Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

Status
Not open for further replies.
nakushauri bule mbowe na wenzako , miaka mingi mumekuwa mnacheza na polisi lakini mnapoanza kucheza na jeshi basi taifa mnaliangamiza asubuhi na mapena ,

leo nimekusikia ukilewa sifa za bule ukizani wewe ni waziri mkuu kama mlivyoaidiana na kutoa amri zidi ya mkuu wa majeshi,mtu mwenye heshima kubwa katika taifa hili,

jua yafyatayo

1,makamanda wa jeshi sio watu wakutishia vijiweni kama mlivyokuwa mnawatisha makamanda wa polisi,wananagaika,
2, jua rais yeyote ili aweze kuongoza nchi lazima hasiwe na migongano na jeshi,ili aweze kuwa amir jeshi mkuu,
3,kauri zako ni janga la taifa
4,usijidanganye na kelele za washabiki wako ukazani unaweza kutoa amri juu ya mkuu wa majeshi,

nakukumbusha migogoro yenu na polisi kisa kauri zenu za kipuuzi na usizani na makamanda wa jeshi wako hivyo,

mwisho
jitaidi sana tena sana ukishidwa kueleza ilani yako basi kaa kimia lakini taifa letu liache libaki salama,
wewe ni nani unampa amri za kipuuzi mkuu wa majeshi au unazani wewe ni rais , kuwa makini huyu mtu sio wa kutishwa hivyo,



We ndio mchpchezi mkubwa! Una level gani ya kumtisha mbowe.
Umeshapuuzwa kitambo na upuuzi uliosnfika humu.
 
Kwakweli hiki chama cha MAKAPI sikitaki tena,kinachochea uvunjifu wa amani,yani nashidwa kuelewa kwanini mbowe anapenda sana KUROPOKA
 
Maccm yan yanawaza wizi muda wote, ukute wanaiba mpaka chu...p za wake zao
 
ni maandalizi ya kukataa matokeo ya uchaguzi. huyu mbowe ni laana tupu. ameuza cdm kwa vipande vya fedha sasa anaandaa kuharibu amani ya nchi.
 
Mbowe aache uoga na kutengeneza mazingira,kama anao ushahidi hana haja ya kusubiri mpaka watake,aende nao mahakamani
 
Umeongea point mkuu .

Mi nawakubali sana makamanda wa jeshi .

Ila mambo ya kuwaingiza makamanda wetu kwenye siasa hili halijanivutia .

Naomba makamanda wetu nyie ndio ndugu zetu halisi watetezi wetu wazalendo wenzetu .Msikubali kuendeshwa na wanasiasa hasa kipindi hichi.

Wazalendoooooooooo!!!!! Wiiiiiii...waaaaaa...vijaaanaa vijaaana vijana vijana tayari kulijenga taifa taifa taifa kulijenga taifa taifa la Tanzania.......Tanzania ntakuita mpaka kufa.

mbowe ziro yake ya six inamchanganya anajilinganisha na mkuu wa majeshi, bodaboda na vijana wengine wa mtaani eti wanamshangilia kwa kutoa vitisho kwa mkuu wa majeshi amabaye amepingana vita,

namshauri apime anayoyaongea mkuu wa majeshi sio kama yeye wala haitamsaidi hao bodaboda hawatamsaidia watarudi nyuma kwa kulinda familia zao,


 
Nimewahi kuwatahadharisha UKAWA juu ya silaha ya kieletroniki ambayo CCM bila shaka wataitumia. Kuanzia BVR hadi kuposti kura toka kituo kimoja hadi kingine hadi kujumlisha ndo kutangaza. Compyuta itatumika. Mtandao utatumika. Hilo ni eneo nyeti sana. Kazi kwenu!!

ni kweli. hilo wanaweza zuia kama wataamua kuwa na wataalamu wao. kwa mfano kabla data hazijatumwa NEC toka wilayani.mawakala wa vyama vyote wahakikishe matokeo na kupewa kopi. bila kufanya hivo italeta shida.
 
Jeshi ni la wananchi wa Tanzania Mwamunyange ni mutu muelewa sana hawezi kuwa kama shimbo,atahakikisha hachukui upande kisiasa by the way inajulikana wanajeshi huwa wanasiasa rehea General Mboma kwenda kugombea ubunge akaanguhwa na wananchi kula za maoni pia shimbo kuchaguliwa na raisi wa ccm kuwa balozi na mabregadia kibao wakuu wamikoa kwa hiyo angalizo ni muhimu ili nchi iwe salama
 
Chezea pengine si KURA iwe Jeshi au chombo kingine cha dola.

Anadhani yeye atabaki salama, hajiulizi huko mashariki ya kati damu kila siku zinamwagika hakuna wanajeshi.? Gadafi hakuwa na wanajeshi? Na wengineo hawakuwapo wanajeshi?
 
bado ule mkanda wa video,soweto nao fake....
yaani huyu mlemavu anataka kupeleka mambo kimafiamafia tu.

hebu wanajeshi mchukueni mtu huyu mkamrushe kichura mpaka akili imkae sawa.

mbona akushitakiwa, think twice
 
ni kweli. hilo wanaweza zuia kama wataamua kuwa na wataalamu wao. kwa mfano kabla data hazijatumwa NEC toka wilayani.mawakala wa vyama vyote wahakikishe matokeo na kupewa kopi. bila kufanya hivo italeta shida.

Ondoa shaka tumishawashika penyewe hawa vifaranga CCM na JW.
 
Lakini si ametembea dunia nzima, na wakati mwingine akijifanya msuluhishi wa migogoro ya chaguzi zilizoenda mrama, mbona asimalizie kwa kutuacha bila GOGORO HILI ANALOTAKA KULIZUSHA ATI KISA AONEKANE MSHINDI. kweli nyani haoni la kwake. Na hii yote ni kulewa MADARAKA

haa haa jk anaweza akaondoka madarakani huku nchi kaivuruga. eti ushindi ni lazima. je hata kwa kuua watu?
 
CCM iache kutumia jeshi letu vibaya.hakuna atakayekuwa salama yakitokea machafuko.angalieni kwingineko.CCM ijifunze siasa za kistaarabu.mkubali kuwa hali yenu mbaya,mjiandae kisaikolojia kwenda makazi mapya huko jumba la makumbusho.jeshi letu libaki kuwa jeshi la wananchi na sio la CCM.siasa zetu sasa ni za vyama vingi.ule ukiritimba wa chama kimoja haupo tena.mmejisahau sana ninyi ccm.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom