Mbingu saba, siri na nguvu ya namba saba

Mbingu saba, siri na nguvu ya namba saba

Kuna taarifa yako flani ulitoa humu kuhusu giza kua asili ya mwanadaam! Sasa hiI hoja naona inaupungufu mwingi sana kwa sababu kama kiza kikawaida inasababisha mambo kutokua wazi yaani mfano hata nyumbani kukiwa kiza huwezi kufanya jambo! Sasa hoja yangu wakati kiza ndo kilikuapo kabla ya uumbaji je ulifikiria mwangaza ulikua wapi? Je mfano mtu upo katika kiza kinene ukapata mwangaza ukaona vitu ambavyo hukutegemea kuviona je sio jambo la kufurahisha? Hoja yangu hii ni kutaka kukukosoa juu ya kutaka kuufanya kiza kua ni kitu ambacho ni asili yetu wakati sio kweli kwasababu je uliwahi kufanya upembuzi wako kujua mwangaza ulikua wapi? Kwasababu kabla hujazaliwa hujui ulikua wapi je unaweza kututhibitishia kua unajua ulikua kwenye kiza? Maana kabla hujazaliwa binaadam hujui cha kiza wala mwangaza ni siri yake mwenyezi mungu pekee!! Na mwenyezi mungu alikuepo kabla ya uumbaji na baada ya uumbaji! Unaweza kututhibitishia kua hakukua na mwangaza? Nadhani utakuja na jibu nzury!!
Una maswali na hoja fikirishi japo kwa kiasi fulani umetumia lugha ya kuzodoa... Lakini bado tunarudi palepale asili ya kila kitu ni giza... Usitafsiri giza katika ulimwengu wa kuonekana bali giza kama alama ya kutojua jambo
Kikristo tunaambiwa hapo mwanzo nchi ilikuwa tupu tena giza.... Hatuambiwi kuhusu nuru.... Nuru inakuja siku ya pili ya uumbaji.. Kwahiyo bado nasimamia maelezo yangu kwamba giza ndio asili
 
Namba 7 kiimani ni namba ya Ukamilisho.

Jamarat mawe 7
Surat fatiha ina aya 7
Shahada herufu 7
Watoto wa mtume walizaliwa 7
Mtoto aanze kujifunza dini akiwa na miaka 7
Takbar ya Idd huwa ni 7
Hakuna kitu kama hicho, dini unayozungumzia si ya mungu, ushahidi wewe mwenyewe unaona kinachoendelea duniani kwa sasa, kubisha ni ubinadamu tu.
 
Sala ya
Bwana ina sehemu saba maneno saba pale msalabani
hqdefault.jpg
 
Tuendelee
Fumbo na uhalisia wa namba saba vinajibu maswali na chagizo nyingi kwa wale wote wasio waamini na wale ambao ni waamini lakini wakaenda kinyume na maandiko ya misahafu bila kujali tofauti za kiimani
Dhana ya kusema misahafu imeandikwa na wanadamu wenye maarifa ya kawaida ni upotoshaji mkubwa na ujuha/umbumbumbu wa kutojua yale ya rohoni
Maajabu ya namba saba, uhalisia wake mahesabu yake hata kwenye Kanuni ya MAGAZIJUTO inatoa majibu mengi yaliyowatatiza wengi
 
Nani aligundua namba? Lengo lake lilikuwa ni nini? Huo upekee wa namba 7 yeye aliuzungumziaje kwa wakati huo pindi amegundua namba? Kama biblia na misaafu mingine ya dini imeelezea upekee wa namba 7, je, Mungu alikusudia kuifanya namba 7 kuwa ya kipekee? Lakini naamini mungu hakutufundisha kuhesabu ila kuhesabu kuliletwa na wanadamu, tena kumbukumbu zangu zinasema wa Misri ndio waligundua namba. Ntarudi kuuliza maswali mengine baadae!
 
Viwanja vya Saba saba, Maadhimisho ya saba saba, Saba saba hotel enzi hizo bakurutu murua pande za chuga, kuna Seven eleven hotel (huyu yy sijui vipi) nayo ipo chuga.
Kaka.ufafanuzi tafadhali.
 
Siri ya namba saba ni fumbo lenye kufumua ufahamu wa udadisi dokezi, udadisi hojaji inayochimbua asili ya uumbaji na mwenendo wa dunia na hesabu zilizo juu ya ufahamu wa kawaida wa kibinadamu
Ni kweli Mkuu, tudadavulie, kuna mengi sana yasiyo bayana na yanatakiwa yawe bayana kwa ustawi mzuri wa mwili na roho ktk maisha duniani.
Mi nilishawahi kujiuliza ni KWELI zipi hizo Jesus alitukomand tuzitafute, na tulitakiwa tuzitafute kwakuwa hazikuwepo au zipo lakini haikuwa zikitambulika kwa wakati ule.

Tuongeze "maarifa", ya nini hayo? Naamini kuna kweli ktk kila kitu na tukizijua maarifa yetu yataongezeka, tunaishi ipaswavyo.
 
