Mbona wakati wa sasa watu wa PCM, PCB, CBG wanafaulu sana kidato cha sita kuliko enzi zetu au kizazi hiki ubongo wao mzuri zaidi?

macho_mdiliko

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2008
Messages
9,811
Points
2,000
macho_mdiliko

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2008
9,811 2,000
Nimetazama matokeo nikagundua tofauti ya miaka yetu n'a sasa.. Nimeona vijana wa kidato cha sita PCM.. PCB... CBG wakifauli kuliko miaka ya 2011 kurudi nyuma
Tanzania bado watu wengi wana kasumba ya kuona kuwa masomo yanayofelisha wanafunzi kwa wingi ndiyo hutowa ma-graduate wenye ujuzi. Bado tuna ile kasumba ya kuona kwa mfano chuo kikuu kinachofelisha sana ndiyo ''hupika'' wanachuo wazuri. Hii ni kasumba mbovu. Wanafunzi kufeli kwa wingi inaonyesha kasoro kwenye ufundishaji au kutahini. Siku hizi njia za wanafunzi kusoma zimekuwa nyingi hasa baada ya kuingia kwa internet. Pia uelewa na umuhimu wa elimu unaonekana zaidi kuliko zamani.
 
Nemo Judex

Nemo Judex

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2014
Messages
2,948
Points
2,000
Nemo Judex

Nemo Judex

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2014
2,948 2,000
Miaka ya nyuma mtu akifaulu amefaulu kweli na kichwani yupo vizuri, uzuri aina ya walimu inajulisha nini kinaendelea kwa sasa na hata mitihani imekua dhaifu sana, serikali boresheni mazingira ya walimu zama zinabadilika kuishi kiujamaa na walimu ni dhambi
 
AMMARITO

AMMARITO

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2015
Messages
494
Points
500
AMMARITO

AMMARITO

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2015
494 500
Mtizamo wangu

Sasa hivi kuna source nyingi sana za material kuliko hapo nyuma ambapo tulikua tunasoma zaidi past paper kuliko vitabu

1.Solution nyingi zinapatikana ndani ya Internet using search engines, Youtube etc
Nimetazama matokeo nikagundua tofauti ya miaka yetu n'a sasa.. Nimeona vijana wa kidato cha sita PCM.. PCB... CBG wakifauli kuliko miaka ya 2011 kurudi nyuma
 
Mkwala

Mkwala

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Messages
925
Points
1,000
Mkwala

Mkwala

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2014
925 1,000
Daah! Kweli kabisa,Yaani enzi hizo ukipata "E" mbili kidume University unaenda na Mkopo 100%.Unakuta masela wamepiga E moja na SS za kuendea Diploma.Now days Vijana wanafaulu sana au wanafaulishwa.
 
Nemo Judex

Nemo Judex

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2014
Messages
2,948
Points
2,000
Nemo Judex

Nemo Judex

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2014
2,948 2,000
Mtizamo wangu
Sasa hivi kuna source nyingi sana za material kuliko hapo nyuma ambapo tulikua tunasoma zaidi past paper kuliko vitabu
1.Solution nyingi zinapatikana ndani ya Internet using search engines, Youtube etc
Mkuu ulichoongea hakina uhalisia you tube hizi hizi zilizojaza Amber ruty na ushilawadu mwingi, yani sisi tu watu wazima kutumia mitandao kwa faida bado kuna tatizo sembuse vijana, clip kibao mitandaoni watoto wanakata viuno, tatizo kubwa sana sasa hivi ni maadili ya wazazi kushuka, zamani mtoto kujua baba amegombana na mama ni ishi, ila sasa hivi mtoto anajua hadi michepuko ya mzazi, sasa tunafundishana nini kimaadili
 
kanali gadafi

kanali gadafi

Senior Member
Joined
May 5, 2017
Messages
142
Points
250
kanali gadafi

kanali gadafi

Senior Member
Joined May 5, 2017
142 250
hapa lazima ukubalinae na mm kuwa watoto wanaofaulu vizuri form four husoma PCM au PCB.

kwa ufupi wanaosoma PCM / PCB ni moto mbaya......
 
