Mbona wakati wa sasa watu wa PCM, PCB, CBG wanafaulu sana kidato cha sita kuliko enzi zetu au kizazi hiki ubongo wao mzuri zaidi?

Polo

Polo

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2016
Messages
1,577
Points
2,000
Polo

Polo

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2016
1,577 2,000
Kwasisi tuliofanya paper kama 'PC' mambo yamekuwa magumu kidogo sijui tatizo lipo wapi maana lile Paper tulitusua sana.

Anyway!! Ngoj mwakani tutupe tena karata huenda malengo yetu ya kupiga one ya 8 yakatimia.
 
sawima

sawima

Senior Member
Joined
Jul 9, 2019
Messages
183
Points
250
sawima

sawima

Senior Member
Joined Jul 9, 2019
183 250
Watunzi wenyewe ndio kina Wema Sepetu, Pierre na Amber rutty. Enzi hizo ukiambiwa huyu ni mwalimu wa hesabu mwenyewe unafurahi. Kakomaa , mweusi ti, mrefu halafu hajui kucheka.

Hahaha
 
Ambokile Amanzi

Ambokile Amanzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2018
Messages
450
Points
1,000
Ambokile Amanzi

Ambokile Amanzi

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2018
450 1,000
****...mamaye usirudie kuniuliza maswali ya ki..senge kama haya
Hehe. Ubora wa elimu haupimwi kwa rula! Kama wanafunzi wanaelewa basi wafaulu tu usituletee mentality za kikoloni hapa!
 
D

Deceiver

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2018
Messages
1,584
Points
2,000
D

Deceiver

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2018
1,584 2,000
****...mamaye usirudie kuniuliza maswali ya ki..senge kama haya
Aisee wewe ni bonge la mpuuzi, anyway kwa mazingira ya kishenzi na kipumbavu na kimaskini uliyokulia utajiona uko sawa.
 
mtanganyika wa kweli

mtanganyika wa kweli

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2015
Messages
2,459
Points
2,000
mtanganyika wa kweli

mtanganyika wa kweli

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2015
2,459 2,000
Sasa kujua vitu na kuwa mweusi tii au kukomaa vina uhusiano gani?
Uwezo wa mtu hauna uhusiano na hivyo vitu.wach kunasibisha elimu na vitu vya kijinga.
Watunzi wenyewe ndio kina Wema Sepetu, Pierre na Amber rutty. Enzi hizo ukiambiwa huyu ni mwalimu wa hesabu mwenyewe unafurahi. Kakomaa , mweusi ti, mrefu halafu hajui kucheka.
 
D

Deceiver

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2018
Messages
1,584
Points
2,000
D

Deceiver

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2018
1,584 2,000
Sasa kujua vitu na kuwa mweusi tii au kukomaa vina uhusiano gani?
Uwezo wa mtu hauna uhusiano na hivyo vitu.wach kunasibisha elimu na vitu vya kijinga.
Pole sana dada Amber Rutty kwa kukuudhi. Sitarudia tena niwie radhi dada.
Kumbe imekugusa....dah ...i am sorry.
Mbagala wazima?
 
Myahudi Jr II

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Messages
4,239
Points
2,000
Myahudi Jr II

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2016
4,239 2,000
Kuna somo linaitwa Economics ni mwaka wa 3 sasa hawajapata A
I Hate UCHUMI as Much as I can, NALICHUKIA HILO SOMO DUNIA

Paper ya 2012 ya uchumi sitaisahau aisee, kwa miaka 2 sikufikisha mara 30 kulisoma, na bora hata sikusoma ila nikalamba E, nikabaki nashangaa
 
N

Nyumisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2010
Messages
1,885
Points
2,000
N

Nyumisi

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2010
1,885 2,000
Aisee wewe ni bonge la mpuuzi, anyway kwa mazingira ya kishenzi na kipumbavu na kimaskini uliyokulia utajiona uko sawa.
Wewe ni fa.la unayafahamu mazingira niliyokulia mimi? do you know me!? shenzy type..
 
N

Nyumisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2010
Messages
1,885
Points
2,000
N

Nyumisi

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2010
1,885 2,000
Hehe. Ubora wa elimu haupimwi kwa rula! Kama wanafunzi wanaelewa basi wafaulu tu usituletee mentality za kikoloni hapa!
Unaelewa kwa nini Mungai akiwa waziri wa elimu watu walilalamika mitaala ilipobadilishwa na kuonekana kama ubora wa elimu unashushwa. Unaelewa kwa nini huko makazini kuna malalamiko mengi kwamba vijana wanaoajiriwa miaka ya hivi karibuni hawako competent, usicheze kabisa na elimu utajikuta unatengeza taifa la vilaza waliokwenda shule
 
kiraremapojoni

kiraremapojoni

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2018
Messages
370
Points
500
kiraremapojoni

kiraremapojoni

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2018
370 500
Ni utekelezaji wa Ilani kaka!
hahaahhha nimecheka sana inaweza kuwa ni sawa mana hata nami pia nashangaa eti mwanafunzi anasoma ECA na anapata Div 1 ya Point 4 kwa kweli miaka ya 1990 mpaka 2005 ilikuwa adimu sana
 