Una maswali na hoja fikirishi japo kwa kiasi fulani umetumia lugha ya kuzodoa... Lakini bado tunarudi palepale asili ya kila kitu ni giza... Usitafsiri giza katika ulimwengu wa kuonekana bali giza kama alama ya kutojua jambo
Kikristo tunaambiwa hapo mwanzo nchi ilikuwa tupu tena giza.... Hatuambiwi kuhusu nuru.... Nuru inakuja siku ya pili ya uumbaji.. Kwahiyo bado nasimamia maelezo yangu kwamba giza ndio asili
Kwahiyo kitu kilichokuja kuondoa kiza ndo kinanguvu kwamaana kabla ya kuumbwa palikua kiza na mwangaza ukaja kuondoa kiza!!sasa asili yetu jibu lake bado inakua siri yake muumba kwamaana ukisema asili yetu ni kiza sasa je kuna kati yetu kabla ya kuzaliwa alitambua kua yupo kizani ama kwenye mwanga?
 
Kuna taarifa yako flani ulitoa humu kuhusu giza kua asili ya mwanadaam! Sasa hiI hoja naona inaupungufu mwingi sana kwa sababu kama kiza kikawaida inasababisha mambo kutokua wazi yaani mfano hata nyumbani kukiwa kiza huwezi kufanya jambo! Sasa hoja yangu wakati kiza ndo kilikuapo kabla ya uumbaji je ulifikiria mwangaza ulikua wapi? Je mfano mtu upo katika kiza kinene ukapata mwangaza ukaona vitu ambavyo hukutegemea kuviona je sio jambo la kufurahisha? Hoja yangu hii ni kutaka kukukosoa juu ya kutaka kuufanya kiza kua ni kitu ambacho ni asili yetu wakati sio kweli kwasababu je uliwahi kufanya upembuzi wako kujua mwangaza ulikua wapi? Kwasababu kabla hujazaliwa hujui ulikua wapi je unaweza kututhibitishia kua unajua ulikua kwenye kiza? Maana kabla hujazaliwa binaadam hujui cha kiza wala mwangaza ni siri yake mwenyezi mungu pekee!! Na mwenyezi mungu alikuepo kabla ya uumbaji na baada ya uumbaji! Unaweza kututhibitishia kua hakukua na mwangaza? Nadhani utakuja na jibu nzury!!
Nami niliifuatilia ile mada ila mbona ilikuwa nyepesi kwa kila namna? Naaminisha ilikuwa iko wazi sana, na mengi umeshajibu mwenyewe, mfano pale kabla hujazaliwa,kwani kuna uwezekano wa kuwepo na mwanga tumboni?

Nilivyomuelewa, giza ni utupu pasi na uhai. Kwahiyo kama Mungu alikuwepo kabla ya uumbaji, na Mungu ana uhai na ndo source ya uhai, basi nuru pekee iliyokuwepo ilikuwa ndiyo Mungu mwenyewe. Kuanzia hapo, nuru zote ni za kuumbwa.

Kiasili, mwanadamu ana asili ya Uungu, ndo maana ana uwezo wa kuumba mfano kutengeneza mwanga wake. Elimu hii ya namba saba, ni baadhi ya kanuni tu za uumbaji. Tukishazijua zote tunayajua mengi.
 
Jehnam ina milango Saba pia,,,,huo mlango wa Saba ndio utatumika kuwapitisha makafiri wasio waislam na washirikina kutupwa kwenye moto wa jehanam,,,;wadumu umo
Watakao ingia kupitia mipango mingine watapata viunafuu kidogo au? Natania bana, ila twende na mada tujifunze mengi. Hapa kuna mengi.
 
Una maswali na hoja fikirishi japo kwa kiasi fulani umetumia lugha ya kuzodoa... Lakini bado tunarudi palepale asili ya kila kitu ni giza... Usitafsiri giza katika ulimwengu wa kuonekana bali giza kama alama ya kutojua jambo
Kikristo tunaambiwa hapo mwanzo nchi ilikuwa tupu tena giza.... Hatuambiwi kuhusu nuru.... Nuru inakuja siku ya pili ya uumbaji.. Kwahiyo bado nasimamia maelezo yangu kwamba giza ndio asili
Kuhusu mada ya giza broo iko wazi sana. Hata huwa nafikiria na nadhani ndo ukweli wenyewe, kwamba hiyo iitwayo
Una maswali na hoja fikirishi japo kwa kiasi fulani umetumia lugha ya kuzodoa... Lakini bado tunarudi palepale asili ya kila kitu ni giza... Usitafsiri giza katika ulimwengu wa kuonekana bali giza kama alama ya kutojua jambo
Kikristo tunaambiwa hapo mwanzo nchi ilikuwa tupu tena giza.... Hatuambiwi kuhusu nuru.... Nuru inakuja siku ya pili ya uumbaji.. Kwahiyo bado nasimamia maelezo yangu kwamba giza ndio asili
Kuhusu mada ya giza broo iko wazi sana. Hata huwa nafikiria na nadhani ndo ukweli wenyewe, kwamba hiyo iitwayo jehanamu maana yake ni kurudi kule tulikotoka, gizani. Hakuna uhai huko, full giza.

Hata kufa nikurudi tu gizani, hakuna uhai gizani.
 
Tusiende huko tubaki kwenye asili na muktadha wa hoja... tujadiliane kama great thinkers
Kwanza dini hapa uwe tu mfano wa kuthibitishwa hoja, kisiwe ni kigezo cha hoja tutajifunga wenyewe ktk mjadala hata kweli ya saba hatutaipata.
 
Back
Top Bottom