Sibonike

Sibonike

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2010
Messages
13,853
Points
2,000
Sibonike

Sibonike

JF-Expert Member
Joined Dec 23, 2010
13,853 2,000
Nimetazama matokeo nikagundua tofauti ya miaka yetu n'a sasa.. Nimeona vijana wa kidato cha sita PCM.. PCB... CBG wakifauli kuliko miaka ya 2011 kurudi nyuma
Kuunga mkono juhudi.

Awamu ya Stigla, Esigiara, Bombadia, Drimulaina lazima ufaulu ufuate nyayo kuweka historia ya awamu. Kesho tutasikia ufaulu bora toka tupate uhuru kumbe kanyaboya
 
Wordsworth

Wordsworth

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Messages
432
Points
1,000
Wordsworth

Wordsworth

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2019
432 1,000
Mkuu ulichoongea hakina uhalisia you tube hizi hizi zilizojaza Amber ruty na ushilawadu mwingi, yani sisi tu watu wazima kutumia mitandao kwa faida bado kuna tatizo sembuse vijana, clip kibao mitandaoni watoto wanakata viuno, tatizo kubwa sana sasa hivi ni maadili ya wazazi kushuka, zamani mtoto kujua baba amegombana na mama ni ishi, ila sasa hivi mtoto anajua hadi michepuko ya mzazi, sasa tunafundishana nini kimaadili
Kama huwa unaingia youtube kumuangalia amba rutty sio kila mtu anafanya hivyo.
Huko youtube kuna lessons na materials za kufa mtu. Unaweza ukaingia darasani kidogo, ukaangalia na youtube ukafaulu. Mfano ni channel moja inaitwa PBS Crash Course.
 
marxlups

marxlups

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
11,662
Points
2,000
marxlups

marxlups

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
11,662 2,000
Nimetazama matokeo nikagundua tofauti ya miaka yetu n'a sasa.. Nimeona vijana wa kidato cha sita PCM.. PCB... CBG wakifauli kuliko miaka ya 2011 kurudi nyuma

Kumbuka mara baada ya Ndalichako kuondoka pale NECTA aliyembadili alifanya BRN kwa matokeo yaleyale aliyoyasimamia kihalali Ndalichako
 
The last don

The last don

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2011
Messages
698
Points
500
The last don

The last don

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2011
698 500
Ni moja kati ya masomo rahisi sana kufaulu unapokuwa na msingi mzuri.Kitendo cha serikali kuwapa priority watu wasomao masomo ya sayansi katika kupata mikopo kwa ngazi ya elimu ya juu ndicho kinachofanya wazazi na walezi wengi kuwandaa vijana wao katika masomo hayo toka ngazi za chini hivyo kuwa na msingi mzuri wa kukabiliana nayo kuweza kufaulu kwa urahisi.
 
K

Kweyee

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Messages
225
Points
250
K

Kweyee

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2016
225 250
Tanzania bado watu wengi wana kasumba ya kuona kuwa masomo yanayofelisha wanafunzi kwa wingi ndiyo hutowa ma-graduate wenye ujuzi. Bado tuna ile kasumba ya kuona kwa mfano chuo kikuu kinachofelisha sana ndiyo ''hupika'' wanachuo wazuri. Hii ni kasumba mbovu. Wanafunzi kufeli kwa wingi inaonyesha kasoro kwenye ufundishaji au kutahini. Siku hizi njia za wanafunzi kusoma zimekuwa nyingi hasa baada ya kuingia kwa internet. Pia uelewa na umuhimu wa elimu unaonekana zaidi kuliko zamani.
Usisahau tunakaribia uchaguzi mkuu
 
A

adolay

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2011
Messages
9,751
Points
2,000
A

adolay

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2011
9,751 2,000
Nimetazama matokeo nikagundua tofauti ya miaka yetu n'a sasa.. Nimeona vijana wa kidato cha sita PCM.. PCB... CBG wakifauli kuliko miaka ya 2011 kurudi nyuma
Siku hizi siasa za ccm zimeathili sana Elimu

Quantitatively wanalazimisha ufaulu wa idadi kubwa.

Quantitatively wanalazimisha numbers na grades ziwe za juu

Ukweli mitihani ni hafifu sana na haina qualities kama siku za huko nyuma.

Kifupi siasa za ccm zinaathili taasisi nyingi.
 
Forum statistics

Threads 1,324,981
Members 508,911
Posts 32,179,366
Top