mganga wa kufufua HUKU ccm ...leave millitary alone ...HUo mpasuko wake alioleta ccm asiulete jeshini ...kwani atawapoanza makamanda NA kutuharibia nchi ....hawa Askari vijana ...NA Watu wa Makam ...wanna nidhamu LAKINI hatujui impact ya kuwachokoza ....

Kikwete umevunja ccm ...usituvunjie nchi tafadhali.....Urais usitutoe KWENYE utamaduni Wetu..

Huu ni UONGO. na uongo huu utaishi hadi mwisho wa mwezi huu. Baada ya hapo utasaidia jeshi la polisi
 
Kweli mbowe anaweza kusababisha vita hivihivi maana ana akili ndogo sana.ni juzi tu hapa msemaji wa jwtz ametoa onyo kwa wanasiasa kuacha kutoa habari za uongo kwa wananchi.kama amezoea kuwadanganya hao nyumbu wanaomfuata asituvurugie amani ya nchi yetu.tena akome kabisa.nyambaaf
 
Watawala wajue tunahitaji uchaguzi huru na haki. Watanzania tunataka mabadiliko na hakuna anaeweza kuzuia mabadiliko kama muda umefika.

uchaguzi wa amani upi mbowe anamtishia kiongozi mkuu wa jeshi,unajua miiko ya siasa au unachangia ujinga tu ,wote tunayaitaji ila uhai kwenza na amani ya taifa,

 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom