Siasa imeingia uwanjani na matokeo yake magoli yameongezwa upana ili iwe rahisi kufunga magoli pia!!!!Nimetazama matokeo nikagundua tofauti ya miaka yetu n'a sasa.. Nimeona vijana wa kidato cha sita PCM.. PCB... CBG wakifauli kuliko miaka ya 2011 kurudi nyuma
Science ni msuli mzito sanaNi moja kati ya masomo rahisi sana kufaulu unapokuwa na msingi mzuri.Kitendo cha serikali kuwapa priority watu wasomao masomo ya sayansi katika kupata mikopo kwa ngazi ya elimu ya juu ndicho kinachofanya wazazi na walezi wengi kuwandaa vijana wao katika masomo hayo toka ngazi za chini hivyo kuwa na msingi mzuri wa kukabiliana nayo kuweza kufaulu kwa urahisi.
Science ni msuli mzito sana
Sio masomo rahisi
Yanahitaji akili na juhudi kubwa
Ukiwa unapenda kusoma you tube kuna lecture nzuri sana, topic yeyote unayotaka. Sisi hatukuwa navyo hivyo. Kitabu cha ABBOT kitatembea kutoka chuo kikuu mpaka Mbagala
Eanatengeneza matokeoNimetazama matokeo nikagundua tofauti ya miaka yetu n'a sasa.. Nimeona vijana wa kidato cha sita PCM.. PCB... CBG wakifauli kuliko miaka ya 2011 kurudi nyuma
Do not underestimate what internet can offer. Mazingira tu yanatofautisha ni nini mtu anatafuta huko. Ila siku hizi kila kitu kipo humo. Kama mzazi ukiweza kucontrol nini mtoto afuate internet, basi atafanikiwa.Mkuu ulichoongea hakina uhalisia you tube hizi hizi zilizojaza Amber ruty na ushilawadu mwingi, yani sisi tu watu wazima kutumia mitandao kwa faida bado kuna tatizo sembuse vijana, clip kibao mitandaoni watoto wanakata viuno, tatizo kubwa sana sasa hivi ni maadili ya wazazi kushuka, zamani mtoto kujua baba amegombana na mama ni ishi, ila sasa hivi mtoto anajua hadi michepuko ya mzazi, sasa tunafundishana nini kimaadili
Jinyonge tu kama ulifeli. Waache vijana wazidi kupeta!Siku hizi wame lower pass mark. Miaka ya 70 na 80 ukisikia mtu kapaya div 2 PCB mpe shika moo. PCB div 1 mpaka 3 ndio walikua wanachukua udakitari Muhimbili. Enzi hizo Muhimbili wanachukua wanafunzi 45 wanamaliza 23 na mmoja dentist. Hiyo ni nchi nzima. Madaktari hawa walikua hata akiangalia viatu vyako tu anajua unaumwa nini. Kipindi hicho hosp za wilaya zilikua na Dr. Wa degree 1 tu.
Sasa enzi hizo ukute mtu anaitwa daktari bingwa . Yaani we acha tu. Lazima kwanza akae karibu na muhimbili. Lazima nyumbani kwake kuliwe kuku kila siku. Eti sasa IMTU kinatoa daktari ananitibu mimi? Imtu??? Nonsense
Ukiwa unapenda kusoma you tube kuna lectures nzuri sana, topic yeyote unayotaka. Sisi hatukuwa navyo hivyo. Kitabu cha ABBOT kitatembea kutoka chuo kikuu mpaka Mbagala
Mkuu mbona umeishusha sana IMTU??Siku hizi wame lower pass mark. Miaka ya 70 na 80 ukisikia mtu kapaya div 2 PCB mpe shika moo. PCB div 1 mpaka 3 ndio walikua wanachukua udakitari Muhimbili. Enzi hizo Muhimbili wanachukua wanafunzi 45 wanamaliza 23 na mmoja dentist. Hiyo ni nchi nzima. Madaktari hawa walikua hata akiangalia viatu vyako tu anajua unaumwa nini. Kipindi hicho hosp za wilaya zilikua na Dr. Wa degree 1 tu.
Sasa enzi hizo ukute mtu anaitwa daktari bingwa . Yaani we acha tu. Lazima kwanza akae karibu na muhimbili. Lazima nyumbani kwake kuliwe kuku kila siku. Eti sasa IMTU kinatoa daktari ananitibu mimi? Imtu??? Nonsense
Temea mate chini. Mimi nina kitu cha one enzi za ruksaJinyonge tu kama ulifeli. Waache vijana wazidi kupeta!
Watunzi wenyewe ndio kina Wema Sepetu, Pierre na Amber rutty. Enzi hizo ukiambiwa huyu ni mwalimu wa hesabu mwenyewe unafurahi. Kakomaa , mweusi ti, mrefu halafu hajui kucheka.Watunzi wamelegeza kamba sio kama enzi hizo.
Kwenye internet inategemea unatafuta nini maana inankila kitu, wewe inawezekana unahangaika na akina umber Ruti lakini wengine wanatafuta vitu vyenye manufaa zaidi, internet ina kila aina ya information unayotaka ukitaka utajiri utapata, ukitaka Malaya utapata, ukitaka neno la Mungu utapata, tatizo ni wewe sio internetMkuu ulichoongea hakina uhalisia you tube hizi hizi zilizojaza Amber ruty na ushilawadu mwingi, yani sisi tu watu wazima kutumia mitandao kwa faida bado kuna tatizo sembuse vijana, clip kibao mitandaoni watoto wanakata viuno, tatizo kubwa sana sasa hivi ni maadili ya wazazi kushuka, zamani mtoto kujua baba amegombana na mama ni ishi, ila sasa hivi mtoto anajua hadi michepuko ya mzazi, sasa tunafundishana nini kimaadili