Battle Of Isandlwana

Battle Of Isandlwana

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2019
Messages
615
Points
1,000
Battle Of Isandlwana

Battle Of Isandlwana

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2019
615 1,000
Daah! Kweli kabisa,Yaani enzi hizo ukipata "E" mbili kidume University unaenda na Mkopo 100%.Unakuta masela wamepiga E moja na SS za kuendea Diploma.Now days Vijana wanafaulu sana au wanafaulishwa.
sitosahau darasa la 7 mwaka 2010 kudadeki unapewa karatasi ya kujibia nyeupeeeeee na karatasi la maswali ya hesabu hakuna hata la kuchagua.Dadeki. unataman hadi kulia lakini madogo wa siku hizi mpaka paper za kiswahili unachagua jibu aisee
 
Krn

Krn

Member
Joined
Jun 28, 2019
Messages
21
Points
45
Krn

Krn

Member
Joined Jun 28, 2019
21 45
Bongo bana ultaka wafel kama wwe acha mdg wafnye yao AF hapo miak ya nyuma uksoma PCB, PCM PGM unaongopka mpk na wwe unaziogp hzo comb lakn nw imezoeleka
 
D

Deceiver

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2018
Messages
1,584
Points
2,000
D

Deceiver

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2018
1,584 2,000
Wewe ni fa.la unayafahamu mazingira niliyokulia mimi? do you know me!? shenzy type..
Nakujua fika kwamba wewe ni mpumbavu na kijana uliyekulia mashenzini kutokana na lugha ya matusi unayotumia. Hongera kwa kujua kusoma na kuandika maana pale ulipokulia kila mmoja anakushangaa unajua kusoma.
Ila you should know this. You can uproot somebody from a slum, but you will never remove the slum out of the person. Kwaheri
 
K

Kishalu

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
1,101
Points
2,000
K

Kishalu

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
1,101 2,000
Kuna la kujiuliza kuhusu uhalisia wa matokeo ya sasa ?? kwa kuwa ni matokeo na waliofaulu watajiunga vyuo basi mwaka 2021 jaribu kupitia matokeo ya baadhi ya vyuo kwa mwaka wa kwanza utuletee mrejesho wa ufaulu tutakuwa tumepata ,majibu sahihi
 
Ambokile Amanzi

Ambokile Amanzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2018
Messages
450
Points
1,000
Ambokile Amanzi

Ambokile Amanzi

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2018
450 1,000
Unaelewa kwa nini Mungai akiwa waziri wa elimu watu walilalamika mitaala ilipobadilishwa na kuonekana kama ubora wa elimu unashushwa. Unaelewa kwa nini huko makazini kuna malalamiko mengi kwamba vijana wanaoajiriwa miaka ya hivi karibuni hawako competent, usicheze kabisa na elimu utajikuta unatengeza taifa la vilaza waliokwenda shule
Kwahiyo waliosoma zamani ndio wako competent? Mbona kuna vilaza wengi tu tunawaona huko makazini na ni wazee tupu! Acheni ubabaishaji ninyi! Ubora wa elimu haupimwi kwa rula!
 
N

Nyumisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2010
Messages
1,885
Points
2,000
N

Nyumisi

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2010
1,885 2,000
Nakujua fika kwamba wewe ni mpumbavu na kijana uliyekulia mashenzini kutokana na lugha ya matusi unayotumia. Hongera kwa kujua kusoma na kuandika maana pale ulipokulia kila mmoja anakushangaa unajua kusoma.
Ila you should know this. You can uproot somebody from a slum, but you will never remove the slum out of the person. Kwaheri
Acha kutafuta wanaume kwa nguvu, huyo unayemtetea mwenyewe kagundua alibugi kuniuliza hilo swali na akajaribu kuwa mwelewa. Watu wenye elimu ya kuungaunga mnaeleweka tu kwa kushambulia elimu za watu wengine, eti hongera kwa kujua kusoma na kuandika, do you know my qualifications!? au unatafuta umaarufu humu JFkupitia kwangu? bi.tch
 
Ahmad Abdurahman

Ahmad Abdurahman

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2016
Messages
1,043
Points
2,000
Ahmad Abdurahman

Ahmad Abdurahman

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2016
1,043 2,000
Mkuu mpe somo huyo jamaa. Maana kanishangaza kwanza.
 
blue bahari

blue bahari

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2016
Messages
432
Points
250
blue bahari

blue bahari

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2016
432 250
Hiz kombi wanachukua wenye ufaulu mzuri. Ukiwafatilia vizuri wanakuwa wamefaulu vizuri toka shule ya msingi, na form 4. Ni tofaut na hizi za art ambazo wengi huchukua baada ya kuwa na ufaulu mdogo apo nyuma.
Hujamuelewa! anauliza, kwa nini siku hizi wanafaulu kwa wingi PCB,CBG na PCM tofauti na kipindi cha miaka ya nyuma? Hajauliza kwa nini wanafaulu zaidi kuliko masomo ya art?
 
Forum statistics

Threads 1,324,982
Members 508,911
Posts 32,179,451
Top