cleaner wrasse
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 9,079
- 10,111
Siloamu wewe
Hakuna kitu kinachoweza kuwepo bila ya utupu/giza.Ktk kiza tulitwaliwa tukaletwa nuruni. Kiza ni utupu wa uhai na ufahamu.
Hakuna kitu kinachoweza kuwepo bila ya utupu/giza.Ktk kiza tulitwaliwa tukaletwa nuruni. Kiza ni utupu wa uhai na ufahamu.
Hapa kama sijakuelewa Mkuu!Hakuna kitu kinachoweza kuwepo bila ya utupu/giza.
Nothing can exist without nothing.Hapa kama sijakuelewa Mkuu!
Mwili wa mwanamke una matundu 8Mwili wa binadamu una matundu saba, hata mkioana mnatakiwa mkae saba ndani mkigegedana tu.
Genius.Mungu aliumba dunia na vyote vilivyomo kwa siku tano kwa kutamka tu na ikawa.. Siku ya SITA akamuumba mwanadamu kwa udongo kisha akampulizia pumzi ya uhai
Katika ulimwengu wa roho wanyama na vingine vyote vyenye uhai vinawekwa kwenye kundi la hayawani, ufahamu wao utaishia siku ya tano, binadamu si hayawani ana utashi kwakuwa alipuliziwa pumzi ya Kimungu lakini akanyimwa siri ya siku ya saba Mungu alipopumzika
Je ni kweli Kuna Mungu alipumzika siku ya saba? Fumbo lile la Eden mambo ya Freemasons na Satanism yana mizizi kwenye hili
Usije kuchanganya urenthra na vagina.. ni vitu viwili tofauti.Hapana ni saba Labda ya pua uyatenganishe
Na kuzunguka kaaba ni mara 7Namba 7 kiimani ni namba ya Ukamilisho.
Jamarat mawe 7
Surat fatiha ina aya 7
Shahada herufu 7
Watoto wa mtume walizaliwa 7
Mtoto aanze kujifunza dini akiwa na miaka 7
Takbar ya Idd huwa ni 7
Sio njia moja.. tundu moja linaenda kwenye kibofu lingine linaenda kwenye kizazi..Matundu mawili kwenye njia moja [emoji15] [emoji144] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
...
Namba saba imetajwa kwenye Bible mara 490 ...hapa utapata majibu mengi ...
Mhh ambaye ni nani?[V]mshana jr[/B]: nadhani hukusahau kwa makusudi amri 7 ya amri kuu za Mungu kwamba ni USIIBE.
Kwa maana ya kwamba unapotuhabarisha habari zisizo za kwako, umkumbuke mwandishi mwenyewe, kama chanzo chako.
Mhh ambaye ni nani?
Nini maana ya wizi? Wizi ni tendo la kuchukua kitu/mali isiyo yako KWA KIFICHO bila kuonekana kwa nia ya kuuza kugawa ama kwa matumizi binafsi
mwengeso naomba unithibitishie hii post ni kazi ya mtu mwingine