darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 9,208
- 18,226
Sio lazima uamini usichoamini ndio maana wengine wanaamini siku ya sabato na wengine hawaikubaliHakuna kitu kama hicho, dini unayozungumzia si ya mungu, ushahidi wewe mwenyewe unaona kinachoendelea duniani kwa sasa, kubisha ni ubinadamu tu.