Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,335
- 6,617
Mkuu maadili ya mtoto yanachangiwa na wazazi wapo vijana wengi Wana maadili mazuri Tu Kwa sababu wamelelewa vizuri, usisubili dunia imfundishe mtoto wako atakutana na mengi na maadili yatakuwa mabaya,mwongoze kijana wako apate uelewa
Maji yameongezwa ili uji uwe mwingi.Nimetazama matokeo nikagundua tofauti ya miaka yetu n'a sasa.. Nimeona vijana wa kidato cha sita PCM.. PCB... CBG wakifauli kuliko miaka ya 2011 kurudi nyuma
Tanzania bado watu wengi wana kasumba ya kuona kuwa masomo yanayofelisha wanafunzi kwa wingi ndiyo hutowa ma-graduate wenye ujuzi. Bado tuna ile kasumba ya kuona kwa mfano chuo kikuu kinachofelisha sana ndiyo ''hupika'' wanachuo wazuri. Hii ni kasumba mbovu. Wanafunzi kufeli kwa wingi inaonyesha kasoro kwenye ufundishaji au kutahini. Siku hizi njia za wanafunzi kusoma zimekuwa nyingi hasa baada ya kuingia kwa internet. Pia uelewa na umuhimu wa elimu unaonekana zaidi kuliko zamani.
Wakati nasoma nioidhani Geography no rahisi na ningefaulu zaidi ya physics na maths, matokeo yake Geography nilipata marks za chini zaidi.PGM bado Ngoma inogile sijaona tatu ya PGM
Ebu mkuu nipe lecture mzuuri wa physics anaepatikana youtube mkuuUkiwa unapenda kusoma you tube kuna lectures nzuri sana, topic yeyote unayotaka. Sisi hatukuwa navyo hivyo. Kitabu cha ABBOT kitatembea kutoka chuo kikuu mpaka Mbagala
Topic gani?Ebu mkuu nipe lecture mzuuri wa physics anaepatikana youtube mkuu
Ni kweli mkuu ukilinganisha form six wa zamani na wa Sasa ni tofauti kabisa uelewa wao.Miaka ya nyuma mtu akifaulu amefaulu kweli na kichwani yupo vizuri, uzuri aina ya walimu inajulisha nini kinaendelea kwa sasa na hata mitihani imekua dhaifu sana, serikali boresheni mazingira ya walimu zama zinabadilika kuishi kiujamaa na walimu ni dhambi
👍Tanzania bado watu wengi wana kasumba ya kuona kuwa masomo yanayofelisha wanafunzi kwa wingi ndiyo hutowa ma-graduate wenye ujuzi. Bado tuna ile kasumba ya kuona kwa mfano chuo kikuu kinachofelisha sana ndiyo ''hupika'' wanachuo wazuri. Hii ni kasumba mbovu. Wanafunzi kufeli kwa wingi inaonyesha kasoro kwenye ufundishaji au kutahini. Siku hizi njia za wanafunzi kusoma zimekuwa nyingi hasa baada ya kuingia kwa internet. Pia uelewa na umuhimu wa elimu unaonekana zaidi kuliko zamani.
Inakuwa kwa topic mkuuTopic gani?
to wa mwaka huu katoka EGMKuna somo linaitwa Economics ni mwaka wa 3 sasa hawajapata A
Kwahiyo masomo yakiwa magumu ndio ubora wa elimu?Magoli yamepanuliwa, mitaala imerahisishwa, vitabu and other learning materials vimekuwa kama makaratasi ya kufungia vitumbua, mitihani imerahishwa hadi physics kuna multiple choice, hakuna ku derive formula kama zamani
Unauliza panadol pharmacy!? unafikiri akili nyoro nyoro inaweza kusolve complex issuesKwahiyo masomo yakiwa magumu ndio ubora wa elimu?
Complex issues kama zipi?Unauliza panadol pharmacy!? unafikiri akili nyoro nyoro inaweza kusolve complex issues